Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje ndugu zao manguli wa mpira akina Def na CaptainSobo na Nunez ni pipa na mfuniko
Gapko ,Diaz ,Nunez hawa hata 50% ya quality ya Mane na Firmino hawajafika, Tumebakia na Salah ambaye ni Attacking by Himself.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani hadi nilishika kichwa yaani sobo yumo unamuacha unamtoa jones ??🤔🤔🤔🤔KLOPP ni bonge la Kilaza, I really don"t understand Curtis Jones subs, Hewas doing pretty good and looked like he could easily continue
Bora firmino arudiGapko ,Diaz ,Nunez hawa hata 50% ya quality ya Mane na Firmino hawajafika, Tumebakia na Salah ambaye ni Attacking by Himself.
Over all ni kwamba Recruitment tulioifanya is not at the Level tuliyokuwepo.
Sobo ni kiazi zaidi ya nunezGame ambazo hatukupaswa ku draw Vs Luton, Man and Arsenal. Szoboszlai nae ngoma ikivuma saaana mwisho inapasuka [emoji23]
Nunez wengine tumeshamalizana nae sasa tupo na DiazGapko ,Diaz ,Nunez hawa hata 50% ya quality ya Mane na Firmino hawajafika, Tumebakia na Salah ambaye ni Attacking by Himself.
Over all ni kwamba Recruitment tulioifanya is not at the Level tuliyokuwepo.
Kuna mkwala alikupiga Def, ukatulia tuli.Ngoja waje ndugu zao manguli wa mpira akina Def na Captain
Waje kukuchambulia mambo kitaalam
Mpira umeangalia kwanza au ulikuwa livescoreKlopp mswahili sana
Mikwara yote ile nikadhani timu itakuja na kasi ya ajabu!
Stori ni zilezile..draw ya pili mfululizo nyumbani!
Bila Salah tungelala na viatu.
Timu imekuwa mbovu sana aisee,,Aje kocha mwingine na ubunifu mwingine.
Hatuwezi kuchukua Ubingwa wa EPL tena chini ya KLOPP NEVER NEVER NEVER .
Unaokota okota takataka zilizotupwa na Bayern Munich ndio uchukue Ubingwa
Szobo ameshuka kiwango, mtamsingizia bure Trent kuwa msababishi
Huwezi kuwa serious na ubingwa mnakosa goli la vile
Hii timu ili ichukue EPL inahitaji kusajili Star kila position ukiacha nafasi ya golikipa tuu
Wachezaji waliopo wanauwezo mdogo leo wazuri kesho wabovu, ni ngumu kuchukua EPL na Nunez, Jones, Elliot, Szobo, Gravb, Mac allister, Diaz, Endo, hizi nafasi bila kusajili mastar hatutoboi mafanikio yetu yatakua top 4 kila mwaka
Game ambazo hatukupaswa ku draw Vs Luton, Man and Arsenal. Szoboszlai nae ngoma ikivuma saaana mwisho inapasuka [emoji23]
Gapko ,Diaz ,Nunez hawa hata 50% ya quality ya Mane na Firmino hawajafika, Tumebakia na Salah ambaye ni Attacking by Himself.
Over all ni kwamba Recruitment tulioifanya is not at the Level tuliyokuwepo.
Kuna mkwala alikupiga Def, ukatulia tuli.
Eti unamjua Trent zaidi yangu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Klopp mswahili sana
Mikwara yote ile nikadhani timu itakuja na kasi ya ajabu!
Stori ni zilezile..draw ya pili mfululizo nyumbani!
Bila Salah tungelala na viatu.
Timu imekuwa mbovu sana aisee,,Aje kocha mwingine na ubunifu mwingine.