The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mkuu hii game imekaaje ? Na vipi unaona kuna uwezekano tukavaa medali msimu huu?
Mechi ngumu but atleast we are at Anfield na tupo kwenye rythm nzuri kwa kiasi chake kuliko Newcatle.
Uwepo wa Jota utaongeza uwezekano wa kupata magoli…!!
Newcastle kiwango kibovu currently kutokana na energy waliyotumia kwenye CL na too many games, refer alichokisema Tripper kuwa binafsi ameshuka kiwango.
Ki ufundi itategemea na Klopp mwenyewe atakavyoandaa kikosi chake.
It gonna be ideal kuanza na mid ya Endo Jones na Szobo. Jones wengi hawamuelewi ikiwemo na mimi lakn akiwepo walau unaona balance kwenye mid yetu kwa kipindi ambacho Macca hayupo Jones na Endo wanatupa balanace defensively huku Szobo akiwa free kiasi unapata ubora wake offensively.
Gomez as LB anaongeza strength upande huo ambao umekuwa very weak offensively. Kama nikiwa Klopp front three ningeanza na Nunez as LW Jota as CF and Salah as RW Jota and Nunez watabadilishana.
I think 2+ for Liverpool with clean three points vs Newcatle