Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp akitulia analicheza draft vizuri.

1st half Arsenal’s high pressing was on point. Jamaa walituziba wakakaba kila njia bila kupumua, build up from the central ikawa ngumu. Tulishindwa kuanzisha mashambulizi in both way option ikabaki kutumia long balls zaidi bado haikuwa mwaronaini mzuri mpka kipindi cha kwanza kimeisha ni jasho tupu.

2nd half ndio inakuja ile mkubwa mkubwa tu. Klopp akampeleka Diaz RW na alipamuda japo kwa jicho la haraka alistruggle na foot issues, kiasi kila alipopiga on target au kutoa pasi basi Klopp be like eishh why didnt i do early at first half? Ilibidi kumpongeza. Hii ilikuwa sawa na Salah kucheza LW, atacheza ila matumizi ya mguu ingekuwa shughuli nyingine.

Sikufikiri Diaz angeweza kuleta output as RW Kudos kwake. Baada ya Klopp kumrudisha Diaz RW akamuacha Nunez LW, akamtoa Gakpo na Macca akamuingiza Jota na Graven. Jota akaenda CF Elliot akarudi RCM Jones as 6 then Boom we started to open them and we scored two goals and won the game.

Jota with header. Jamaa has art of header shot. Ni mfupi ili kuwin aerial duel ku hit target kwenye opposition box he is something else. Classy timing.

Baadae Bradley na Clark wakaja kutia kifuniko na kufanya tubalance vizuri game plan yetu ya second half.

Hii mechi naifananisha na Villareal semi final game 2nd leg. Hii mechi 1st half tulibanwa mpka magoli 2nd half akaingia Diaz tukapindua.

Academy players so far ambao wana potential wakipata management nzuri

Bradley
Clark
Quansah
Bajcetic

YNWA
 
Arsenal walipaswa kumaliza mechi kipindi cha kwanza ila utoto ukawa mwingi. Walitukamata sana hatuwezi kufanya build up kwa uhuru. Jurgen knew it. Akamrudisha Elliot MF, Diaz akaenda RW kidogo tukaanza kubreak lines zao. Walipoingia Jota na Graven tukawafungua vya kutosha.

My MOTM, ni Konate kuanzia kipindi cha kwanza. Alimcover TAA vya kutosha alijipanga vizuri sana as a senior CB. Kudos kwa Jarell Quansah jamaa mtulivu mno no pressure with and without the ball. Toka siku ya kwanza nilimkubali Quansah na anaendelea ku improve sana.

Connor Bradley aisee he came in and pocketed Martinelli 99.99%, shut him down hatari zote za Martinelli akazizima. Nafikiri Bradley anazidi ku improve kwa kadiri anavyocheza. May be atamuhamisha TAA into the MF coming days.

Bobby Clark, boy come in and add energy into our MF.

Leo kitu kizuri kilichoniacha hoi ni kucheza na namba sita wa tatu nyakati tofauti ambao sio sita kwa asili and we still have managed to hold them.
Alianza Macca, akatoka Macca akacheza Jones, akatoka Jones akacheza TAA.

Kuna muda mkiwa vizuri mambo huwa yana flow tu yenyewe.

Kudos to Klopp na vijana wake.

Next Carabao Semi Final at Anfield, vs Fulham.

YNWA
Good analysis

First half tulipwaya

Tuna watoto wazuri sana
 
Liverpool walicheza mpira kwa dk 20 tu za mwisho.. Muda mwingi tulikuwa tukishambuliwa na tulifanikiwa kuzuia mashambulizi yao arsenal sio kwa sababu tulikuwa wazuri kwenye kuzuia, bali kwa uzembe wa forward line ya Asenal.
Havert na, Saka wamekuwa useless kwa sasa. Chance nyingi walipata lakini walishindwa kutuadhibu.
Tumefanikiwa kuvukabhii hayua lakini sijafurahishwa na kiwango tulichocheza.

TAA, Konate, Diaz na jones ndio wachezaji waliocheza vizuri jana. Wengine kwa kweli ni kawaida sana kwa walioanza.
Sub ya jota na gravenbach zilileta uhai kwenye forward line yetu.
Wale madogo wetu wawili kwa sasa wanahitaji nguvu maana viwango vya mpira tayari wanavyo. Bado nguvu hawana.
 
Imagine kuna kipindi SAKA tulitaka kuaminishwa ndiye best Winger in EPL 🚮🚮

Makinda yanayoibukia Sapain, Germany na Italy huwa yanadevelope vizuri tu kama kina Sancho, Pulisic, Werner, Vini, n.k.

Lakini makinda yanayoibukia EPL au wale waliotoka Spain, Italy na Germany wakija EPL basi wanaishia kupotea baadae na ni wachache sana ndiyo wanaoendeleza Consistency tofauti na zamani walivyoibuka kina Gigs, Scholes, Beckham, Owen, Gerrard, Lampard, MacCmanaman, Ian Right n.k.

Yaani waliibuka kina Dle Ali, Mount, Foden, Reece, Trent, Sancho, Saka but hapo ni Trent pekee ndiye kaingia kwenye class ya World Class.
 
IMG-20240108-WA0001.jpg
 
Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Wee Jamaa naona umetoroka sober house
 
Klopp akitulia analicheza draft vizuri.

1st half Arsenal’s high pressing was on point. Jamaa walituziba wakakaba kila njia bila kupumua, build up from the central ikawa ngumu. Tulishindwa kuanzisha mashambulizi in both way option ikabaki kutumia long balls zaidi bado haikuwa mwaronaini mzuri mpka kipindi cha kwanza kimeisha ni jasho tupu.

2nd half ndio inakuja ile mkubwa mkubwa tu. Klopp akampeleka Diaz RW na alipamuda japo kwa jicho la haraka alistruggle na foot issues, kiasi kila alipopiga on target au kutoa pasi basi Klopp be like eishh why didnt i do early at first half? Ilibidi kumpongeza. Hii ilikuwa sawa na Salah kucheza LW, atacheza ila matumizi ya mguu ingekuwa shughuli nyingine.

Sikufikiri Diaz angeweza kuleta output as RW Kudos kwake. Baada ya Klopp kumrudisha Diaz RW akamuacha Nunez LW, akamtoa Gakpo na Macca akamuingiza Jota na Graven. Jota akaenda CF Elliot akarudi RCM Jones as 6 then Boom we started to open them and we scored two goals and won the game.

Jota with header. Jamaa has art of header shot. Ni mfupi ili kuwin aerial duel ku hit target kwenye opposition box he is something else. Classy timing.

Baadae Bradley na Clark wakaja kutia kifuniko na kufanya tubalance vizuri game plan yetu ya second half.

Hii mechi naifananisha na Villareal semi final game 2nd leg. Hii mechi 1st half tulibanwa mpka magoli 2nd half akaingia Diaz tukapindua.

Academy players so far ambao wana potential wakipata management nzuri

Bradley
Clark
Quansah
Bajcetic

YNWA
Weka na hawa hapo
Melkamu Frauendorf
Ben Doak
Mabaya
Lee
Oakley
Kadie Gordon
Marcelo Pitaluga

YNWA
 
Back
Top Bottom