Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni liverpool kwa ushindi wa jana.kwangu mimi liverpool jana chini ya klop tactically haikuwa na maajabu sana.Ila kuna vitu viwili ambavyo klop amewazidi makocha wote wa epl.
1-utilization of resources.jamaa anajua kupata the best out of average.ukitazama wachezaji wa liverpool sio world class vile isipokuwa wachache tu,ila wanakupa a very best perfomance.hapa ndipo unajifunza maana ya kukusanya wachezaji na kutengeneza timu.

2-Fighting spirit.he is next to none.usifanye tathmin kwa mech tano au kumi zilizopita.Sijui huwa anawaambia nini,sijui huwa anawalisha nini,sijui huwa anawaahidi nini, ila tu ukiwatazama wachezaji wa liverpool usoni unaona kabisa hili ni jeshi lenye comander and they are ready to give it all for their team.

Liverpool ni mahali pekee unapata ile spirit ya kiingereza hasa.guardiola,arteta,poch wanavikosi vyenye quality hasa ila spirit yao kwa timu ni average.

Mwisho wa msimu kuna kitu watapata ila sijui ni nini.

Hongereni
 
Its not about Lucho mbovu it was about underperforming which was correct. Hii huwapata wachezaji. Atleast tulimuona Luiz wa msimu ule aliokuja vs Newcastle na leo pia amecheza vizuri.

We need him tu his fully performance we used to know him.

YNWA
Hata ningekuwa mimi
Ningeuhurumia mguu wa jeraha hadi upone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni liverpool kwa ushindi wa jana.kwangu mimi liverpool jana chini ya klop tactically haikuwa na maajabu sana.Ila kuna vitu viwili ambavyo klop amewazidi makocha wote wa epl.
1-utilization of resources.jamaa anajua kupata the best out of average.ukitazama wachezaji wa liverpool sio world class vile isipokuwa wachache tu,ila wanakupa a very best perfomance.hapa ndipo unajifunza maana ya kukusanya wachezaji na kutengeneza timu.

2-Fighting spirit.he is next to none.usifanye tathmin kwa mech tano au kumi zilizopita.Sijui huwa anawaambia nini,sijui huwa anawalisha nini,sijui huwa anawaahidi nini, ila tu ukiwatazama wachezaji wa liverpool usoni unaona kabisa hili ni jeshi lenye comander and they are ready to give it all for their team.

Liverpool ni mahali pekee unapata ile spirit ya kiingereza hasa.guardiola,arteta,poch wanavikosi vyenye quality hasa ila spirit yao kwa timu ni average.

Mwisho wa msimu kuna kitu watapata ila sijui ni nini.

Hongereni
Mwisho wa msimu ni kunyanyua vikombe vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good analysis

First half tulipwaya

Tuna watoto wazuri sana

Huu uzuri wa madogo unapatikana ukiwafanyia proper mixing, kama hivyo unawachanganya na experienced japo 10 mins wanakupa wakiwezacho. Mf Quansah na Konate au Quansah na Vvd hapo lazima Quansah akupe kiwango kizuri kwa kujiamini hali akijua kuna senior mzuri nipo nae as long as ana potential nzuri.

See Bradley anaingia kucheza upande wa TAA na TAA anapelekwa mbele lazima ajione E.! Hivi kumbe naaminiwa hivi? Atajituma tu na akupe akiwezacho. Ila sio ile unawajaza wenyewe mechi moja yenye pressure utaona ubora wao.

So far Quansah is our best young player from our Academy this season followed by Bradley, according to me
 
Liverpool walicheza mpira kwa dk 20 tu za mwisho.. Muda mwingi tulikuwa tukishambuliwa na tulifanikiwa kuzuia mashambulizi yao arsenal sio kwa sababu tulikuwa wazuri kwenye kuzuia, bali kwa uzembe wa forward line ya Asenal.
Havert na, Saka wamekuwa useless kwa sasa. Chance nyingi walipata lakini walishindwa kutuadhibu.
Tumefanikiwa kuvukabhii hayua lakini sijafurahishwa na kiwango tulichocheza.

TAA, Konate, Diaz na jones ndio wachezaji waliocheza vizuri jana. Wengine kwa kweli ni kawaida sana kwa walioanza.
Sub ya jota na gravenbach zilileta uhai kwenye forward line yetu.
Wale madogo wetu wawili kwa sasa wanahitaji nguvu maana viwango vya mpira tayari wanavyo. Bado nguvu hawana.

Mkuu kuna kitu umeki underate lkn kuna sababu kwa nini iwe hivyo.

Unaona kama hatukuzuia bali ni ubutu wa Arsenal, kweli ni ubutu wa Arsenal vs Ubora wa uzuiaji. Jamaa hawakupata clean comfortable opportunities, ubora wa Beckor na Konate uliuona kwenye kuzuia,?
2nd upo KO stage performance nzuri ya nini,? A goal will give you chance to book next stage sasa utafute hiyo performance kubwa ya nini? Klopp alikuwa hivi hivi kwenye mitoano (fainal) alipokuja kugundua hauhitaji good performance always to win KO ndipo alipoanza kuwin Cups.

3rd we were away Emirate stadium ambapo City alikufa season hii hii, tuwape heshima zao jamaa hao wa London. Tulienda without our four senior and key players;

Szobo
Vvd
Salah
Endo

A part from Lucky tulikuwa vizuri defensively, kama unafikiwa golini na unaokoa you are good. Woodwork tuligonga twice wao once. On target wao 6 sie 3. Blocks wao 4 sie 1. Bado hata stats za offensively tulikuwa vizuri.

We played well last 20 min, and we won it. Football hata dk mbili zinakupa matokeo refer Liverpool vs Fulham this season.

Jamaa walitubana, kweli kweli na high pressing yao.
 
Imagine kuna kipindi SAKA tulitaka kuaminishwa ndiye best Winger in EPL [emoji706][emoji706]

Makinda yanayoibukia Sapain, Germany na Italy huwa yanadevelope vizuri tu kama kina Sancho, Pulisic, Werner, Vini, n.k.

Lakini makinda yanayoibukia EPL au wale waliotoka Spain, Italy na Germany wakina EPL basi wanaishia kupotea baadae na ni wachache sana ndiyo wanaoendeleza Consistency tofauti na zamani walivyoibuka kina Gigs, Scholes, Beckham, Owen, Gerrard, Lampard, MacCmanaman, Ian Right n.k.

Yaani waliibuka kina Dle Ali, Mount, Foden, Reece, Trent, Sancho, Saka but hapo ni Trent pekee ndiye kaingia kwenye class ya World Class.

Kwa nionavyo sasa hivi makocha wengi wanataka players wacheze kwa akili ya kocha na sio kwa uwezo wao. Babu don Carlo alielezea hili kuwa mpira wa sasa unawalimit sana players kutumia talents zao kuuchezea mpira. Akasema wewe wafundishe wachezaji basics za mpira kisha waache wacheze kwa uhuru na talents zao, which is Yes button to me.

Hapo kwa Saka ni last season na football ilivyo mtu akiwa kwenye peak na umri mdogo ndio yale New “””””””. Mie niliingia ukakasi walipomfananisha Salah na Saka last season kuwa Saka is ahead Salah. Kwa stats hizi kweli walitaka tuamini hivyo?

Saka did better but not than Salah individually:- Last season stats EPL & CL.

Salah scored 19 goals and 12 assists.
Saka scored 14 goals and 11 assists.

EPL Stats only.

UEFA
Saka registered 2 goals with 0 assist.
Salah registered 8 goals with 2 assists.
Hapa Salah alikuwa na msimu mbovu individually and as a team.

Paul Merson akatushauri tumuuze Salah kwa ile offer ya wa Saudi, kisha tumchukue Saka kwa 150.
 
Weka na hawa hapo
Melkamu Frauendorf
Ben Doak
Mabaya
Lee
Oakley
Kadie Gordon
Marcelo Pitaluga

YNWA

Gordon was so impressive before ile long injury yke. Ngoja tuone kama akipata nafasi atarudi yule yule au vipi. Huyo Melkamu ni mu Ethiopia dogo mzuri sana aise.

Oakley Cannonier mzuri sana japo bado hajapata time nzuri ya kutrain na senior team.

Namuona Calum Scanlon anapata sana airtime kutrain na senior player ila hapati japo dk 2,3 ni LB huyu.

Kuna mpoland yule sifa anamwagiwa ila sijamuona hata senior team hata bench tu. Mateusz Musialowski wenyewe wanamuita Polish Messi
 
Sisi kwa sasa tunajenga timu. Mumesahau kile kipindi cha Brendan Roja..starika ni benteke.. Carol, kipindi kile mukipambana sana ni nafasi ya nane saba.🤣🤣🤣
Mumepitia msoto Kilopu amekaa misimu minne bila kombe lolote kajenga timu saivi munaleta dharau 😡😡😡😡
Chaliangu niaje apo Abu Dhabi?
 
nunez mnyama[emoji16][emoji16]
1704721101444.jpg
 
Ni nani huyo alikuwa anamfananisha Salah na Saka?
Ama alifananisha hizo initial letters😂
Mtaje nimuombee msamaha

Back
Top Bottom