Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I was contemplanting a while ago about the best possible replacement for Klopp. My mind couldn't even picture a single soul. But after a while this name popped up in my thoughts, Zljeko Buvac (The Brain).

What if we give the team to Pep Lijnders and Buvac? Captain Marvelous King Ngwaba MosDef The MoNA
Buvac aka the Brain alikua anafanya kazi Dynamo Urusi sina hakika kama bado yupo kule ama la...
Pep Ljinders hua anapewa sifa zote na Klopp kiasi kama huyu babu Klopp angeulizwa design kama Fergie wakati anang'oka Man Utd angesema tu Pep L anatosha pengine.. Kitendo wanaodoka wote wasaidizi wa Klopp ni kama vile kuna shavu lipo mahala aisee kama sio Real Madrid, Bayern, BVB au Barcelona ndio timu naona akitua au Timu ya Taifa Ujeremani au Brazil muda utasema ataishia wapi.

Kwa Liverpool hapa kazi ilishaanza tangu November 2023 kusaka mridhi wa Klopp hivyo tuwe na subira. Majina ni mengi sana yanatajwa naamini wanao muda wa ku profile kila mmoja na kupata atakaetupeleka mbali zaidi ki ushindi.

YNWA
 
Buvac yupo German 3 Liga huko club inaitwa Hallerscher.

Kwangu mimi naona kama Klopp amefanya kutanganza uamuzi wake mapema sana tukiwa katika critical stage kwenye msimu. Tuko sehemu nzuri katika michuano yote tunayoshiriki sasa hii announcement inaweza ika disrupt kila kitu.

Ni bora angesubiri mwisho aseme hataongeza mkataba.
 
Alonso will suit us CV as Player might favour him first…!!! Then Roberto De Zerbi 2nd candidate to lead this trop

Ni aina ya makocha wenye uwezo wa kukuza na kuendeleza vipaji.
Yankees wawe makini sana kama joto litapanda sana zikaanza conspiracy za hapa na pale sababu nyuma ya pazia kuodoka kwa Klopp basi tegemea kuona Gerrard anarejea hapo 😂 na bila shaka anaingia klabuni na Henderson na Coutinho 🙆🏽🙆🏽..

Tuna kikosi kichanga sana kila nafasi angalau tuna depth ya kutuvusha salama na usajili pekee ni MF mmoja DM aafu Morton arejee kusaidiana na Bajcetic na kati tutakua salama..

Sina hakika kama Salah atabakia aisee au atasepa kuvuna mpunga UAE.

Tangu November Klopp kawajulisha kazi kwao watuletee like for like Gaffer

YNWA
 
Buvac yupo German 3 Liga huko club inaitwa Hallerscher.

Kwangu mimi naona kama Klopp amefanya kutanganza uamuzi wake mapema sana tukiwa katika critical stage kwenye msimu. Tuko sehemu nzuri katika michuano yote tunayoshiriki sasa hii announcement inaweza ika disrupt kila kitu.

Ni bora angesubiri mwisho aseme hataongeza mkataba.
Hapana aisee amefanya vyema kutangaza yeye kuliko ipenyezwe kwa Romano na mawakala wa hawa makocha wanaofuatiliwa na klabu aafu ingeleta sintofahamu sana kwa wachezaji bora wamesikia from the horse mouth kwamba msimu huu ndio wetu wa mwisho hivyo let's make history.. Aliongea nao jana asubuhi wapo waliotoa machozi kabisa lakin alibyojieleza kwao wamemwelewa kwamba hii ni part of th process na wata adapt hakuna namna...

YNWA
 
[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool will part ways with director Jorg Schmadtke next week [emoji837][emoji629]

Klopp’s backroom staff of Pep Lijnders, Vitor Matos and Peter Krawietz will also depart at the end of the season.

After Jurgen Klopp leaving in the summer, Schmadtke will not continue as he was really close to the manager.

[emoji102] It’ll be 𝐋𝐢𝐯𝐞𝐫𝐩𝐨𝐨𝐥 𝐫𝐞𝐯𝐨𝐥𝐮𝐭𝐢𝐨𝐧 next season with new director, new head coach and new staff in July 2024!
Hii imekaa aje aisee ina maana mpaka Jorg anasepq mbona kama tunabaki weupe mno kwenye nafasi muhimu sana aisee.

Muda utasema lakini hizo nafasi za kiutendaji FSG wanamleta nani kama vipi warejee kwa Edwards hawajachelewa alisaidia sana kujenga kikosi kwa mafanikio makubwa na pia data zake ndio washawishi Klopp aliekua na msimu mbaya sana BVB kwamba atafit Liverpool..
EDWARDS anatosha hii revolution hata kama sio full time apewe shavu la part time kuajiri watu muhimu kuanza hii revolution..

YNWA
 
Yankees wawe makini sana kama joto litapanda sana zikaanza conspiracy za hapa na pale sababu nyuma ya pazia kuodoka kwa Klopp basi tegemea kuona Gerrard anarejea hapo 😂 na bila shaka anaingia klabuni na Henderson na Coutinho 🙆🏽🙆🏽..
Katika vitu napenda ni kuona timu inafundishwa na legend WA club. Sijui kwanini mashabiki wa liver hamumpendi ligend wenu (Gerad). Igeni mfano wa arsenal kwa Arteta.

Gerad akijahapo, atakuja na experience kubwa, kuliko aliyokuja nayo arteta. Gerad ana uchungu sana na timu
 
IMG_20240125_211508.jpg
yajayo yanafurahisha
 
Buvac aka the Brain alikua anafanya kazi Dynamo Urusi sina hakika kama bado yupo kule ama la...
Pep Ljinders hua anapewa sifa zote na Klopp kiasi kama huyu babu Klopp angeulizwa design kama Fergie wakati anang'oka Man Utd angesema tu Pep L anatosha pengine.. Kitendo wanaodoka wote wasaidizi wa Klopp ni kama vile kuna shavu lipo mahala aisee kama sio Real Madrid, Bayern, BVB au Barcelona ndio timu naona akitua au Timu ya Taifa Ujeremani au Brazil muda utasema ataishia wapi.

Kwa Liverpool hapa kazi ilishaanza tangu November 2023 kusaka mridhi wa Klopp hivyo tuwe na subira. Majina ni mengi sana yanatajwa naamini wanao muda wa ku profile kila mmoja na kupata atakaetupeleka mbali zaidi ki ushindi.

YNWA
Klopp ni zaidi ya mtu, ni culture, personality, taasisi, monument…. You name it

I don’t see such a personality kwa sasa

Linders hana hizo qualities

Tumefikiwa 🥹🥹🥹
 
I was contemplanting a while ago about the best possible replacement for Klopp. My mind couldn't even picture a single soul. But after a while this name popped up in my thoughts, Zljeko Buvac (The Brain).

What if we give the team to Pep Lijnders and Buvac? Captain Marvelous King Ngwaba MosDef The MoNA

Kwa sasa ni kucheza na probability na mtarajiwa wa kumrithi Klopp, inaweza kulipa au kutolipa. Kuna muda unaweza kuwa na IQ kubwa ya mpira ila kufundisha inakuwa kipengele kingine. Mf. Ni Biesla, Ralf Rangnick,

Hiki ndicho nakiona kwa Pep Lijnders huenda ni kichwa haswa kama Klopp anavyomsifu ila ku manage team as boss ikamsumbua. Lijnders kwa sasa ndio anajua team na philosophy zake kwan amekuwa na Klopp for long lakini hii haimfanyi kuwa Klopp.

Buvac kwa sasa yupo huko Russia as Sporting director Dynamo Moscow, na sidhani kama jamaa anaweza kubali kurudi labda aje kama Sporting director but as coach sidhani pia. Nina kigugumizi na uwezo wao as head coach. Kabla ya kocha inafaa apatikane sporting director kichwa kisha mchakato wa kocha utafuata.

Hata hivyo kila kitu kipo sawa maana Klopp alishawaambia toka November ataondoka nafikiri wamejiandaa kufanya maamuzi.

YNWA.
 
Buvac yupo German 3 Liga huko club inaitwa Hallerscher.

Kwangu mimi naona kama Klopp amefanya kutanganza uamuzi wake mapema sana tukiwa katika critical stage kwenye msimu. Tuko sehemu nzuri katika michuano yote tunayoshiriki sasa hii announcement inaweza ika disrupt kila kitu.

Ni bora angesubiri mwisho aseme hataongeza mkataba.

His announcement has disturbed we fans only, ila wachezaji mpka ngazi za juu walishajua kutokea siku za nyuma. Ni vile wazungu wapo open sana na wamekulia mazingira haya.

Njia sahihi ilitakiwa ipigwe za chini chini ataondoka ataondoka, kisha aje aseme we will see mpka March huko au April aseme yes i will go I’m tired i need a break.
 
Yankees wawe makini sana kama joto litapanda sana zikaanza conspiracy za hapa na pale sababu nyuma ya pazia kuodoka kwa Klopp basi tegemea kuona Gerrard anarejea hapo [emoji23] na bila shaka anaingia klabuni na Henderson na Coutinho [emoji1438][emoji1438]..

Tuna kikosi kichanga sana kila nafasi angalau tuna depth ya kutuvusha salama na usajili pekee ni MF mmoja DM aafu Morton arejee kusaidiana na Bajcetic na kati tutakua salama..

Sina hakika kama Salah atabakia aisee au atasepa kuvuna mpunga UAE.

Tangu November Klopp kawajulisha kazi kwao watuletee like for like Gaffer

YNWA

Selection ya Sporting Director na kocha ndio itatuonesha au how serious FSG are. Tusubiri.

In case Salah atatimka na mpunga ukaja ule ule with good coach tutakuwa bado salama. Na kuondoka kwa Salah itategemea na Kocha ajaye.
 
Teja bardi ya Uingereza ilimpeleka puta sana.
Conte hana kazi.
Zizou hana kazi.

YNWA

Mkuu makocha hao, FSG are ready to spend? History inaonesha kocha mzuri mwenye good connection with fans and LFC community overal huyo anatoboa.

Mf Zidane ni ready made coach hana muda wa kupika wachezaji, kwa LFC ready made wanahesabika hizo offload atakazotaka na income FSG wanaweza?

Nafikiri selection ijikite pia kwenye uwezo wa kuandaa vijana pia, na mwenye uwezo wa kumanage vipaji. Inahitaji utulivu sana
 
Back
Top Bottom