Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ujue selection ya kocha mpya ni ngumu sana kujua itakubali au lah.! Angalia Italy timu kubwa wamegeukia wachezaji wao wa zamani ambao bado hawajakwiva.

Kwa sasa kwenye ulimwengu wa mpira kuna makocha wachache sana wenye uwezo mkubwa

Pep
Klopp
Do Carlo

Hawa ndio top three ambao kuondoka kwao sio kuishiwa mbinu ni sababu zingine.

De zerbi tuseme labda bajeti yake ndogo na wamejiwekea standard ya kukuza na kuuza.

Alonso msimu wake wa kwanza mzima huu bado hajafanya vibaya, alikuja last season akaikuta timu mbovu akaishia ya sita last season.

Kama ni data nafikiri;

Nagelsmann
Alonso
Lijnder
De Zerbi watakuwa kwenye list ya FSG itategemea na Sporting director atakayekuja.
Subiri uone home boy Gerrard anatua mazlma ndio utaelewa who's FSG Hahaha....

Kwa kua Klopp kashataganza sio siri tena hatakuwepo msimu mpya ni dhahiri sasa klabu ipo kwenye mchakato huu kutazama mridhi bora kabisa...

Nina imani na data generated search itatuweke salama kuliko kutumia hisia kuchukua Mwalimu...

Ama tushuke mazima kwa El Cholo🤣🤣

YNWA
 
El Cholo kama tunaendana nae hivi.
 
Sasa nimejua Kwa nini Klopp alikuwa anatuyeyusha kusajili DM. Huyu dogo James MacOnell anaonekana kuwa na miguu SG8 kabisa.
Anajua kuingia uvunguni, anajua kuchungulia pa kupeleka mpira. Klopp anaondoka kaacha watu pale dimba la kati kama watano hivi.

Nenda baba kawasalimie Hispania!
Nenda kawasalimie Ujerumani! But You Will Never Walk Alone!
 
Subiri uone home boy Gerrard anatua mazlma ndio utaelewa who's FSG Hahaha....

Kwa kua Klopp kashataganza sio siri tena hatakuwepo msimu mpya ni dhahiri sasa klabu ipo kwenye mchakato huu kutazama mridhi bora kabisa...

Nina imani na data generated search itatuweke salama kuliko kutumia hisia kuchukua Mwalimu...

Ama tushuke mazima kwa El Cholo[emoji1787][emoji1787]

YNWA

Hahah FSG kwani wanashindwa basi?? Kuliko kwa Stevie G bora tumchukue Lijnder mazima bila data wala nini.

Na wakienda kwa data Gerrard hawezi ingia hata top five ya shortlist yao. Maana Cv aliipopoa mwenyewe pale Villa, angebaki Rangers na awe bado anasumbua nafikiri there would be no doubt wangemchukua.

Naamini FSG wakipata mshauri mzuri hasa kuwaonesha nini maana ya kubaki kwenye ubora, ikiwa kocha bora, wachezaji bora, kuwekeza kwenye academy. Mf sasa hivi unasema Bradley/Quansah yupo sokoni mid table watapigana vikumbo na bei yake ni kama 20-35 kwa soko la sasa hivi.

Dah.!!! El cholo mzuri kweli na anajua amsha amsha kama Klopp, yupo connected na fans overall, ukiweka na Anfield atmosphere perfect puzzle unfold . Anaweza kuwa mrithi mzuri wa Klopp maana ni mpishi mzuri wa vipaji na anajua kuishi navyo. Atleast he has that CV ya kukaa na kukaa na majina makubwa bila kumuathiri. Lows and highs amezipitia

Bado naona tutaangukia kati ya hawa;

Alonso
De zerbi
Lijnders

Cholo (huyu itakua package surprise).
 
Sasa nimejua Kwa nini Klopp alikuwa anatuyeyusha kusajili DM. Huyu dogo James MacOnell anaonekana kuwa na miguu SG8 kabisa.
Anajua kuingia uvunguni, anajua kuchungulia pa kupeleka mpira. Klopp anaondoka kaacha watu pale dimba la kati kama watano hivi.

Nenda baba kawasalimie Hispania!
Nenda kawasalimie Ujerumani! But You Will Never Walk Alone!

Mkuu itategemea na atakayekuja. Ila kwa hawa watoto

Bajcetic
Bradley
Jones
Mc Connel
Quansah
Clark
Beck

Future is bright for both parties.
 
LADDER 49.png
 
Hahah FSG kwani wanashindwa basi?? Kuliko kwa Stevie G bora tumchukue Lijnder mazima bila data wala nini.

Na wakienda kwa data Gerrard hawezi ingia hata top five ya shortlist yao. Maana Cv aliipopoa mwenyewe pale Villa, angebaki Rangers na awe bado anasumbua nafikiri there would be no doubt wangemchukua.

Naamini FSG wakipata mshauri mzuri hasa kuwaonesha nini maana ya kubaki kwenye ubora, ikiwa kocha bora, wachezaji bora, kuwekeza kwenye academy. Mf sasa hivi unasema Bradley/Quansah yupo sokoni mid table watapigana vikumbo na bei yake ni kama 20-35 kwa soko la sasa hivi.

Dah.!!! El cholo mzuri kweli na anajua amsha amsha kama Klopp, yupo connected na fans overall, ukiweka na Anfield atmosphere perfect puzzle unfold . Anaweza kuwa mrithi mzuri wa Klopp maana ni mpishi mzuri wa vipaji na anajua kuishi navyo. Atleast he has that CV ya kukaa na kukaa na majina makubwa bila kumuathiri. Lows and highs amezipitia

Bado naona tutaangukia kati ya hawa;

Alonso
De zerbi
Lijnders

Cholo (huyu itakua package surprise).
🤣 🤣 El Cholo Anfied ingelipuka kwa shangwe aisee yule bwana ni habari nyingine kabisa kwa kuamsha amsha.. Na pia ana situation kama ya Klopp pale miaka ya nyuma kabla ya anguko la Barcelona na Real Madrid kipesa alikua bado anapambana nao na bajeti yake finyu... Ishu ya kwanza kwake itakua mshahara jamaa anakula dola za kutosha ambazo kwa FSG sina hakika kama wama match aafu pale wanamvumilia sana kwa sababu ukitazama rekodi yake kuchukua ubingwa sio nzuri sana kwa muda aliokaa pale...

Ngoja twende na hao hao wanaotajwa kwa sasa kama pale itajulikana ni nani anatua Anfied..

YNWA
 
Ukiwaangalia
Bradley
Quansah
Bajcetic
Kelleher
Mac Connel
Jones
Elliot

Unawaza ajaye ataweza kuvikuza hivi vipaji?? Ni mtihani kweli kweli kwa ajaye
Kwa bajeti za FSG na mashindano yalivyokua mengi mbona hana namna atawatumia tu tofauti na hapo aingie sokoni na hilo sidhani..

Kama Gerrard anarudi na kina Milner, Henderson 🤣🤣we are finished guys..

YNWA
 
[emoji1787] [emoji1787] El Cholo Anfied ingelipuka kwa shangwe aisee yule bwana ni habari nyingine kabisa kwa kuamsha amsha.. Na pia ana situation kama ya Klopp pale miaka ya nyuma kabla ya anguko la Barcelona na Real Madrid kipesa alikua bado anapambana nao na bajeti yake finyu... Ishu ya kwanza kwake itakua mshahara jamaa anakula dola za kutosha ambazo kwa FSG sina hakika kama wama match aafu pale wanamvumilia sana kwa sababu ukitazama rekodi yake kuchukua ubingwa sio nzuri sana kwa muda aliokaa pale...

Ngoja twende na hao hao wanaotajwa kwa sasa kama pale itajulikana ni nani anatua Anfied..

YNWA

Kabisa, Cholo anakula parefu maana alishataka kuondoka ndio wakampa cha juu zaidi.

Sema Atletico sio timu ya makombe bado, japo wanafanya uwekezaji ila wanakuwa hawana bahati pia. Wamesha battle Knockout stage za Wakubwa kina Juve, kina Liverpool kina Bayern tatizo kwao ilikuwa ni depth na kutokana na bajeti. Ila akipata timu nzuri anafanya jambo. Same na Klopp FSG wangempa support ya kutosha probably Cl angekuwa nazo 2/3 Epl hata 4 by now. Ufinyu wa kikosi umemnyima makombe.
 
Kwa bajeti za FSG na mashindano yalivyokua mengi mbona hana namna atawatumia tu tofauti na hapo aingie sokoni na hilo sidhani..

Kama Gerrard anarudi na kina Milner, Henderson [emoji1787][emoji1787]we are finished guys..

YNWA

Totally finished. English staff ni kutupeleka korongoni huku tukijiona. Narudia tena kuliko Gerrard wampe Lijnder bila kuwaza chochote,

YNWA
 
Miss Liverpool hae...

Una hamu ya kuona Henderson, Lallana, Lovren, Milner na C10 wakirejea Anfied? Kama ndio mpe kazi Gerrard.

YNWA

Hivi hawajamuona Gerrard alivyoiporomosha VILLA? Hii nguvu ya kumpigia kampeni Gerrard wanaipata wapi? Huko uarabuni tu pamemshinda ndio iwe team yenye mapresha kama Liverpool.

Aaaah bana, tuwe serious kidogo. Nilichojionea kwa Villa hapana aisee Gerrard bado sana kuwa kocha kwa timu kama Liverpool.
 
Hii ishu ya Klopp ilivyochukuliwa kama msiba hivi,

[emoji3504] Carlo Ancelotti: “Jürgen Klopp has my uttermost respect. He’s a fantastic coach who has contributed a lot to football.”
[emoji3504] Xabi Alonso: “I have huge respect and admiration for Jürgen.”
[emoji3504] Pep Guardiola: “Football needs managers and personalities like him. Personally he has been the best rival I ever had in my life.”
[emoji3504] Erik ten Hag: “He has done an amazing job in Liverpool.”
[emoji3504] Sir Alex Ferguson: “Jürgen is undoubtedly one of the most gifted managers in world football and the dedication and passion which Jürgen brings to the role is inspiring to anyone aspiring to a career in football management.”
[emoji3504] Thomas Tuchel: “Klopp is one of the very best coaches in the world, he has always managed to influence the clubs where he worked.”
[emoji3504] Mauricio Pochettino: “I want to show my respect because the job with Liverpool is amazing. We have to respect his wish to rest.”
[emoji3504] Zinedine Zidane: “Klopp is a great manager with a great CV and has done superbly at Liverpool. I like to look and learn though and when I did my coaching course I analysed Klopp.”

Jürgen Klopp, a true legend. [emoji3590]
 
Back
Top Bottom