Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ni Wachezaji walimgomea tu kumpa ushirikiano.Gerrard sio muonekano, alichofanya Villa ndio wasi wasi kwa wengi wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Wachezaji walimgomea tu kumpa ushirikiano.Gerrard sio muonekano, alichofanya Villa ndio wasi wasi kwa wengi wetu.
Wampumzishe tu asicheze aiseeAmina [emoji1431]
Leo mtashinda NJAA,mmetuzoea sana nyieSidhani hata sub atakuwepo. Najua Klopp atakaa nae na amuulize unaweza kucheza? Akikubali na ikiwa Klopp alimuweka kwenye homework yke vs Arsenal atacheza. Scenario kama hizo zimetokea na watu wakacheza.
Beckor alifiwa na baba yke akacheza 2021’
Klopp alibaki kwenye touchline kwenye msiba wa mama yke 2021’
Kipindi cha covid’
Watu wanasikitika kumkosa Bradley leo wanasahau Trent yupo, hofu yao ni art of defending ya trent, weakness inalazimisha wachezaji baadhi ya wachezaji kuongezewa majukumu
Konate (anacheza close to trent as 4)
Szobo (anacheza RHS).
Anyway kikubwa tushinde, hata akicheza adrian as RB.
YNWA
Kabisa nakuabaliana Na wewe, Nunez hana shida yoyote, Ni Bahati tuu. 😂😂Ila kwakweli Kama ali hit the post 4 times and we still managed to score 4 goals against Chelsea. How many goal scoring opportunities did we create against a supposed big club like Chelsea. Chelsea need to really check their players and coaching system. It is more embarrassing for Chelsea than NunezAn excellent product in the making
His role pale mbele ni immense
Babu ki ukweli kuodoka kwa Norbert K hapa tumekamatika ametutoa mbali sana na bado tunamhitaji sana tu,.. kufanya kazi na wale FSG ni mtihani sana huku unaekimbizanabizana nae amepewa blank cheki kuingia sokoni na Mansour...Ila Klop akiondoka sijui itakuwaje... dah!
Jamaa linajua asee....
Asse wameloga hadi dogo kafiwa na baba
Tulikua tunamtaka sana yule Dogo aanze akutane na Martinell.Bahati mbaya amepata tatizo.Asse wameloga hadi dogo kafiwa na baba
Slobodan vipi???
game kwa Trent ni tricky
Hopefully tutaishinda kama kawaida yetuAsse wameloga hadi dogo kafiwa na baba
Slobodan vipi???
game kwa Trent ni tricky
Jiandae na kilioHii game sisi kama arsenal tunaihitaji sana napenda kutanguliza pole za dhati kwa wanalivapool.
You will walk alone cryngJiandae na kilio
Sana, mimi kama Arsenal nimeshangaa jamaa kuanzia benchi.Nunez ni wa muhimu sana kwenye hii timu akiwepo attacking inakuwa on fire .