Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Duh, dogo anakosa nafasi nyingi sana za maana!Origi ni far better than Luis Diaz interm of finishing.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, dogo anakosa nafasi nyingi sana za maana!Origi ni far better than Luis Diaz interm of finishing.
Ila vinapelekewa moto wa hatari sema tumekosa mtu katili wa kumalizia! Kipindi cha pili lazima vitepete!Upumbavu tu hakuna cha maana cha kuangalia ovyo kabisa.
Anapapara macho chini hajui anakimbilia wapi kupata position ya kushoot, hajui muda sahihi wa kushoot.Duh, dogo anakosa nafasi nyingi sana za maana!
No way.Ila vinapelekewa moto wa hatari sema tumekosa mtu katili wa kumalizia! Kipindi cha pili lazima vitepete!
Tayari! Ndani ya dakika 3 vimewaka! Wacha tuone mwisho wake!No way.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Tayari! Ndani ya dakika 3 vimewaka! Wacha tuone mwisho wake!
Tulikuwa na wasiwasi bwana! Maana kila ukiangalia kwenye benchi huoni watu!Msipende kudharau kikosi kilichopangwa na wataalam
Front yote imepata magoli!Timu ishanusa ubingwa hii
Hata ukivipanga vitoto vyote vya Academy vinakiwasha tu.View attachment 2911696
Kwahiyo wenzetu mlikuwa mnaona miti?Tulikuwa na wasiwasi bwana! Maana kila ukiangalia kwenye benchi huoni watu!
Na ndio mliowadharauFront yote imepata magoli!
Si mpaka watukanwe!Na ndio mliowadharau