TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
PhilosophicalKlopp: "The same boys who today missed a few chances are the ones who brought us to 71 points."
But we were wasteful and undetermined
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhilosophicalKlopp: "The same boys who today missed a few chances are the ones who brought us to 71 points."
Mshehereshaji tu huyo Dada😂😂😂😁😁😁 Saint Anne sijamuona huku wala kule kwetu kwa muda mrefu usio kawaida. Sasa sijui ni ile sare na Manyumbu imemkosesha raha au amejichimbia mahali anatuombea mabaya...
Nilitaka niisave hii nije nii-repost baada ya hizi mechi but nimeona mwishoni umeweka posibilities.But kwa kuangalia factors zangu za kimpira Arsenal hatomfunga Manure na Spurs naenda zaidi kwa draw 50%, Lose 30% na Win ni 20%.
So far Jota has played 1052 minutes in premier league with 9 goal this seasonUnajua ni mechi ngapi huyo Jota amecheza na tukafungwa au kutoka sare? Je hiyo Clinical yake huwa inaenda wapi?
Na kuna mechi ngapi amecheza na hajafunga goli hata la offside?
Au Clinical yake ipo kwa Manure tu?
Na wapi mulipata uhakika kuwa akicheza Jota ni lazima amfunge Manure?
Au kuna uhakika gani akifunga yeye goli ndiyo kushinda kwa hiyo mechi?
Mbona munahama kwenye mpira na kuzungumzia mambo ya kihisia sasa?

What about assists or chances creation ?E4444
So far Jota has played 1052 minutes in premier league with 9 goal this season
Nunez has played 1813 minutes in premier league with 11 goals this season...
At least one seems to be more clinical than the other here.....

Why asking me?I was trying to provide the data I thought it may help on the discussion basing on clinicality of Jota raised by @dongyi....You can provide tthe data you are asking as well,not necessary melWhat about assists or chances creation ?
Nilitaka niisave hii nije nii-repost baada ya hizi mechi but nimeona mwishoni umeweka posibilities.
Naheshimu mawazo yako but you can't be so sure kwa ulichoandika.
E4444
So far Jota has played 1052 minutes in premier league with 9 goal this season
Nunez has played 1813 minutes in premier league with 11 goals this season...
At least one seems to be more clinical than the other here.....
So far Jota has played 1052 minutes in premier league with 9 goal this season
Nunez has played 1813 minutes in premier league with 11 goals this season...
At least one seems to be more clinical than the other here.....
CrapWhy asking me?I was trying to provide the data I thought it may help on the discussion basing on clinicality of Jota raised by @dongyi....You can provide tthe data you are asking as well,not necessary mel
Kuna liver iliyoanza ligi na liver ya sasa hivi, kama ilivyo Arsenal iliyo anza ligi na Arsenal ya sasa, ni vitu viwili tofautikama ndio rahisi hivyo mbona liverpool kafungwa mechi 2 tu mpaka sasa kwenye ligi? washindwe ulaya kumzibiti liverpool uone wewe huku bongo? maajabu haya.