The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
FSG kutoa 200m mmmh labda wauze Nunez kwenda Chelsea na Diaz kwenda Barcelona ndio wapate fungu nzito sanaa...
Tunahitaji dynamic DM wa nguvu sana na Martin Zubimendi kutoka Real Sociedad angefaa probably £60m.
Beki wa kati Jules Kounde kutoka Barcelona huyu dogo anacheza beki wa kati na beki wa kulia na Barcelona wanashinda na ela hivyo kwa £65m+ wanaweza kukumbali biashara.
Winga nmoja wa kulia hapo kuna Jarrod Bowen au Raphinha kutoka Barcelona Johan Bakayo kutoka PSV kwa £50m to 70m .
YNWA
Huyu Bakayoko stats zake msimu huu zimeongezeka he is a good Wing”,. Kweli kitu cha kwanza ni DM, msimu ujao mechi ni nyingi”,. New Coach ngumu kujua anakuja vipi licha ya kumsoma mara kadhaa kumhusu ila EPL is just EPL”,. Anaweza kubadili gia angani kutokana na mahitaji ya timu na ligi pia. Ila priority ya kwanza ni DM, kisha tuje kwenye LCB, sina shaka na Quansah i rated him high ni mzuri RB and RCB pia ni assest ( money saved) we need clinical Wing especially LW, after that we will see. Maana hatujui Slot anawaza nini kwa washambuliaji wake,huenda wakabadilika wakawa wazuri zaidi. Kama atafuma kiungo cha kazi.
Kwa sasa tunajua mahitaji ya timu ila mahitaji ya kocha hatujui, kuna watakao neemeka na watakao potea.