Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tungepata DM aisee tungekuwa [emoji91] sana, alaf na Jota ajitahidi basi a adapt mfumo wa Kocha mapemaa.

Msimu wa kwanza tuliomsajili Jota kama striker tulishajadili humu kuwa Diogo Jota ni very inconsistent player ndiyomana Klopp akaingia Sokoni kutafuta Striker (Nunez) baada ya kuondoka Firmino.

Huo ndiyo mpira wake wa kukosa Consistency wala usisumbuke kumuongelea, juwa tu sasa hivi kapotea lakini atakuja kuwa kwenye form hutoamini kila mechi muhimu atakuwa yeye ndiye muokozi kama mechi za nusu ya pili msimu uliopita.
Then atapotea tena kama kawaida kwasababu ya kukosa Consistency ikisha ataibuka tena na cycle itaendelea kuwa hivyo.
 
Hajui kitu kazi kukimbia
Szobo unaona alichokuwa anawafanya yeye na Casemiro?
Mara nyngi alikuwa anakaa kati kati ya Casemiro na Maino na ile ilikuwa inafanya wasipress wote pamoja na wakipress basi anapokea mpira kwenye eneo lenye madhara… kikubwa ambacho hakukifanya jana kupiga or kutoa pass wakati sahihi
 
IMG-20240902-WA0011.jpg
 
I Like The Team Work.

Arne Slot kila akiulizwa kuhusu, mchezaji mmoja mmoja haya ndio majibu yake, hawezi kuwabagua wengine na kumsifia mmoja, itakuwa ni kutotenda haki.

Mie ni miongoni mwa Kops niliopanda gari la mabadiliko ya LFC mapema sana. Niliposikia uteuzi wa Slot, ilibidi nijifungie kwanza maktaba nimchungulie huyu Slot ni nani? Mwanzo kulikua na majibu makubwa na ya wastani ikiwemo De Zerbi, Alonso, Amorim, Flick even Motta. Kwenye list ya Slot ni kama alikuwa wa mwisho. Baada ya Amorim na Alonso kutokukubaliana na structure ya team ndipo tukaenda kwa Slot na bila kufikiria mara mbili mbili alisema “Yes i am ready for that job”.

Huyu ni nani haogopi kumrithi Klopp na anajiamini nini?? Kilichonivutia kwa Slot ni Possession football the use of double pivote na natural ST. Nikasema naam hapa huenda tukawa na kocha mzuri wa mbinu. Why, Coaching journey inajieleza sana kila alipopita alifanikiwa alianza Cambuur, akaenda AZ Alkmaar kama interim coach baadae akawa kocha mkuu. Hii timu aliikuta ya kawaida akaitengeneza kugombea ubingwa akipambana na Ajax (msimu wa korona ligi yao ikafutwa) akaanza mazungumzo na Feyenoord, Az walipogundua wakamtimu. Akabeba kombe la ligi na KVBD ya nchi Holland. Ndipo LFC ikamuona.

Slot ni muumini wa high defensive line, Intensity attacking game, possession football. Alichokibadilisha mpaka sasa ndani ya LFC ni kitumia natural ST role na kupunguza false 9 role (aah ukitaja false nine inanijia picha ya selfless player from Brazil, best Brazilian player to ever kick English League with more goals, call him pastor Bobby Firmino). Slot amekuja na matumizi ya double pivot ambao ni anchor and deep-lying MF.
Using more FBs underlapping over FBs overlapping.
Again Slot prefer creating chances through the middle in the final third na ameongeza watu wengi kushambulia final third. More than 4-6 players wanakuwa kwenye final third hasa baada ya turn over.

My Analysis vs Utd.

Kwanza hamna kitu kizuri kwa Kops kama kushinda OT, its such a joy for sure what an international break will be?! Kumfunga utd convincingly bila makando kando, good thing referee is a Manchester kid (he had grown there). Three clean goals with cleansheet after crucial saves from Alison. How clinical we were yesterday 3 shots on target, 3 goals.

How did we win utd,??

It looked quite simple but mbinu zikipata wachezaji husika ndivyo hutokea. Why Graven looks like new guy??
He is more of possession player he likes passing game, amekutana na passing coach with Graven’s talent what do you expect??
Graven anakupa triangle shape, anakupa pentagon shape , Smooth pass unapata kwake, both long and short passes, height, power, playing with spaces.
IMG_6064.jpg

Hii ndio triangle pattern, ilipigwa sana enzi zile Barca ya Xavi, zinapigwa sambusa sambusa, hizi ndizo patterns za Gravern, amekulia Ajax, katika kukuwa kwake anajua possession football zaidi ya ile heavy metal ya Klopp ndio maana alikuwa no one else under Klopp.

His weakness ni kunusa harufu na kupiga tackling, ila anazopiga nyingi ana win. Vs Brentford won 3/3, vs Ipswich ilikuwa 3/3, vs utd ilikea 2/2. Impressive
79a7f96b-0e05-4f63-a9db-fddb71b5dd38.jpg

14904276-2a46-400c-97bc-96ab895e334a.jpg

b36fd64a-b697-48bb-85aa-c40a6937efda.jpg

Graven’s hit map last 3 matches. No. 6 ameimudu vizuri mpaka sasa.

Just waoh though its too early but we enjoy the moment we have.

With ball looks 3-3-4, kuna muda ilikuwa 2-4-4 without the ball it was 4-2-4 shape.

Kwenye 3-3-4 nyuma anabaki Robbo, Vvd na Konate kati anasogea Trent (as RCM) Macca and Graven mstari wa mwisho ni Diaz, Jota, Szobo na Salah.

IMG_6068.jpg

4-2-4 hiyo wakati wa kuzuia
IMG_6069.jpg

4-2-4…

Ukiangalia hizo picha za magoli ndio structure za kushambulia, loads of number kwenye final third.

Magoli yote matatu yametokana na TURNS OVER, ambayo ETH amesema Liverpool are so good kwenye turns over, which is true, Klopp made it (kudos to this Fella)

Utd waliachwa waanze build up from GK to CB’s mpira ukianza kutolewa kwa CB’s kwenda MF’s hapo inapigwa pressing ya nguvu unapkonywa CB’s wakiwa wanashanga what happened wanajikuta 4-7 players kwenye box lao. Feel sorry to Casemiro pressing trap ya Slot ilitimilizwa vizuri, Diaz, Jota, Salah, Szobo, Macca and Graven.

Goli la pili Diaz anampress Casemiro mpira baada ya first move kutoka kwa defender, 1,2,3 BOOM its a goal. Goal la pili la muundo huo huo Mpira toka kwa defender kwenda kwa Casemiro, Casemiro with poor pass to Maino, Graven ana intercept anauchukua mpira kwenda kwenye nusu ya utd BOOM first goal, third ball the same scenario Turn over nzuri sana Salah anamaliza mechi. Kilichobaki hapo ni possess waachie mpira mwenyeji we have 3 goals in the bank let them pay our debt. But third goal its a little bit debatable tofauti na magoli mawili ya mwanzo.
IMG_6062.jpg

2nd goal, Diaz anafanya zake pressing kwa Casemiro kwa nyuma, akawin likapatikana goli.

IMG_6061.jpg

First goal Ryannjiro intercept the ball pasi kutoka kwa Casemiro kwenda kwa Maino, ball to Salah, Salah crossed it Diaz on the good position put it on the net.
IMG_6063.jpg

3rd goal situation.

Mtangazaji: Slot nini umekibadilisha kwa Diaz anafunga magoli kiwepesi.
Slot”, Nashangaa kwa nini Lucho alikuwa hafungi magoli mengi, wakati Diaz ni mfungaji mzuri sana wa magoli.!!

Binafsi nilijua utd will come fearlessly, why? ETH anajua yes its a Liverpool but with no Jurgen Klopp. Will be different this time around. Because i know Slot very well since he was with Az Alkmaar later with Feyenoord i know the gaffer very well. ETH alikuja kama nilivyofikiria aggressively aliutaka mchezo ila alisahau Classy brings the different. Slot has a world class and Mid-world class players Salah, Vvd, Beckor, Trent, Robbo, Diaz, Jota, Macca… unlike his team. Utd hawapo compact compare with LFC.

Utd wakicheza na possession team wanafunguka vizuri leave spaces behind their lines looks like easy.
It could be more kama wangecheza na timu katili zaidi.

Slot said alot to improve. Yes bado timu haina free flow football anayoitaka Slot,
So far so good:-
3 matches
9 points taken
3 cleansheets
0 goal conceded

Wish best of luck to our players on their international duties.

Up reds
Up Liverpool
YNWA
 
Attachments

  • IMG_6055.jpg
    IMG_6055.jpg
    160.5 KB · Views: 4
  • IMG_6051.jpg
    IMG_6051.jpg
    164.2 KB · Views: 3
  • IMG_6063.jpg
    IMG_6063.jpg
    445.2 KB · Views: 5
I Like The Team Work.

Arne Slot kila akiulizwa kuhusu, mchezaji mmoja mmoja haya ndio majibu yake, hawezi kuwabagua wengine na kumsifia mmoja, itakuwa ni kutotenda haki.

Mie ni miongoni mwa Kops niliopanda gari la mabadiliko ya LFC mapema sana. Niliposikia uteuzi wa Slot, ilibidi nijifungie kwanza maktaba nimchungulie huyu Slot ni nani? Mwanzo kulikua na majibu makubwa na ya wastani ikiwemo De Zerbi, Alonso, Amorim, Flick even Motta. Kwenye list ya Slot ni kama alikuwa wa mwisho. Baada ya Amorim na Alonso kutokukubaliana na structure ya team ndipo tukaenda kwa Slot na bila kufikiria mara mbili mbili alisema “Yes i am ready for that job”.

Huyu ni nani haogopi kumrithi Klopp na anajiamini nini?? Kilichonivutia kwa Slot ni Possession football the use of double pivote na natural ST. Nikasema naam hapa huenda tukawa na kocha mzuri wa mbinu. Why, Coaching journey inajieleza sana kila alipopita alifanikiwa alianza Cambuur, akaenda AZ Alkmaar kama interim coach baadae akawa kocha mkuu. Hii timu aliikuta ya kawaida akaitengeneza kugombea ubingwa akipambana na Ajax (msimu wa korona ligi yao ikafutwa) akaanza mazungumzo na Feyenoord, Az walipogundua wakamtimu. Akabeba kombe la ligi na KVBD ya nchi Holland. Ndipo LFC ikamuona.

Slot ni muumini wa high defensive line, Intensity attacking game, possession football. Alichokibadilisha mpaka sasa ndani ya LFC ni kitumia natural ST role na kupunguza false 9 role (aah ukitaja false nine inanijia picha ya selfless player from Brazil, best Brazilian player to ever kick English League with more goals, call him pastor Bobby Firmino). Slot amekuja na matumizi ya double pivot ambao ni anchor and deep-lying MF.
Using more FBs underlapping over FBs overlapping.
Again Slot prefer creating chances through the middle in the final third na ameongeza watu wengi kushambulia final third. More than 4-6 players wanakuwa kwenye final third hasa baada ya turn over.

My Analysis vs Utd.

Kwanza hamna kitu kizuri kwa Kops kama kushinda OT, its such a joy for sure what an international break will be?! Kumfunga utd convincingly bila makando kando, good thing referee is a Manchester kid (he had grown there). Three clean goals with cleansheet after crucial saves from Alison. How clinical we were yesterday 3 shots on target, 3 goals.

How did we win utd,??

It looked quite simple but mbinu zikipata wachezaji husika ndivyo hutokea. Why Graven looks like new guy??
He is more of possession player he likes passing game, amekutana na passing coach with Graven’s talent what do you expect??
Graven anakupa triangle shape, anakupa pentagon shape , Smooth pass unapata kwake, both long and short passes, height, power, playing with spaces.
View attachment 3084982
Hii ndio triangle pattern, ilipigwa sana enzi zile Barca ya Xavi, zinapigwa sambusa sambusa, hizi ndizo patterns za Gravern, amekulia Ajax, katika kukuwa kwake anajua possession football zaidi ya ile heavy metal ya Klopp ndio maana alikuwa no one else under Klopp.

His weakness ni kunusa harufu na kupiga tackling, ila anazopiga nyingi ana win. Vs Brentford won 3/3, vs Ipswich ilikuwa 3/3, vs utd ilikea 2/2. Impressive
View attachment 3084955

View attachment 3084956

View attachment 3084957

Graven’s hit map last 3 matches. No. 6 ameimudu vizuri mpaka sasa.

Just waoh though its too early but we enjoy the moment we have.

With ball looks 3-3-4, kuna muda ilikuwa 2-4-4 without the ball it was 4-2-4 shape.

Kwenye 3-3-4 nyuma anabaki Robbo, Vvd na Konate kati anasogea Trent (as RCM) Macca and Graven mstari wa mwisho ni Diaz, Jota, Szobo na Salah.

View attachment 3085001

4-2-4 hiyo wakati wa kuzuia
View attachment 3085002
4-2-4…

Ukiangalia hizo picha za magoli ndio structure za kushambulia, loads of number kwenye final third.

Magoli yote matatu yametokana na TURNS OVER, ambayo ETH amesema Liverpool are so good kwenye turns over, which is true, Klopp made it (kudos to this Fella)

Utd waliachwa waanze build up from GK to CB’s mpira ukianza kutolewa kwa CB’s kwenda MF’s hapo inapigwa pressing ya nguvu unapkonywa CB’s wakiwa wanashanga what happened wanajikuta 4-7 players kwenye box lao. Feel sorry to Casemiro pressing trap ya Slot ilitimilizwa vizuri, Diaz, Jota, Salah, Szobo, Macca and Graven.

Goli la pili Diaz anampress Casemiro mpira baada ya first move kutoka kwa defender, 1,2,3 BOOM its a goal. Goal la pili la muundo huo huo Mpira toka kwa defender kwenda kwa Casemiro, Casemiro with poor pass to Maino, Graven ana intercept anauchukua mpira kwenda kwenye nusu ya utd BOOM first goal, third ball the same scenario Turn over nzuri sana Salah anamaliza mechi. Kilichobaki hapo ni possess waachie mpira mwenyeji we have 3 goals in the bank let them pay our debt. But third goal its a little bit debatable tofauti na magoli mawili ya mwanzo.
View attachment 3084961
2nd goal, Diaz anafanya zake pressing kwa Casemiro kwa nyuma, akawin likapatikana goli.

View attachment 3084975

First goal Ryannjiro intercept the ball pasi kutoka kwa Casemiro kwenda kwa Maino, ball to Salah, Salah crossed it Diaz on the good position put it on the net.
View attachment 3084979

3rd goal situation.

Mtangazaji: Slot nini umekibadilisha kwa Diaz anafunga magoli kiwepesi.
Slot”, Nashangaa kwa nini Lucho alikuwa hafungi magoli mengi, wakati Diaz ni mfungaji mzuri sana wa magoli.!!

Binafsi nilijua utd will come fearlessly, why? ETH anajua yes its a Liverpool but with no Jurgen Klopp. Will be different this time around. Because i know Slot very well since he was with Az Alkmaar later with Feyenoord i know the gaffer very well. ETH alikuja kama nilivyofikiria aggressively aliutaka mchezo ila alisahau Classy brings the different. Slot has a world class and Mid-world class players Salah, Vvd, Beckor, Trent, Robbo, Diaz, Jota, Macca… unlike his team. Utd hawapo compact compare with LFC.

Utd wakicheza na possession team wanafunguka vizuri leave spaces behind their lines looks like easy.
It could be more kama wangecheza na timu katili zaidi.

Slot said alot to improve. Yes bado timu haina free flow football anayoitaka Slot,
So far so good:-
3 matches
9 points taken
3 cleansheets
0 goal conceded

Wish best of luck to our players on their international duties.

Up reds
Up Liverpool
YNWA
Good analyz....kudos
 
The MoNA ulisema hili
Arne Slot on his message at half time:

“We said they were going to press aggressively, but I showed them three moments where one situation that led to a chance for Mazraoui.

"Luis [Diaz] was not tracking back as he should. Those moments can change the game at Old Trafford.

Naam. Kuna mahali pia niliwaambia hivi
H
IMG_6083.png

Hii ndio indicator ilifanya nione, ni jinsi gani ETH atakuja plus Home advantage.
IMG_6081.jpg

Alichokisahau ETH ni ubora wa LFC aliouacha Klopp, na Slot ni moja ya kocha wazuri, ukisoma historia yake ni mtu aliyekulia kwenye mpira, hana cha kumu underrate mpinzani, plus small details alizoongeza kwenye timu aliyoikuta ndio ilifanya utd wapatwe na walichokipata…!!!

YNWA
 
Seriously Grav ametransform midfield yetu. He has taken the role of holding mid into his own hands na hizi 3 first games ameonyesha matirity ya hali ya juu kiasi cha kumfanya Casemero kuonekana ni amature tu.

View attachment 3084653

Pressing trap ya aliyofanyiwa Casemiro plus Maino ilikuwa ngumu kuhimili, Graven na Macca wana pause, Diaz na Szobo wanaanzisha hiyo pressing, ndio maana magoli mawili tuliwin kwenye nusu yao wakiwa wanafanya build up..!!!
 
But seriously lets forget about Grav, Mo Salah ni mtu asee. Amekuwa involved kwenye almost all goals this season, amekuwa top scorer wetu for so many seasons hata tumesahau. There are rumours kuwa he will leave after his contract expiration at the end of this season lakini nafikiri ingekuwa wise kama tungempa hata extension ya 3 years.

Yeah i would pick Salah next two season from this one. He has that energy,

Nafikiri under Slot atashine sana, he is more of team work than individual brilliances, hushangai goli vs Ipswich la Jota nadra eneo lile kutoa assist angejaribu mwenyewe.

Yeaterday two assists maeneo yale alipenda kujaribu sana. Hiki ndicho kocha yoyote yule hukifurahia, “TEAM WORK”,.
 
Back
Top Bottom