Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna timu iliyokamilika”,. Utofauti huja kwenye uwezo binafsi zaidi pale mbinu za kocha zinapogonga mwamba”,.
Bado hayupo vizuri sana aisee
Tusije kuanza tiamaji tiamaji ligi ikikolea

Hii timu mimi sina hamu nayo tena kwa iliyotutenda mwakajana
Tulianza hivihivi kucheza vizuri hadi ikafika January tupo moto.
Kilichofuata...
 
Hii kauli ya amepokea kikosi kizuri mnaitumia vibaya sana.

Slot ametoka timu gani? Feyernood, can you compare Feyernood na hata Brentford,? Licha ya LFC, yes alikuwa na kikos cha Feyernood sasa amekutana na LFC yenye world class players and mid world class player, ulitarajia nini?

Mf. Wewe ukitoka ofisi A ulipokuwa unatumia Desktop yenyewe window 7 RAM 2 storage 128GB ukahamia ofisi B yenye desktop window 10 yenye RAM 4 na storage 500GB, utahisi nini hapo?

Hakusema kikosi hakina madhaifu, hakusema hahutaji kuongezewa nguvu, ameridhi kikosi kizuri of which is 100% true compare to where he was at.

Enjoy any good moment you have,.

Shikamoo dada”

YNWA
Yeye kama anaona timu inatosha sawa.
Sisi tumachotaka ni makombe.

Asije akarudia utoto wa Klopp
Kujidai baba miujiza yeye mzee wa yasiyowezekana kushinda bila kikosi kipana.
 
Bado hayupo vizuri sana aisee
Tusije kuanza tiamaji tiamaji ligi ikikolea

Hii timu mimi sina hamu nayo tena kwa iliyotutenda mwakajana
Tulianza hivihivi kucheza vizuri hadi ikafika January tupo moto.
Kilichofuata...

Last season ndio ugonjwa wetu miaka yote tuliyokosa ubingwa kwa points kadhaa au kutema ubingwa kama last season tukiwa kwenye good point ya kuubeba. Late january - April tutaona tutakuwa wapi”,.

YNWA
 
Last season ndio ugonjwa wetu miaka yote tuliyokosa ubingwa kwa points kadhaa au kutema ubingwa kama last season tukiwa kwenye good point ya kuubeba. Late january - April tutaona tutakuwa wapi”,.

YNWA
Msimu jana ndio kiboko
Yaani ni kiboko aisee
Liverpool hii ilikuwa inashinda kila mechi
Yaani sikuamini macho yangu
 
Slot ku-win his first 3 games ilikuwa ni vital sana.

Upcoming coaches wengi huwa wana-fail kwenye big clubs, kwa kubadilisha principles zao mambo yakiwa yanaenda kombo.

Leo, alichokifanya Slot imekuwa ni BIG SCARE kwa wengi, especially kwa suala la 3 at the back, tena tukiwa na CB mmoja tu at the back (VVD), when was the last time we played 343? its ok to draw games sometimes, haina haja ya kupanic, especially msimu wako wa kwanza at the club ambapo bado una muda mwingi sana wa kuweka vitu sawa.

Natumaini, ata-stick na his principles, maana ikitokea tume-fail kushinda on Tuesday, miluzi itakuwa mingi sana.
Ni kweli

Hata losing was key to his bald eagle

Nakumbuka hata olé gunna had some descent start
 
Front page needs to be edited. Anfield capacity changed this season. Also, there is a new manager. Not Klopp anymore.
 
Back
Top Bottom