Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Hivi kuwe kuna kipengele kwamba sub haimhusu hahah basi yule wakala wake makerere atakua noma sanaaaa.....Alafu kocha amesha muogopa kuwa akimfanyia sub atanuna? [emoji23]
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuwe kuna kipengele kwamba sub haimhusu hahah basi yule wakala wake makerere atakua noma sanaaaa.....Alafu kocha amesha muogopa kuwa akimfanyia sub atanuna? [emoji23]
Kilichonitisha mkuu ni pale tetesi Klopp was pushing Keita, Matip n Milner wepewe new deal yaani like how....Kabisa. Mimi sina shida kama una small squad but you have warriors, muda wote wapo kamili kukabiliana na lolote, sio muda unawahitaji ndio kwanza wnaaongia wodini. Hapa Klopp alifeli kuamini Ox, Keita, Matip, Thiago kuna s iku watakuja kukaa sawa.
Amekuja kugutuka mwishoni ikawa ndio too late.
YNWA
Hamna mchezaji ambaye ana mwili wa mashine atacheza mwanzo mwisho bila kuumia.Kabisa. Mimi sina shida kama una small squad but you have warriors, muda wote wapo kamili kukabiliana na lolote, sio muda unawahitaji ndio kwanza wnaaongia wodini. Hapa Klopp alifeli kuamini Ox, Keita, Matip, Thiago kuna siku watakuja kukaa sawa.
Amekuja kugutuka mwishoni ikawa ndio too late.
YNWA
Sisi tunataka kushindaBy the way kumfunga City hakukupi ubingwa kabisa... Ubingwa unaupata kwa kupunguza sare na kuwafunga hao wa kuanzia nafasi ya 3 nk nk... City tutoke hata sare lakin akina Newcastle, Brighton nk hao nikupiga tuu....
Slot idea zake zinaeleweka na jana ilikua jambo ni moja tu kupiga counter...
YNWA
Unanipotezea kipenziDah😂😂😂
We ulishindwa kuninunulia bila kuomba
SMaamuzi Sahihi Yanakupa Kitu Sahihi.
Passing game. Mahali Pep anawasumbua watu wengi ni passing game yake ina quality sana, ana wachezaji wenye uwezo mzuri wa kupiga quality passes ambazo zinaweza kubreak press line ya opponents.
Moja ya vitu Slot ameongeza kwa wachezaji hawa ni uwezo wa kupiga pass na maamuzi ya wapi pasi iende kwa wakati gani.
Game vs B’mouth we won beacuse of quality passes, passing game ya jana ilikuwa kwenye quality ya hali ya juu sana. Ibo with ana outstanding match top top quality passing jana, dah.! I had enjoyed the game apart from results. Hizi ndio zile mechi unaweza kupoteza ila unakuwa na furaha tele kwa sababu ya performance unajua next something good will happen. Even though we had started slow with two errors but we come up good after 15 mins hivi.
4-4-2 kwenye kuzuia ilitumika jana kwa karibu mechi nzima, why 4-4-2 over 4-2-4 kwenye kuzuia?? Slot alitaka timu isi press sana na wachezaji wengi kuanzia juu badala yake aliweka mitego ya counter, njoo sisi tunawasubiri kuanzia hapa kati tutakuwa wengi.
What a plan and it did work.
Slot alijua tumetoka kucheza pressing game within a week tulishacheza mechi mbili, napaswa kutunza energy huku mechi inaendelea, je natunzaje?? Akaja na plan B hatupress kuanzia juu, tunakuja kukutana kati ndipo akaacha 4-2-4 kwenye kukaba na kuja na 4-4-2 kukaba. Kwamba wachezaji wengi wanakuwa kati kuliku mbele. Kisha we will try to kill them with a counters. And it worked very well.
Ibou master class kwenye passes game ya jana, ndio maana ana 1 assist and he created a chance mechi ya jana was my MOTM.
Macca dah.!! Passes zake ni hatari sana vibasi kibao, anapeleka usipotarajia kitu ambacho kina tibua press ya opponent. Jana dk ya 12 hivi alipiga pasi ndefu ya chini chini kwa Salah, it should be a goal ilikuwa bonge moja la assist.
Gravern kuna cha zaidi?
Under Slot ameonekana ndiye engine, tall enough, strong enough, good with a ball, anajua kucheza na mwili wake vizuri sana.
Nafikiri last season kuna vile alitelekezwa na hali aliyotoka nayo Bayern ilimuathiri sanaa, kaja LFC ni kama alisajiliwa kuongeza namba hivi. Bad lack kwake chini yaKlopp kwenye 2-1 shape asingekuja kuiweza same to Macca japo Macca mjanja mjanja na muhuni zaidi akapambana japo hakuimudu unlike Gravern.
View attachment 3103209
4-4-2 kwenye kuzuia, hii ilikuwa kutunza energy, na hapo baada ya kufunga magoli matatu hatukuwa na haja ya kukimbizana throughout 90 mins.
Thats football kuna muda unapaswa kulindq ulichonacho. Thats how Slot did yesterday.
Jones.
Jones with a good performance, aliingia kuituliza timu and he did very very well, alinifurahisha sana, kiasi natamani kumuona tena akiwa na kiwango hicho.
Kelleher.
Its so sad kipa kama yule kuwa no. 2 he deserves more of that. Bahati mbaya ni no.2 akiwa na AB1 no any coach atamuacha AB1 bench na amchagua Kelleher. But Kelleher kuwa no. 2 ni kupoteza kipaji chake. But is a good thing kwa team kuwa na top golies at once. Did you notice AB1 wasn’t miss?
Mo Salah.
Sijui kwa nini wanamuhukumu Mo Salaha sana wakati yup hivyo since alipokuja na ndio inapa 20G/A season in and season out.
Slot: I think Diaz is a goal scorer but i wonder why he hasn’t been that person,haya yalikuwa maneno yake Mdutch ilikuwa after UTD game kama sijakosea.
Nunez
Captaiin Chaos, Mr Bangers, he can score unexpected goals, and he can miss unexpected goals. Good thing Nunez wont go unnoticed throughout 90’ ataonekana hata kwenye misses unlike Jota. Jota akipotea anapotea kweli hana muendelezo wa kiwango kizuri. Atakupa game 2 nzuri 3 zijazo anapotea.
Next Match vs Westham i think Slot will go heavy, why? Hata kutolewa mapema itamletea pressure kubwa na ni aina ya makombe anayopaswa kuyapambania ili kuanza kutengeneza CV yake under LFC Contract, plus Westham a tough and they will come tough.
Kelleher
Bradley
Konate
Vvd
Tsimikas
Gravern
Macca
Jones
Gakpo
Jota
Salah
Vs Westham.
Up reds
Go Slot
Go Liverpool
YNWA
Hamna mchezaji ambaye ana mwili wa mashine atacheza mwanzo mwisho bila kuumia.
Sisi ni wepesi sana kusahau aisee..
Yaani tunaaanzaga vizuri kucheza na kujipa matumaini hewa kuwa tutakimbiza hadi mwisho.
Bila kupanua kikosi hakuna muujiza wowote.
Konate pass zote za goal. Achilia mbali aliyoassist zilitoka kwake
He was my MOTM
GRAVENBERCH sa hivi hatakiwa hata kuwekwa kwenye MOTM anafanya mambo anayotakiwa kufanya effectively ni kama Rodri utampa MOTM ngapi
I hope gravy maintain the same energy
I hope the universe accepts him and keep him forward
S
Mwamba huwa unajua kuchambua mpira! Hongera yako bwana!Maamuzi Sahihi Yanakupa Kitu Sahihi.
Passing game. Mahali Pep anawasumbua watu wengi ni passing game yake ina quality sana, ana wachezaji wenye uwezo mzuri wa kupiga quality passes ambazo zinaweza kubreak press line ya opponents.
Moja ya vitu Slot ameongeza kwa wachezaji hawa ni uwezo wa kupiga pass na maamuzi ya wapi pasi iende kwa wakati gani.
Game vs B’mouth we won beacuse of quality passes, passing game ya jana ilikuwa kwenye quality ya hali ya juu sana. Ibo with ana outstanding match top top quality passing jana, dah.! I had enjoyed the game apart from results. Hizi ndio zile mechi unaweza kupoteza ila unakuwa na furaha tele kwa sababu ya performance unajua next something good will happen. Even though we had started slow with two errors but we come up good after 15 mins hivi.
4-4-2 kwenye kuzuia ilitumika jana kwa karibu mechi nzima, why 4-4-2 over 4-2-4 kwenye kuzuia?? Slot alitaka timu isi press sana na wachezaji wengi kuanzia juu badala yake aliweka mitego ya counter, njoo sisi tunawasubiri kuanzia hapa kati tutakuwa wengi.
What a plan and it did work.
Slot alijua tumetoka kucheza pressing game within a week tulishacheza mechi mbili, napaswa kutunza energy huku mechi inaendelea, je natunzaje?? Akaja na plan B hatupress kuanzia juu, tunakuja kukutana kati ndipo akaacha 4-2-4 kwenye kukaba na kuja na 4-4-2 kukaba. Kwamba wachezaji wengi wanakuwa kati kuliku mbele. Kisha we will try to kill them with a counters. And it worked very well.
Ibou master class kwenye passes game ya jana, ndio maana ana 1 assist and he created a chance mechi ya jana was my MOTM.
Macca dah.!! Passes zake ni hatari sana vibasi kibao, anapeleka usipotarajia kitu ambacho kina tibua press ya opponent. Jana dk ya 12 hivi alipiga pasi ndefu ya chini chini kwa Salah, it should be a goal ilikuwa bonge moja la assist.
Gravern kuna cha zaidi?
Under Slot ameonekana ndiye engine, tall enough, strong enough, good with a ball, anajua kucheza na mwili wake vizuri sana.
Nafikiri last season kuna vile alitelekezwa na hali aliyotoka nayo Bayern ilimuathiri sanaa, kaja LFC ni kama alisajiliwa kuongeza namba hivi. Bad lack kwake chini yaKlopp kwenye 2-1 shape asingekuja kuiweza same to Macca japo Macca mjanja mjanja na muhuni zaidi akapambana japo hakuimudu unlike Gravern.
View attachment 3103209
4-4-2 kwenye kuzuia, hii ilikuwa kutunza energy, na hapo baada ya kufunga magoli matatu hatukuwa na haja ya kukimbizana throughout 90 mins.
Thats football kuna muda unapaswa kulindq ulichonacho. Thats how Slot did yesterday.
Jones.
Jones with a good performance, aliingia kuituliza timu and he did very very well, alinifurahisha sana, kiasi natamani kumuona tena akiwa na kiwango hicho.
Kelleher.
Its so sad kipa kama yule kuwa no. 2 he deserves more of that. Bahati mbaya ni no.2 akiwa na AB1 no any coach atamuacha AB1 bench na amchagua Kelleher. But Kelleher kuwa no. 2 ni kupoteza kipaji chake. But is a good thing kwa team kuwa na top golies at once. Did you notice AB1 wasn’t miss?
Mo Salah.
Sijui kwa nini wanamuhukumu Mo Salaha sana wakati yup hivyo since alipokuja na ndio inapa 20G/A season in and season out.
Slot: I think Diaz is a goal scorer but i wonder why he hasn’t been that person,haya yalikuwa maneno yake Mdutch ilikuwa after UTD game kama sijakosea.
Nunez
Captaiin Chaos, Mr Bangers, he can score unexpected goals, and he can miss unexpected goals. Good thing Nunez wont go unnoticed throughout 90’ ataonekana hata kwenye misses unlike Jota. Jota akipotea anapotea kweli hana muendelezo wa kiwango kizuri. Atakupa game 2 nzuri 3 zijazo anapotea.
Next Match vs Westham i think Slot will go heavy, why? Hata kutolewa mapema itamletea pressure kubwa na ni aina ya makombe anayopaswa kuyapambania ili kuanza kutengeneza CV yake under LFC Contract, plus Westham a tough and they will come tough.
Kelleher
Bradley
Konate
Vvd
Tsimikas
Gravern
Macca
Jones
Gakpo
Jota
Salah
Vs Westham.
Up reds
Go Slot
Go Liverpool
YNWA
Chochote?Unanipotezea kipenzi
Nambie unapenda ipi.....
Mimi ntafanya chochote kwa ajili yako
Ya Nunez sitakiMsort Miss Liverpool kasema hata ya Nunez fresh kabis...
YNWA
Mwamba huwa unajua kuchambua mpira! Hongera yako bwana!