OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Apo wote juu tunapiga nje ndani huu msimu,,,
Sancho atawashangaza, Palmer atawashangaza,
#CFC💙💙💙
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo wote juu tunapiga nje ndani huu msimu,,,
Well FSG failed him and JK failed us maana why go sign Thiago, Ox who injuries were well documented hua najiuliza Klopp alitegemea muujiza upi pale... Its simple mate FSG are more conscious kwenye wages kuliko kusajili no wonder unakuta Diaz anakula chini ya 100k na wapo very relaxed walipo.... Nwa those are bygones lets enjoy Slot magic touch kwa hawa wachezaji aisee he is working wonders so far...
YNWA
Dah umenikumbusha mbali
walituaminisha eti Andy Carrol ni mbadala El Ninho[emoji40]
Man u mnateseka sana aisee😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣tutapambana hivyo hivyo kuliko kuwa shabiki wa jogoo kishingo🤣🤣🤣
hakika. Mpira haumdai kitu.He is happy retired
Unaona msako wa magoli lakini.!! Unamjua Sancho wewe😂😂😂
Mr Chelsea wa Kaskazini salama. Manchester City kushakupiga.Apo wote juu tunapiga nje ndani huu msimu,,,
Sancho atawashangaza, Palmer atawashangaza,
#CFC💙💙💙
🤣🤣🤣🤣Naona tetesi ni bwana Tenhag apewe mechi mbili tu akichemka basi kibarua hana....🤣🤣🤣🤣🤣tutapambana hivyo hivyo kuliko kuwa shabiki wa jogoo kishingo🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 Yupo sana, ana jambo lake dhidi ya Les Blue...Uyu mzee angeenda zake tu uarabuni . Misimu Tisa EPL moja 🤣🤣🤣🤣
I really pray and wish for that man. We need luck pia.Let wonders be on his side he will prosper,
‘Ynwa’