Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naomba kuelewa kuhusu UCL ya msimu huu njia itakayotumiwa kumpata bingwa

Kama umeona standing ya CL ya sasa ilivyo maana yake, nane wa juu kutokea 1-8 hawa wanafuzu moja kwa moja. 8-24 hawa watapangwa mtoano H/A, wakipatikana washindi nane kuanzia 8-24, wataungana na wale washindi wa 1-8 jumla watakuwa 16, kuanzia hapo tunarudi kwenye traditional way H/A Knockout.
 
We
Trent wangu halinganishwi na yeyote..
Yaani Trent hana mbadala aisee...I love Trent very much.

Angalau ungesema Gakpo
Japo bado hawezi kuchukua nafasi yake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha tazama tabasamu maridadi la Gravenberch hehe wewe utalegea tu n kumkacha Trent akishahamia Los Blonco haha mapema utue kwa Gravenberch 🙌🔥🔥🔥

YNWA
 
Hebu muone huyu[emoji23][emoji23]
Kwahiyo umejipa ukubwa wa kulingana na VVD[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Jiweke Kwa watoto wenzio akina Trent[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VVD ni Baba..VVD ni kila kitu pale nyuma.

Brother yule kaniacha kidogo sana”,.

Ynwa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha tazama tabasamu maridadi la Gravenberch hehe wewe utalegea tu n kumkacha Trent akishahamia Los Blonco haha mapema utue kwa Gravenberch 🙌🔥🔥🔥

YNWA
Trent akihama nahama naye
Alipo nipo.
Hivi unaelewa kweli ninavyosema Nampenda Trent?😂😂😂
 
Trent akihama nahama naye
Alipo nipo.
Hivi unaelewa kweli ninavyosema Nampenda Trent?😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣Na uhame na Liverpool nikuone 🤣🤣🤣am at peace roho safi kwa Gravenberch aka mkata umeme mwenye babyface anateleza tu na kijiji kama hayupo ujue....

YNWA
 
Back
Top Bottom