The MoNA mkuu vipi mbona huyu Szobo amekuwa na kigugumizi sana kwenye kufanya maamuzi ?
Na game analysis mkuu tunaomba
Ili ushinde mechi unahitaji madhaifu ya timu pinzani, individually & as a team or both of them at once.
Game ya leo, Kudos kwa kipara wa CFC aliichanga karata vyema, kwenye watu wa kumsogezea kete ndipo kuna muda walisinzia. Palmer ndio main key wao kufanya dangerous attacks, through the middle, akisogea pembeni, long balls kuanzia nusu ya mpinzani, shot balls, one, two. Slot alijua hilo akampa shughuli Jones, fanya ufanyavyo jamaa asiwe comfortable leo, BOOM Jones did his homework very well, kucheza na Palmer muda wote huku akiipandisha team wakati wa mashambulizi.
CFC walikuja na mpango wa kukabia juu kwa idadi kubwa ya wachezaji (5-6) wakati LFC inatengeneza nafasi za kufunga. Hii ilikuwa mbinu mkakati kuwanyima LFC wasiweze kufanya build up yao comfortably, & yes it worked somehow hata ball possession ukiona itakuelezea hilo. Uwezo wao mguuni wa Gravern & Jones ndio ulifurukutisha press ya CFC, ukumbuke LFC imecheza na ball carries wawili ambao hawana zile natural attributes za DMFs, Jones and Gravern isipokuwa kila mmoja alipambana na role ya DMF without better and natural attributes.
LFC wakaamua kuja na mpango wa long balls, why? Kwenye nusu yao CFC ina idadi kubwa ya wachezaji, hivyo kuna gap ilitokea kwa CFC kati ya mstari wa ulinzi na viungo, na ndipo magoli yalitokea. Ikawa ni kazi ya TAA, Konate & Vvd kupiga long balls kwa Jota ili second balls zichukuliwe na ama Szobo au Gravern au Jones then mpira upigwe kwa Gakpo au Salah. Alipoumia Jota ikabidi mipira mingi (long balls) ipigwe kwa Salah. Note that Vvd, Trent na siku za hivi karibu Konate wana quality passes ndiyo Silaha tuliitumia kuikimbia pressing ya CFC, & BOOM it worked.
Defensively LFC ipo imara, hauoni yale mashimo tuliyokuwa tunayaacha kirahisi. Kuna muda press yetu ilikuwa 3-4-3, kuna muda 4-4-4, na kidogo 4-2-4.
Chelsea nao wakaja na Man marking game ili kuwafanya LFC wastruggle kwenye build up
Trent played well today kudos to VC, this is what we want from him, show you are LFC VC. It could have been 3-1 or even 4-1, kama Jones na Szobo wangeongeza umakini.
Nafikiri game vs Arsenal
Its time kumpa Jones no 10 then Macca & Gravern waendelee ile double pivot vs Arsenal. Elliot will add quality kwenye hiyo no. 10.
Chelsea walikosa uzoefu na class ya kuwaamulia Mechi hasa katika eneo la mwisho. Thats a proper challange kwa Slot & even Maresca. Was a good game indeed zaidi sana kwa Chelsea kuliko LFC.
Cheat code ya Chelsea ni Palmer, ukimfanya acheze bila kustarehe na mpira unaipunguza Chelsea makali.
Next Epl game vs Arsenal pale Emirates, lets hope a good week ahead tumalize CL match with no injury to be concern.
3 points
Top of the table
10/11
Keep moving Slot, you surprised many so far.
Up reds
Go Liverpool
Ynwa’