Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The MoNA mkuu vipi mbona huyu Szobo amekuwa na kigugumizi sana kwenye kufanya maamuzi ?

Na game analysis mkuu tunaomba

Nafikiri ni jukumu la Slot pia hilo, apunguzie runs na kumfanya aongeze namba (goals & assists).. amfanye aenjoy kucheza as our 10 not just run and run and run with 0 goals & 0 assist.
Szobo wa Hungary na LFC ni wachezaji tofauti in term of number, sijajua anatumikaje kule kwani sijaangalia game zao, ila no zinakuonesha.

Ynwa
 
10 wins in his first 11 games.

No manager in Liverpool history has had a better start than Arne Slot. #lfc

The MoNA basi la Slot nilishalipanda zamani sana


View attachment 3131096

Kuna watu bado wanasubiri afungwe waje wasema yao, ila gari litakuwa limefika mbali atleast.

Team ikiwa inafanya vizuri inawajengea wachezaji hali ya kujiamini, na ile mentality monster inaingia akilini mwao.

Kudos to this Fella so far amejaribu kufanya aliyoyafanya. Wish him all the best.

Ynwa’
 
Nafikiri ni jukumu la Slot pia hilo, apunguzie runs na kumfanya aongeze namba (goals & assists).. amfanye aenjoy kucheza as our 10 not just run and run and run with 0 goals & 0 assist.
Szobo wa Hungary na LFC ni wachezaji tofauti in term of number, sijajua anatumikaje kule kwani sijaangalia game zao, ila no zinakuonesha.

Ynwa
Mkuu huoni Kama Szobo Akipunguza runs kuna shida tutapata???. Huyu nadhani ni workhouse wa Slot na anaifanya vyema kazi yake ya kwanza. Hii ya pili anahitaji utulivu tu akipata nafasi
 
Mambo vip Kopps?
Kutoka pwani ya africa mashariki Naitakia LIVERPOOL ushindi mwema dhidi ya rent boys.

Nawapata vizuri hapo studio za Liverpool halisi Saint Anne Captain Marvelous Manyanza
zumbemkuu
Tupo pamoja sana na Mungu atubariki sote.
Bila shaka matokeo unayo. Mdogo mdogo Slot anachaja mbuga. Gemu 10 EPL amepotoeza 1 tu aisee haijawai kua bora namna hii.
Next gemu EPL ni ugenini vs Arsenal.

YNWA
 
IMG-20241021-WA0005.jpg
 
TNT Sports inaonyesha kiasi cha mabao ya Mo Salah dhidi ya "Big Six" kwenye Ligi Kuu England

📌 Man United: Mabao 12, Asisti 6
📌 Arsenal: Magoli 10, Asisti 2
📌 Spurs: Magoli 9, Asisti 2
📌 Man City: Mabao 7, Asisti 4
📌Chelsea: Mabao. 5, Asisti 3
 
Caoimhín Kelleher joins elite company with 33 wins in his first 50 games. Only Alisson (37) has a better record.

Top 4 Goalkeepers with most wins in first 50 appearances for LFC

1. Alisson - 37
2. Caoimhín Kelleher - 33
3. Nigel Doig - 33
4. Pepe Reina - 32

Kelleher is highly underrated. Njoo hapa Saint Anne 🤣🤣🤣
Lakini kumlinganisha Kelleher na Allison ni Big kosa la jinai
 
Mkuu huoni Kama Szobo Akipunguza runs kuna shida tutapata???. Huyu nadhani ni workhouse wa Slot na anaifanya vyema kazi yake ya kwanza. Hii ya pili anahitaji utulivu tu akipata nafasi

Sidhani kama kuna shida kubwa especially wakati hamfanyi high pressing, ukiwa na no. 10 unahitaji zaidi goals and assists akishirikiana na wa mbele wengine. Wachezaji hawafanani uwezo but as 10 lazima wakuogope kwenye G/A, Hizi runs with less output hauwi wa kuogopwa. Fikiri mchezaji kama Trent huwa yupo mbali na goli, ila lazima awekewe mtu wa kumfanya asisogee mbele kiwepesi why? Ni hatari akilikaribia goli in either way (pasi zake, mashuti yake yanaweza kuwa na faida).

Kwa Szobo ni muda wa Slot kufanya otherwise, no. 10 anaweza kuwa na proper output ni Macca & Jones and probably Elliot. Ila Szobo he is missing good decisions, same to Jones, but Jones (Mr. Confidence) akiamka vizuri atakupa chochote kitu tofauti na Szobo haujui akiamka vizuri au vibaya anakuwaje. Szobo ana uwezo huo wa G/A mzuri atleast 15 per season.
 
Back
Top Bottom