Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The MoNA tunaomba analysis Mkuu

It has been always tough vs Brighton.

After our Carabao match vs Brighton i said this “it has been always tough vs Brighton,”

its about their Culture not their coaches.

Hawa jamaa imebidi niwafuatilie kidogo kipi kipo nyuma yao.?! Hawa jamaa wanatumia detailed video analysis plus Artificial Intelligence (AI) based data kwa ajili ya kupata wachezaji na makocha. Ni system zimewekwa inawasaidia kuendesha shughuli zao za kimpira. These technological tools make it possible to better understand player performance.

Hawa jamaa katika mfumo wao wanayotumia ku asses wachezaji hutumia “extensive data analysis”, to accurately asses:-
1. Player Skills (technical abilities)
2. Potential (match performance,).

Wakaenda mbali zaidi kuna ishu za psychological factors and adaptability. Nyuma ya haya yote yupo Mwingereza mmoja mkamaria, poker anaitwa TONY BLOOM.

Billionaire mmoja hivi mwenye kutumia hesabu katika poker.

Jamaa amefanya Brighton & H Albion iwe top material team. Amewezaje? Hiyo mifumo huko juu, na amehakikisha mazingira yanavutia wachezaji (overlooked top talents).

From Potter to De Zerbi na sasa Hurzeler na timu haioneshi kupungukiwa. Since then wemeuza top talents kwa pesa nyingi sana huku Caicedo akisimama as their biggest business they have ever done £115M.

Wameondoka

Bissouma (Spurs)
Sanchez (Chelsea)
Cucurella (Chelsea)
Caicedo (Chelsea)
Undav (Stuttgart)
Mac Alister (Liverpool)
Trossard (Arsenal)
Ben White (Arsenal)
Burn (NewCastle)
Grob (Dortmund)

In a Space of 3 seasons. Big team ukiondokewa na 3-6 key players in a space of 3 seasons shughuli unayo.

Lakini jamaa bado wanaubonda tu, as if nothing had happened, Hawa jamaa ukijichanganya tu, wanakupa nyingi nyingi na mpira mwingi nwingi na hauna pa kushtaki, waulize utd wanawafahamu jamaa.

Hawa jamaa wanajua kutoa tough match vs LFC.

What went wrong 1st Half.

Brighton raha yao ni ku control mechi tufunge lakini mpira lazima tukae nao, thats their culture, they are fearless hata wacheze na prime City huo ndio mpira wao siku zote, inakuwa rahisi kwao kwa sababu pressure inakuwa ndogo.

Pressing high narrowly ndio mfumo wao CFC, Arsenal walitumia hii mbinu pia and almost huwa ina win but mtego ni usipofunga mengi ndani ya dakika 45 ya kipindi cha kwanza, cha pili utaumizwa kwa asilimia kubwa ukicheza na LFC.

Jamaa wakakaba kwa idadi kubwa ya wachezaji na kwao ilikuwa advantage kubwa pale LFC walikuwa mbali mbali ya mstari na mstari. Mpira ukawa una flow kirahisi tu kuelekea langoni mwa LFC, good thing they were not ruthless plus ubora Kelleher, Konate, Vvd, Tsimi na Trent ulisaidia kuzima some attacks. LFC kwenye 4-2-4 wide pressing wasn’t good enough because we didn’t do enough.

Kwenye mpira kila kitu kinaweza kuwa sahihi ila usipofanya vitu vya msingi kwa usahihi na mpinzani akavifanya kwa usahihi atakuumiza.

Ndio maana mkiwa na abiria uwanjani hata mmoja tu, wakati wenzenu wote ni madereva tayari kuna loopholes ambazo zinaweza kuwaletea madhara.

Wakizima build up LFC kwa high pressing narrowly (wanatengeneza umbo la square kuwazunguka viungo wa LFC yaani nyuma ya Macca na Gravern kuna wachezaji wawili na mbele yao kuna wachezaji wawili. Ayari na mwenzie Hinshelwood walituuliza maswali magumu sana, kwanza kupokea pasi katikati ya mistari ya LFC, na kuisambaza wide ilituvunja vunja pressing na walijua mistari ipo mbali ikawa rahisu kushambulia Spaces.

Macca was off today what do you expect ni loophole hiyo tayari. We were not pressing them enough we were not running as much as required. They everything on first half Aerial duels, 2nd balls, played long balls accurately with shory pass effectively.

1st kwa wana Kop tulikuwa tunamkumbuka mchezaji mmoja mmoja moyoni, AB1, Jota, Elliot, unatamani waingie wote waliopo bench full of pressure. Mambo yakatamatika hivyo first half kwa a goal down it was a huge huge advantage to LFC.

Second Half:/
As i had written few days about Slot, 99% anawaza nitawaambia nini wachezaji ili wapate ari, wapate new vibe, new energy ya kucheza!?

Jamaa akawaambia sikieni tupo nyumbani, front of the Kops, tumecheza vibaya kipindi cha kwanza, i want you boys to change intensity, to change attitude go and run and run and run and Keep running, running, running. He did tell them to score how many goals he requested intensity just running running.

Red Army wakarudi 2nd half with new vibe, new energy, subs mbili zikafanyika

Macca na Szobo nje, Diaz na Jones ndani. Diaz akapewa free role cheza inside half, panda kwa Gakpo ongeza nguvu, nenda kwa Salah ongeza nguvu, cheza nyuma ya Nunez ongeza nguvu, sogea chini kwa Jones na Gravern, its a free role. Boom it paid Brighton wakashindwa kuhimili intensity tactics kidogo intensity ya kutosha, first goal 1-2-1-2 Vvd, Gravern and Gakpo, Gakpo kaidokea kumtafuta El Pantera (Panther) Nunez, Nunez kafanya hesabu, ka fake header kamchanganya GK 1-1 on the score board. Diaz anazurura na moves tu ya mpira unapoelekea naye anaenda (free role). Again 1-2-1-2 Jones na Diaz (akiwa deep na free role yake), Jones to Salah kamlazimisha Estupinian amruhusu amgeukie kwa ndani kwenye Strong Angle ya Salah 1 turn in, 1 angle target Boom score board turned into 2-1.

Before its 2-1 Gomez was nearly to score two goals with two header on targets, ingelikuw ni siku ya kukumbukwa kwake, kufunga magoli muhimu na kwa mara ya kwanza kufunga goli.

Slot akapata anachokitaka inside 6 mins of subs got two goals in two mins then option was No Diaz Free role umeitendea haki (cheat code), rudi kwenye normal positions of yours. Thank you Darwin for your fake header come off my boy i still need you in the next two matches
Vs Leverkusen
Vs Villa

Slot akapunguza mashambulizi na ili ku maintain energy to rescue injuries na fatigue for loads of games, akamuingiza Endo (Samurai) his natural DMF he has, kucheza na Gravern as double pivot then Jones aende kucheza as 10, Gakpo as 9 Diaz as LW, things went super till to the final whistle.

Gomez outstanding performance as CB, finger cross to Konate lets hope its not that much serious.

Kelleher with top saves inayotuacha mchezoni.

Trent, improve defensively he tried alot to pin Mitoma. Mitoma ni wazimu kwenye kukokota mpira, but today Trent tried his best ku deal na yeye and almost 70% he managed to shut him down.

What a weekend
City Lost
Arsenal Lost
LFC won from comeback after awful 1st half.
Top of the table with two points different.
If we are to manage upcoming fixtures, lets hope speedy recover from our injured players.

Those looked matches and loads one zinapungukuwa positively

Chelsea [emoji736]
Leipzig [emoji736]
Arsenal [emoji1754]
Brighton [emoji736]
Brighton [emoji736]
Leverkusen [emoji3480]

Up reds
Up Liverpool
Know You Can

Ynwa’
 
Maneno mengi lkn ujinga mtupu
 
Game changer😍🔥👌🏿
 
Attachments

  • IMG-20241102-WA0026.jpg
    IMG-20241102-WA0026.jpg
    478.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom