Its a long season mate lots of games and most teams crumble around March to May when injuries, fatigue and loss of form catches up and by then hakuna margin for error to win games... Pale ndio hua unaona Kipara anashinda 10 games in a row na vuup huyooo kunyakua ubingwa, so anachofanya Slot ana anticipate the future na ili mfumo wake uedelee kama ulivyo anahitaji kua wachezaji wanaofanya mazoezi na team A pamoja ili kufahamiana weakness na strength marks kusudi kuwe na continuation ikitokea tumejikuta kama last few seasons wakati tunakumbizana na Kipara hivyo Morton is in the near future plans, his time will come, lets Slot continue assessing him properly kumuadaa vyema endapo atahitajika kama serial starter huko mbeleni.
So far Slot is navigating really well kwenye majeruhi alionao kiasi rarely tutasema angekuwepo fulani tungeshnda nk nk
YNWA