Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Quansah anapoteza confidence, muoga wa kufanya marking yenye nguvu ya kumvuruga mpinzani akiwa anashambulia.
Mpaka commentator kaliona hilo leo maana nilijua naliona mimi tu.
Quansah kwa sasa hawezi kutusaidia aisee,kuna ile moja mpira wa juu kumrudishia tu goli kipa akatoa,Fulham wakapata kona
 
Chelsea sasa ni tishio kwetu, kwa hizi sare sare za individual errors zitatukosesha ubingwa. Na ndio tunakosaga ubingwa kwa staili hizo za makosa binafsi
Chelsea hatuna habari na ubingwa sisi tunashinda mechi zetu tu na tuna enjoy football kama bonanza ,msitutwishe majukumu mazito kwanza sisi tunataka kushiriki europa maana sasa tupo conference
 
Chelsea sasa ni tishio kwetu, kwa hizi sare sare za individual errors zitatukosesha ubingwa. Na ndio tunakosaga ubingwa kwa staili hizo za makosa binafsi
Mkuu kwani ligi imeisha? Hata round ya kwanza haijaisha.
Tishio kivipi mkuu? Sasa hivi tumecheza wote mechi 15 sawa wote .tunaongoza kwa points 5.
Kwa leo tulivyopambana ubingwa mwisho wa siku tunachukua tu timu tunayo.vijana wanapambana sana na ubingwa wanautaka.
 
Chelsea hatuna habari na ubingwa sisi tunashinda mechi zetu tu na tuna enjoy football kama bonanza ,msitutwishe majukumu mazito kwanza sisi tunataka kushiriki europa maana sasa tupo conference
Hata round ya kwanza hamjaimaliza unazungumzia ubingwa kweli?

Umeanza kufatilia epl lini?
 
Back
Top Bottom