Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20241222-WA0011.jpg
 
Pharao kwenye game 16 amefunga na kuassist katika game 14

Huyu ni goat hapa anfield

Huyu angekuwa Muengereza angewekwa level kubwa zaidi ya Steven Gerrard lakini sema ndiyo hivyo hatokei nchini kwao.

Imagine Jordan Henderson kabla hajaleta shombo baada ya kuachwa na Klopp waingereza walitaka tuamini kuwa ni best Captain ever.
 
Back
Top Bottom