pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Tulia uandike vizuri uelewekeKwa mfano kwa Mbappe ana signing bonus ya £85m analipwa pale Real Madrid kwa kumbali tu hataongeza mkataba PSG na kutimkia pale Real Madrid, hio ipo nje ya mshahara.
Hivyo na Trent wake PLG wakicheza karata vizur watapokea pesa za kutosha.
YNWA