Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The MoNA hivi hii ni kweli au ni maneno ya mitandaoni tu?

Arne Slot ameamua kuweka kama utaratibu wa kumpa Jota dk 25 kila mechi na kwa sababu anaamini anaweza kuwa na mabao 10 katika mechi 15 na kumchezesha dk 25 pengine ndio njia pekee ya kumfanya awe fiti kwa msimu mzima.
 
Hofu yangu bila Gomez na Konate ni Quansah hajawa na utulivu pale nyuma ana mengi sana ya kujifunza. Itakua jambo njema Slot amunzishe Endo pale CBR badala ya Quansah.

Quick recovery kwa Konate.

YNWA

Sina uhakika a ufanisi wa Wataru pale kwenye CBR or CBL kwasababu sijawahi kumuona akicheza hayo maeneo
 
TAA saga is real disrupting dressing room atmosphere

He should simply go even now he should go

With his spamming passes go fast you mural .. enough

I can feel you brother. But hakuna replacement rahisi kama ya Trent, will be easy.

Salah & Vvd inaweza kutusumbua kwa muda, but always replacement ngumu huwa CB, MF and any delivery offensive player anaweza kuwa RW, LW or CF.

But RB & LB simple, huwa rahisi, nafasi ya Trent inazibika japo as a LFC fans nitaumia kwanza

1. Kuondoka as free Agent, hakuna timu itakayomtaka mchezaji aliyegoma kusaini mkataba halafu amebakiza only six months tu ( Mbappe’s saga).

2. Scouser ambaye ana deliver kwa kiwango cha Trent.

3. Namuhurumia kwan Madrid he will be someone else, awauliza kina Casillas na Raul, Don Perez hana la kukushika na kukubembeleza regardles umefanya vyema kiasi gani huko nyuma.

But Trent will stay. His camp probably wana push sana apate mkataba mpya na mzuri, atleast £280k kwa RB ni sawa. Huwezi kumlipa defender £350k probably na offensive player utamlipa how much?? Kwa sababu kwa soko la sasa Offensive players wana gharama kuliko defensive players. Lets wait and see.

Ynwa’
 
Yule scouser mikate tu ilibidi imtoshe aridhike kanikera sana
 
The MoNA hivi hii ni kweli au ni maneno ya mitandaoni tu?

Arne Slot ameamua kuweka kama utaratibu wa kumpa Jota dk 25 kila mechi na kwa sababu anaamini anaweza kuwa na mabao 10 katika mechi 15 na kumchezesha dk 25 pengine ndio njia pekee ya kumfanya awe fiti kwa msimu mzima.
Kuhusu Jota hii ni kweli? The MoNA
 
What a Campaign.! Just Incredible, What a start from Slot, Wonderful improvement from, Gravern, Jones, Trent (defensively), Diaz & Gakpo (offensively) great balance created, Desire, Mentality.
What a journey has been,

Best of luck toward 2025" may be a Quadruple? Probably who knows. Ile Quadruple iliyomnyemelea JK huenda ikaangukia kwa Slot.

Looked like an easy game for LFC, but it was a team poor defensively team vs balanced team. Kwenye football its easy to play with a good tactics, good players but with less motivation, desire. Hii ndio Westham ya jana, abiria walikuwa wengi upande wao huku LFC wakiwa bila abiria. It was a total dominance game for LFC.
Diaz as False 9 inarahisisha kazi ya ku unlock team nyingi kwa sababu ya Pace yake, dribbling yake,energy yake. Technical MF’s Macca, Jones, Gravern, Szobo, Endo, they have good technics miguuni na kichwani pia na hii inarahisisha sana majukumu ya Diaz as False 9 na imemkubali sana hiyo nafasi.

Westham walikuja na mpango wa kuzuia build ya Lfc kwa high pressing narrowly kuweka enough bodies kuwazunguka Gravern na Macca, ili kuzuia progress ya build ya LFC, but they lack commitment, ukabaji wao ulitengeneza Spaces nyingi na kuruhusu LFC kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Slot is so dynamic na ndicho kinamfanya awe hapo alipo. Jana Macca alicheza deep kidogo Gravern akasogea juu kidogo, Why? Kwa sababu zilihitajika accurate short or long passes baada ya kupata mpira kwenye eneo hili Macca is so good. Gravern alitumika kuendeleza mashambulizi endapo Macca angekuwa kwenye tight space ya kucheza any pass. Slot alione half turns za Gravern zinaweza kuchelewesha mahesabu kwani Westham walikuwa na wachezaji wengi eneo hilo. Team nyingi kwa sasa zinakuja na Narrow pressing shape ili kudeal na half turns za Gravern, slowly Slot ameanza kupata ufumbuzi. Thats why last 2-3 matches unaona hatuna homa za 1st half.

Wichokikosa Westham ni hamu ya kutoitaka mechi, ni kama wanacheza kwa sababu hawana wanachokipigania. Nafikiri Lapotegue (WHU coach) hana maisha marefu pale London.

Robbo Robbo Robbo
He should leave football before football leave him. He had an error, thanks it didn’t lead to a goal. But Robbo anatakiwa kufikiria vinginevyo before its too late.

Gakpo, Diaz wanaongeza namba kwenye kitabu cha mahesabu, ni jambo la kufurahia, na linaleta hali ya kuumiza kichwa kwa opponents.

Kuna combo inataka kutokea, Gakpo & Salah, good thing they are all not selfish, they are after team not individual brilliance.

Salah player of the month. No doubt 14 G/A per month hizi number only in december[emoji1614][emoji91].

This season not goals only but also Assists Salah anazifukuzia. Na anazifurahia sana.
Game ya jana angekuwa much clinical angeondoka na mpira wake (hat-trick). Salah has 36 G/A in 25 matches, its only december, we shall see next.

Slot amemtaka Salah afikirie offensive duty zaidi ya plus defensive duty, kitu ambacho kimefanya aongeze No.

Curtis Jones
Improved alot, ile style yake ya kuhold mpira for long kwa sasa haionekani kama kero Why?? It fits Slot’s system kwamba holding a ball for seconds its another kind of defending na inatoa room kuziona Spaces na wengine watafute Spaces. Unlike kwa Klopp alipaswa kuachia mipira kwa haraka as it was intensity game. But this season anaonekana ni mzuri kwa sababu mfumo umeendana na aina yake ya mpira.

Thats why kwenye football hakuna mchezaji mbaya au mfumo mbaya ni havijaendana tu.

Endo what a game he had. Jamaa alikuwa na game nzuri sana. Slot needed destroyer not a progressive MF plus Gravern already ana four yellow cards kama angeendelea huenda angepata Yellow na akosekane game ya utd of which Slot hayupo tayari. Endo played it well very well.

Timu inacheza kutokana na Rythym ya mpinzani akitaka heavy and electrical football anapata, akitaka patient build up anapata pia ni combination “patient build up combine with vertical attacks”.

It’s December na timu haioneshi uchovu, Konate na Bradley wakirejea we will have a well balanced team.

Vvd
Salah
Trent
Kuanzia 1/1/2025 wataruhusiwa kusaini pre-contract na timu yoyote, 1 day left na masaa kadhaa.

FSG wametega bomu

1. Timu inafanya vizuri sana, (hakuna haja ya kusajili)
2. ⁠Contract za Trent, Vvd & Salah itakuwa New January signings (probably).
Mkiwa mnasherehekea 7/9 points clear kileleni, good performance week in week out, WT inapita kavu kavu. Anyway,

“Wazee wa Spinnings”

Congratulation to Arne Slot, wish him all the best to be first dutch coach to win EPL, and many more.

Ynwa
 
The MoNA hivi hii ni kweli au ni maneno ya mitandaoni tu?

Arne Slot ameamua kuweka kama utaratibu wa kumpa Jota dk 25 kila mechi na kwa sababu anaamini anaweza kuwa na mabao 10 katika mechi 15 na kumchezesha dk 25 pengine ndio njia pekee ya kumfanya awe fiti kwa msimu mzima.

Kwanza Jota is our most clinical finisher hivyo haitaji mechi dakika nyingi kifunga 2-3 chances basi ni 1/2 goals.

Pili Jota ni injury prone hivi land inconsistency player, namna ya kujaribu kumkinga na haya ni less mins. Kacheza mechi tatu goli mbili. Naweza kukubaliana na hili.

Ynwa
 
After Gomez Injury.

Nafikiri in January tuingie sokoni direct kutafuta LCB for future.

Ahead of Utd Clash if i’m Slot im going to trust Gravern kwenye CB na kumpa Endo acheze na Macca. Au Endo as CB na Gravern as 6 ila wafanye interchange kutegemea na shape ya utd watakayokuja nayo.

But Quansah still not the same player. Ila ili kumpa Quansah Confidence ni acheze Big game kama ile. Kwa sasa haian pressure kubwa ya kumsumbua its Anfield.

I feel we will take three points convincingly.

Ynwa’
 
Liverpool ya Arne Slot players wake wanafanya mikimbio mingi Sana uwanjani, Wakiwa hawana mpira ni pressing yenye pattern na wakikukuta na bolu basi safari itaanzia hapo.! Inafuraisha Sana hii team bad timing ni hzo tetesi za
Mo
VVD
TAA
I wish they could put their heads down tukamalizana kwanza na EPL then hata wakija kuondoka nitaumia, tutaumia Ila NDIO hvyo hakutakuwa na jinsi.
Kuna clear chances like 4 before our first goal Kama zingekuwa converted as we are talking kocha wa W ham angeshatimuliwa..
Na tungeingia kwenye record ya magoli mengi Kama si kuvunja zilizopo.
So far so good, tupo vzr Sana na tunavimba
 
Sina uhakika a ufanisi wa Wataru pale kwenye CBR or CBL kwasababu sijawahi kumuona akicheza hayo maeneo
akiwa Liverpool hajachezeshwa pale CB,... huko Ujeremani alitumika sana CB na DM na kwa ufanisi mkubwa tu hivyo Slot kama atahitaji msaada pale asitZame mbali Endo yupo hapa.
Japo kama tungekua na matajiri waelewa ilikua kuingia sokoni tu maana inafahamika tangu kitambo Gomez na Konate ni pancha muda wowote hivyo wakati dogo Quansah anakomozwa muhimu watazame pia soko kama kuna mchezaji wa kununua CBR.

YNWA
 
After Gomez Injury.

Nafikiri in January tuingie sokoni direct kutafuta LCB for future.

Ahead of Utd Clash if i’m Slot im going to trust Gravern kwenye CB na kumpa Endo acheze na Macca. Au Endo as CB na Gravern as 6 ila wafanye interchange kutegemea na shape ya utd watakayokuja nayo.

But Quansah still not the same player. Ila ili kumpa Quansah Confidence ni acheze Big game kama ile. Kwa sasa haian pressure kubwa ya kumsumbua its Anfield.

I feel we will take three points convincingly.

Ynwa’
Even Trent star was born while playing in big game vs Manchester United akamzima Rashford then came Manchester City with Sane nae akazimwa well the rest ndio huyu hapa anaitamani sana Real... Hivyo huyu Quansah ni ishu la kujiamini tu maana kipaji kipo ishu ni kufuata mfumo na kujiamini rest will be history.

YNWA
 
Back
Top Bottom