MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Hapana sijapitia pitia huko duniani bado kuona kuna nini…
Ila ishu ya Trent tuwe realistic kidogo, yes he is a good player, scouser no. Zake as RB ni nzuri sana plus age yake. Hivi ukimpa Trent let say apewe £300k p/w au £350k p/w, uki renewe mkataba wa Diaz au Gakpo utampa ngapi?? Kama Trent anataka such amount je VVD utampa ngapi?? Szobo/Gravern/Jones/Macca. Trent kama anataka any more than £280k i will stand with Club over Trent. Akipokea more than £280k kuna wachezaji watakuja kuwaka na watasumbua sana ishu ya wages. Na Trent anachokitaka sidhani kama atawa command Madrid wampe.
Ngoja tuone kunaendaje, management itakuwa inasugua kichwa plus Slot, Kwa sasa Trent , Vvd, Salah wapo huru ku sign pre-contract with any Club.
Ikishindikana ni Slot ataulizwa mambo ya kiufundi anaonaje (though hana sauti na mamlaka makubwa).
Ila inaweza kumwaribia Slot, tuseme tumetoka 0 cups season hii, means Slot hatakuwa na say, but akibeba CL & EPL, CV itakuwa imewaka na ataweza kua na maamuzi japo sio ya moja kwa moja.
Wish them all to stay especially Trent, Madrid is not LFC kwamba watamvumilia la hasha hasa Don Perez na ataondoshwa kama atafanya one mistake itakayowakosesha kombe.
Happy New Year 2025…
Ynwa’
Brother, kuna levels and classes kwenye mpira.
Output za Trent/Salah/Virgil/Alisson, huwezi kuziweka kwenye mrija mmoja na zile za kina Diaz Aisee, utakuwa una-fail.
World class players are rare, mfano at City, world class players ni watatu tu (Rodri, Haaland, KDB), at Arsenal, i'd say Saliba, Magalhäes & Saka, at Chelsea kuna potential suitors ambao wanaweza ku-enter hiyo sphere in few years (Caicedo & Palmer), Spurs had Son but he's done, so hawana a world beater now, there are no world class players at Utd, Spurs, Chelsea etc.
At LFC, tumebahatika, tuna Salah, Virgil, Trent & Alisson.
WC players, ni unique players, Gakpo.& Diaz are doing so good this season, and i'm so happy, especially for Gakpo, but output yao bado ni ndogo sana uki-compare na ile ya Mane (WC player), na huwezi kulaumu because ni ceiling yao, Diaz & Gakpo wakiondoka LFC, kuna 5-10 players kwenye PL midtable teams can replace them, na usione gap yeyote, mfano, Mbeumo ni right profile ya kum-replace Salah, kama Salah akiondoka leo, Spearmann lazima atashauri Club imuangalie Mbeumo, ni right profile, but atakupa namba za Salah? NO, but Mbeumo atakupa numbers za Diaz & Gakpo, tena na zaidi.
Kwamba, Trent akipewa 300k, Diaz & Gakpo wata-ask for the same amount? kwa kipi my brother? kwa outputs zipi? maana mpira ni outputs, Edwards ana kina Gakpo zaidi ya 100 kwenye his laptop, uje umwambie akupe 200-300k? kaka? kweli?
Chiesa kwa bahati mbaya anapata kadhia ya majeruhi, lakini numbers zake ni hizo hizo za kina Diaz, na tumemnunua kwa 10m tu.
Trent, anacheza LFC, so tunamchukulia poa, na tunajifariji kwasababu ya kinachoendelea, but ile ni generational TALENT, uliza scout yeyote, hakuna Profile kama ile kwenye market, HAKUNA, au unadhani Fro Perez anahangaika bure? kila siku yupo UK anahangaika na Trent tu, acha mzaha. kama angekuwa ana mkataba at LFC now, bei yake isingekuwa chini ya £100m yule, Aisee ni Trent tunamuongelea hapa.
Wakati tunavunja record ya kumnunua Virgil, dunia ilitucheka, sahiv profile ya Virgil unaipata wapi? profile ya Alisson unaipata wapi? Au kwa kuwa wanacheza LFC, tunaona ni kawaida. maana ni kawaida kwa LFC fans kuamka asubuhi na kuanza kuwatukana hawa players wakiwa na bad games, na ni kawaida, maana wote tunakuwa na emotions,.kuanzia kwa kina Trent mpaka kina Salah, but hizi ni unique profiles, very unique profiles.
Wakati, tunamnunua Szobo kipindi kile, nilisema kuwa tumepata a rare profile, bahati mbaya Szobo haku-hit the ground running, so kuna watu walikuwa wanamsema kila siku humu, (kawaida ya LFC fans), but now ile profile unaipata wapi? nipe kazi ya kukuletea kina Alexis, nitaenda France/Italy/South America, na nitakuletea kina Alexis wa kutosha, but siwezi kukuletea Szobo, but we take him for granted, God forbid akiwa na bad game, but Szobo ndiyo funguo ya Slot kwenye big games.
Trent, has earned anachokitaka, if you cant give your WC player 300k.p/w, utampa nani sasa? kila siku tutakuwa tunasingizia wage structure? we are a big club, kama huwezi ku-offer wachezaji wako wakubwa big wages, kuna big guns wenzako watafanya hivyo.
If we got a DM in the summer, Ryan angekuwa ana-rotate na kina Szobo/Curtis, kama Slot aki-abandon hitaji la kununua a DM kwasababu ya uwezo wa Grav pale kati na kuamua kuendelea nae (no problem at all), the best he can ask in his new contract ni 120-30k, akienda juu ya hapo, simu zitalia kwa wadau, tutaingia chimbo.
Curtis? c'mon man.
Alexis, i'm 100% sure, Madrid/Barca wakija, he will force a move, but ni repleciable.
Mission ya Club kwasasa, ni kuhakikisha, our big 4 wanabaki, for 2-3 years, huku kukiwa na iniative za kutafuta warithi kwa nguvu zote na kwa kutulia, though output zitakuwa hazifanani, but tutahitaji ufanano wa profiles, maana tukihitaji same profiles with close/same output ili ku-replace our big 4, itahitajika pesa nyingi sana.
Mfano, if you want to replace Virgil, utatakiwa u-replace his Leadership, Aerial & ground dominance, Agression & Speed, body size, passing Vision & ability, space & 1v1 defending, in-game management, etc, kwa UK, vichache na vya muhimu utavipata kwa Saliba, but Arsenal watakuuzia? na hata wakitaka kuuza, utatoa £100m? so it will take time, to replace these players, hence tunahitaji wawepo.