MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
We are cursed, the same old Luverpool, its our history
Bado tumeendeleza kutomfunga worst united tukiwa kwenye tittle race, and bado suluhu nyingine na Everton.
Thanks God washindani wetu mpaka sasa wakuu ni Arsenal ambao they are cursed like us
KUhusu TAA he is just an average defender anayebebwa tuu na systerm ya Liverpool, he can be easly replaced.
Pale Madrid ndio ataenda kuwa worse zaidi maana hana uwezo wa kufill gap la Dani Carvajal. TAA is prone to mistake when it matter the most.
TAA kawa average defender, because Madrid wants him?
When he was giving you titles & wins, weeks in & weeks out, hukuwa unaona hilo? au siyo?
You said Salah was finished & selfish wakati ana-struggle na match fitness a season ago, what happened now? bado ni finished?
Sijawahi kuona shabiki anaye-treat his important players hovyo kama wewe, wanakusifia kuwa hukwepeshi maneno but hiyo ni stupid gimmick, & haifai.
Players can have bad games, players cant last a life-time, hakuna players ambaye yupo above the team, but kuna players ambao tusingefika hapa tulipo kama tusingekuwa nao, na Trent ni mmoja wapo, same to Salah, VVD, Alisson etc, so tuache hizi tabia za kuona we reserve the right kuponda players kila tunapojisikia because tunaona ni fashionable.
Kina Karius, Sakho, Lovren, Clyne, Moreno, Joe Allen, Benteke, Emre Can, Markovic, etc, wasingetupeleka kokote kule, hawa kina Trent, Salah,VVD, Alisson, Mane, Firmino, Wijnaldum, Fabinho, Robertson etc, ndiyo waliipeleka hii team kwenye new heights, na luckly kuna baadhi bado tupo nao, lakini kila wakiwa na bad games, ni abuses tu.
Angalia posts zangu za last season, nilikuwa na-deal na bad defending ya Trent kila siku, mpaka nikaonekana namchukia, but siwezi kamwe kudogosha kile alichokifanya at LFC all these years, because nimeshuhudia mchango wake kuanzia anaanza LFC mpaka alipofikia, i'm not that stupid & naive.
A world class talent kama Trent hawezi ku-fail kucheza mpira sehem yeyote ile duniani hapa, ingekuwa hivyo, your coach (ambaye anaongoza league now & CL groups) asingejisumbua kumpa a free plate ya kumtengenezea quick offensive transitions kwenye set up yake.
And, kama tukishinda League, tutashinda kwasababu we have BEEEN GREAT, hatutashinda because Arsenal are cursed or City are crap this season, tutashinda because Slot and his players have BEEN GREAT.
We have beaten Utd at OT this season, 4 points, compared to 2 last season, upo cursed na nini? you have a 6 point gap kwenye table na game 1 mkononi, lakini bado unalalamika, maboss wako FSG wamempa nini Slot kwenye Transfer windows hizi, mpaka ujione una haki ya kushinda kila game?
We are on top of the table with only 1 loss kwenye our books, whlist playing a 22 years-old box to box MF at 6. cant you just be happy that, these players and coach are showing a massive fight? kazi ni kulalamika tu.
Drawing against Utd ndiyo mwisho wa dunia? tuta-drop more points along the way kwasababu ya our squad size, kama unaona hutoweza kuvumilia, just get yourself out of the train.
This is Slot first season na ana-put up these numbers & records, lakini bado mnatafuta angle za kulalamika.
You're so spoiled.