Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Matokeo yanaumiza wakati mwingine unatafuta wa kumuangushia jumba bovu ila jamaa wamecheza kimkakati mwisho wa siku tulichostahili ndicho tulichopata derby siku zote ina matokeo ya ajabu sana middle leo amebanwa amekuwa mchovu jamaa walikua na utimamu mwingi wa kimwili!.....bora kufungwa kuliko hizi point moja moja hazina mpango!
 
Hii timu tunagundu... Sijui tunafeli wapi kwenye kumalizia ligi, hata kama refa katuua lakini bado umakini ni sifuri. Unaacha kutuliza mpira unacheza papatu papatu kama wewe ndio Everton
 
100% wamiliki wa Liverpool huwa hawana muda na mambo ya makombe

Haiwezekani shabiki niliyepo huku Porini nililia usajili wa DM mmoja makini dirisha kubwa la usajili, wakaishia kutuaminisha kwamba Grav anatosha

Dah wao wakishaingiza faida mfukoni mwao mambo mengine hawajali na hawana uchungu na timu
 
Back
Top Bottom