Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

There is a confidence and arrogance in our player that is very encouraging

They are not scared of success

Efficiency ya team ipo kwrnye conversion rate, vijana, of late, wamepiga show Siko very efficient

Short on target per goal in thr last 6 games ilo nzuri sana
Sure kuna balance licha ya kukosa natural DM individual errors and the likes we managed not to lose completely instead we had chosen to lose half (draws).

Ynwa
 
No pundits gave us a chance to be even at the top two not even to win a league.

IMG-20250227-WA0000.jpg
IMG-20250227-WA0001.jpg




See, even LFC fans humu na nje ya humu hawakufikri LFC inaweza kufanya vizuri under Arne Slot, I Myself nilitarajia mazuri ila sio kwa kiwango hiki.

Hivi ndivyo niliandika mwaka jana tukiwa pre season, na baada ya four matches nikaona this bald has something sweet to watch.
IMG-20250228-WA0001.jpg


Nilitarajia itakuwa vizuri ingawa sio kuchukua ubingwa, but i had good faith on him, tofauti na wengi walivyofikiri itakuwa worse worse, worse, especially haters.

But kudos to Slot, Mwamba aliyekubali kuchukua mikoba ya role model wake with all confidence akiamini ni yeye akabadhiwe na ataendeleza vyema alipoachiwa.

Who is Arne Slot?
IMG-20250228-WA0000.jpg

Born in Berengeithem, Netherlands, Slot alianza Carrier yake ya mpira kwenye timu ya mpira ya mjini hapo alipozaliwa, kabla ya kwenda Zwolle ambapo alikipiga hapo kwa miaka 7 kutoka 1995 to 2002, (mwaka aliozaliwa dada humu ndani.)



Akiwa kama kiungo aliisaidia ZWOLLE kupanda daraja. Mwaka huo alitimkia zake Nac Breda baada ya kuisaidia Zwolle kupanda ligi kuu ya nchini Uholanzi baada ya miaka 13. Huko Nac Breda alienda na kuisaidia kumaliza top four , their best finish since 1956.


Slot alidumu Nac Breda for the next five years, before he moved to Sparta Rotterdam in 2007, (ambapo kuna dada wa humu ndani alikuwa na miaka saba kasoro). Hapo Sparta alidumu kwa miaka miwili ambapo alikaa misimu miwili na baada ya hapo alirudi tena Zwolle kwa mkopo 2009 na mwaka unaofuata alipewa mkataba wa kudumu. 2011/2012 alishinda nao 2nd division tittle. He played one more season and announced his retirement. Alidumu kwenye mpira wa ushindani kwa miaka 18 na hakuwahi kulichezea taifa lake la uholanzi.



Jambo la ajabu, Slot katika uchezaji wake, he lacked the physicality and athleticism but excelled with his passing prowess and vision.

Slot akiwa Zwolle aliendelea kujifunza mambo ya ukocha toka akiwa mchezaji ali act as coach mostly not as a player as per his fellow player Bram van Polen. Hakuchukua muda, alienda kuwa kocha wa vijana wa klabu ya Zwolle kwa mwaka mmoja, na baadae akatimkia Cambuur kuwa kocha msaidizi wa Henk de Jong in 2016. "Haya majina ya timu kwa wakamaria wala sio mageni",


Sasa tuanze kuchambua makubwa ya Slot kwa level yake.


Baada ya kuwa msaidizi wa H. De Jong, baadae akapandishwa kwenye jopo la makocha wakuu akiungana na Sipke Hulshoff chini ya usimamizi wa makocha wakuu Marcel Kaizer and Rob Maas. Msimu huo Cambuur walifanya vibaya na kushuka daraja chini ya kaizer na Maas. Ilipelekea Kaizer na Mass kufutwa kazi, Slot na mwenzie Hulshoff wakawa "interim coaches" wakafanya vizuri sana.
Licha ya kumaliza nafasi ya 17, chini ya Kaizer na Maas (vyanzo vingine vimeanduka 14) na kushushwa daraja, Slot na mwenzie Hulshoff walikabithiwa mikoba rasmi na walifanikiwa kuifikisha Cambuur nafasi ya tatu msimu uliofuata licha ya kukosa nafasi ya kupanda ligi kuu nchini uholanzi kwa kufungwa na MVV kwenye play off.

Wakiwa hapo Cambuur Slot na mwenzie walifanikiwa kufika semi final ya KNVB cup for the first time in club history na kuwang'oa Ajax wakatinga finali. Walitolewa na AZ Alkmaar kwa mikwaju ya penalty.

Baada ya hapo aliondoka na kujiunga na Az Alkmaar kuwa 2nd in command for John Van Den Brom. Mwaka 2017 Mwaka uliofuata Slot alikabidhiwa mikoba ya Jonh Brom, baada ya Brom kufukuzwa december 2018 na kutangwa kubeba mikoba yake kwa msimu wa 2019-2020.

Slot alifanikiwa kukusanya points 19 kwenye mechi 8 za kwanza na kuweka record kubwa kwa ngazi ya klabu kama kocha wa kwanza kufanya hivyo.

Slot aliwapeleka Europe na 2020 walishinda game yao kubwa ya ulaya vs Napoli kwa 1-0.

Slot aliachana na Az Alkmaar na kujiunga na Feyenoord kwa sababu mbili:-


1. Az walidai hana consistency...

2. Alianza mazungumzo na Feyeneerd...

Lakini sababu ya pili ndio ina nguvu kwa 90% ukizingatia alipowatoa na alipowaacha. Az wakaamua kuvunja mkataba naye.


Season hii ya 2020 ligi ya uholanzi ilifutwa kutokana na Covid 19. Wakati ligi inafutwa kwa makubaliano ya uefa na chama cha soka uholanzi Az Alkmaar walikuwa tied up on points with Ajax, each had 56 points with Ajax 45+ on GD and AZ Alkmaar 37+GD, How can this be inconsistency wakati ni msimu wake wa kwanza kama kocha mkuu??

Kesi iliyomchomoa Slot kwa AZ ni kufanya mazungumzo na Feyeneerd huku akiwa bado Az Alkmaar jambo la kwaida hili kutokea, kama vile Amorim alifanya mazungumzo na United huku akiwa Sporting Lisbon. Az walimtuhumu Slot hana focus na timu tena wakaamua kuachana nae.

Wakati alipotua Az Technical director wa Az Alkmaar bwana Max Huiberts alisema hivi; Slot is an Experienced, Studios, Innovative, and ambitious coach, kama hauamini hili muulize Quansah kabla ya injury hazijaanza kuiandama defence ya LFC. Pale mwanzoni mwa msimu alicheza dk 45 pekee baada ya hapo injuries zikampa game time na kidogo amefunika makosa na kunufaika au Muulize Jota na Nunez, ilikuwaje hawajacheza big game vs City pale Etihad?

Anyway tuendelee na maisha ya ukocha wa Arne Slot.

Baada ya mzozo wake na Az kunalizika kwa sharihatimaye mkataba ukavunjwa na kuhamia Feyenoord rasmi December 2020,

Slot akapata mkataba wa miaka miwili na option wa kuongeza mmoja. Akapewa watu wa kufanya nao kazi kina RVP. Unamkumbuka RVP na ile Volley yake vs Aston villa 2013 wakati United wanachukua kombe kwa mara ya mwisho?? Au ile header vs Casillas 2014?? Basi huyu ndiye RVP akawa miongoni mwa bench la ufundi la Slot. Msimu kabla ya kupewa ukocha na Feyenoord, walimaliza nafasi ya tano na kupata UEFA Europe conference. Feyenoord reached the round of 16 for the first time in 20 yrs in European football. February 2022 Feyenoord waliitumie ile Option chip ya kuongeza mkataba bwana Slot na kumpa miaka miwili mpaka 2024.

Msimu huo wakatinga final ya conference kwa kuwatoa, Partizan, Slavia Prague na Marseille na kukutana fainali hiyo na As Roma ya Jose Mourinho kwa goli moja bila. Msimu huo Feyenoord walimaliza nafasi ya tatu ligi kuu Uholanzi ambapo Slot alitunukiwa Rinus Michels Award for the Eredivisie Manager of the year.

Wakiwa msimu wa 22/23 Feyenoord waliona Slot ni future manager wao wakamuongeza mkataba wa mwaka mmoja utakaoishia 2025. Msimu huo kwenye UEFA Europe league waliongoza kundi na kutinga hatua ya 16 bora, (secondary club football tournament for the first time since 2002.)

Kwenye hatua hiyo ya 16 Feyenoord walipangwa na Shakhtar Donetsk 7-1, ulikuwa ushindi mnono wa Feyenoord kwenye Mashindano ya ulaya (European football) kutoka 1995. Kwa ushindi huo Slot aliwapiku Ernst Hapel na Bert Van Marwijk na kuwa kocha wa kwanza kushinda michezo 15 in European football.

Msimu huo alishinda taji la ligi kuu Uholanzi, hilo likawa taji lao lingine toka 2017 na taji la kumi na sita (16). Feyenoord wakatolewa hatua ya Robo fainali ya Europa na Roma, kisha kuondoshwa mashindanoni hatua ya semi final ya KNVB Cup na Ajax.
Msimu huo alishinda tena Rinus Michels Award Manager of the year, na kuwa kocha wa nne kushinda tuzo hiyo mfululizo.

April 2024, kuliibuka minong'ono ya Slot kutimkia Uingereza na timu inayomuhitaji ni LiverpoolFC, ikasemekana Feyenoord na LFC wamekubaliana kumchukua Slot as Klopp's successor. May 2024 alithibitisha habari hizi na kusema ni kweli na 20 May Liverpool wakatangaza rasmi 1 june Slot atakua head coach wao baada ya Jurgen Klopp kutangaza kuachana na timu hiyo ifikapo mwisho wa msimu.

On 17 August 2024 he won his first EPL match after 2-0 vs Ipswich away, and became the first Liverpool manager since Gerrard Houllier in 1998 to win his first game in charge.

Records zingine akiwa LFC manager:-

Aliwafunga United pale Old Trafford 0-3 and became only the second Liverpool manager to win in his first match at Old Trafford, after George Kay in 1936.

Slot became the first Premier League manager to win his first 6 away games, the quickest Premier League manager to reach 15 wins in all competitions and the first Liverpool manager to win the first 11 out of 12 matches at the start of a season,

Mnamo November 2024, Slot aliifunga Real Madrid 2-0 na kutamatisha winless record for LFC in 15 yrs vs Madrid (Kops wengi hawaipendi Madrid kwa sababu hii heheh).

Ameiongoza LFC kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Uingereza kutoma Match day 6 mpaka leo Match day 27/28.

Ameiongoza LFC kuongoza ligi ya mabingwa ulaya kwa kukaa kileleni kutoka matchday 4 mpaka kutamatika kwa mzunguko wa makundi na kuipeleka hatua inayofuata.

Slota ameiongoza LFC kutinga fainali ya carabao cup kwa kumfunga Spurs hatua ya nusu fainali kwa jumla ya magoli 4-1.

Slot ameendelea kuvunja records kadhaa ikiwemo kushinda Etihad kwa mara ya kwanza baada ya miaka kumi City ikiwa chini ya Kipara mwenzie Pep Guardiola, first time to score corners goal vs City since Pep era at Etihad, first time to win with Cleansheet at Etihad after 10 years.

Mpaka sasa ameiongoza LFC kuwa juu ya msimamo wa EPL kwa utofauti wa point 13.

Ameiongoza LFC kwenye michezo 43
Ameshinda 32
Amesare 7
Amepoteza 4
Amefunga magoli 101
Amefungwa magoli 37.


Huyu ndiye Arne Slot, tutamuandalia makali yake ya ufundi wake alikopita mpaka kuwa hivi alivyo panapo majaliwa.

Kwa sasa Slot amabakiza record moja tu, itakayoipamba CV yake, nayo ni kuandikwa hivi kwenye media mbali mbali na social media zote ifikapo May;

IMG_20250228_024744.jpg


First Ever Dutch Manager to Win "ENGLISH PREMIER LEAGUE",..

Slot "You don't win games tactically, You win games with a work rate"
haya ni maneno aliwahi kuyasema September 2024.

Best of Luck to our Bald, best of luck to you Dutch man. Go Go Go Slot it is possible,.

Know You Can,
IMG_20250228_024759.jpg

Ynwa.
 
Let's take it as a deal

Y'all mmekuwa hapa kwa muda mrefu sana, more than 10 years now. tunajuana, signature yako ni tofauti na ya TIMING, but zote zina-lead kwenye ku-raise LFC/football oriented engagements. theres nothing wrong about that.


Siyo lazima mitazamo/our way ya ku-engage kwenye football chats/discussions kufanana, & thats the beauty of football & uwepo wa hizi open forums.

So, Acheni huu utoto wa kutaka kukaushiana, tuna title ya ku-celebrate, & niliona Zumbemkuu ali-suggest mfanye a get-together in May, kuna wale jamaa wa kikundi cha mashabiki wa LFC bongo, huwa wanafanya hizi get-together mara nyingi, y'all need to do the same au kuwa-join hawa jamaa, maana humu ndugu zangu tunavimbiana sana, si mchezo, hahaha.

Y'all both ni LFC fans, and LEGENDS wa hii thread, imepita miaka mingi na bado tumebarikiwa uzima wa kuendelea kuwepo hapa, its an honor.

By the way, TIMING ni one of the EARLY founders & members wa hii thread, binafsi, i respect him DEARLY.
 
QUESTIONS.

Suarez or Salah?

Torres or Firmino?

Fabinho or Mascherano?

Hyppia or VVD?

Agger or Matip?

Coutinho or Alexis?

Alexis or Wijnaldum?

Alonso or Thiago?

Mane or Salah?

Nunez or Milan Baros?

Henderson or Szobo?

Allison or Reina
 
QUESTIONS;

Who is your favorite LFC player of all time?

Who is your favorite LFC player currently?

Who is the most underrated LFC player in our current squad?

Who is the most overrated LFC player in our current squad?

The player you hate the most?
 
Back
Top Bottom