Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufikia mwezi wa decemba banitez kibarua kitakuwa kimeota mabawa.Bwawa la maini hata katika nne bora hawatakuwepo kwasababu ya ujinga wa Banitez,Man city,Spurs na Aston Villa mmoja wapo wanaweza kuingia katika top 4.
the sun have done their sums of how much the Big four + 1 (that's man city,of course) have spent in the last four years,and while man city have splashed out a net spend of pound 232.4m,man united have spent just pound 6.25m,while arsenal have made a net profit of pound 27.9m.Rafa 'no money' Benitez has spent pound 88.4m,while chelsea have dished out pound 97.5m.
kumbuka hizo hela ni baada ya kuuza na kununua wachezaji balance ndio hizo for the last four years.
thats for the last four years bro.i had another source last year the figures were close too.man united numbers r low cause of the sell of ronaldo.That could be right, but if i were you i wouldn't have never use any "sun" findings as reliable... nimeangalia sky news this morning the net spend for Liverpool was about 8m+, Arses 8.0 etc
Not sure though
thats for the last four years bro.i had another source last year the figures were close too.man united numbers r low cause of the sell of ronaldo.
Mbu!!!
Kwa heshima ya Liverpool and all the kops in the house naomba u-edit hiyo habari inayoongoza thread ili iweze kuwakilisha the KOPS appropriately
YNWA
...naaam, ....wakati umefika wa kumpa mchawi mtoto alee!
nitatumia maneno yako fulani hapa... 🙂
Naona benayoun ameamua kufanya kweli 1-0
Na'am na'am nimerudi kusimama nyuma ya chama langu.
Tusonge mbele Liverpool
...hongereni, Benayoun anang'ara leo eeeh?
3 - 0