punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Pazi, nipo majukumu yamenikamata, nikigeuka huku Liverpool hoi, yaani balaa tupu! Jana vijana wanakosa magoli utafikiri wamerogwa!! Sijui wafanyeje ili wawe wanafunga. Mkuu Pazi umenichekesha sana na hilo la Viagra!!
