Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu 'mwezi kamili' yaani ulikuwepo hapa peke yako!! Hongera sana mkuu, vijana wetu wanaimarika taratibu, maana hapo dw siyo sehemu rahisi kucheza..
 
Umeona eeh? Dogo ni mzuri kweli. Sturridge akiwa mzima na tuimarishe beki yetu kidogo timu itakuwa balaa.
 
Mkuu 'mwezi kamili' yaani ulikuwepo hapa peke yako!! Hongera sana mkuu, vijana wetu wanaimarika taratibu, maana hapo dw siyo sehemu rahisi kucheza..

Ahsante sana..mimi naomba tu mtu yoyote asiondoke summer ili kikosi kiwe kamili msimu ujao.
 
eeh jamani tutamkoma Gareth Bale wiki hii..duh hadi naogopa kuangalia
 
eeh jamani tutamkoma Gareth Bale wiki hii..duh hadi naogopa kuangalia
Hawezi kufanya kitu chochote. Kinachotakiwa tuwe makini kwenye marking.....Tumkamate Mousa Dembele na Scott Parker pale kati na Jose Enrique ale sahani moja na Aaron Lennon...Stewart Downing akomae na Assou Ekotto ili Johnson apate muda wa kupanda. Steven Gerrard na Lucas Leiva wacheze double defense na Coutinho acheze nyuma ya Suarez na Sturridge....Hawatoki wale. Uziri Martin Skrtel atarudi kusaidiana na Dagger. Hawatoki wale kesho. You will never walk alone
 
Jamani mechi ya kesho inanyima usingizi kabisa, Mungu saidia tushinde maana spurs walishatunyanyasa sana
 
Jamani mechi ya kesho inanyima usingizi kabisa, Mungu saidia tushinde maana spurs walishatunyanyasa sana

Kwa moto tulio nao sasa Spurs atalia leo.. I predict 3 - 1. LFC Super Suarez and Sturridge will smash them!!

YNWA
 
Full time Liv 3- 2 Tottenham
Safi sana vijogoo naona sasa tunaenda kuwika
 
...and Suarez is so far top scorer for 3 goals gap to RVP. The guy is genius!
 
Haahaaa! Mkuu, kumbe na wewe ulikuwa tumbo moto? Kwa kweli hata mimi nilikuwa najiuliza tutamdhibiti vipi huyo jamaa...

Yule jamaa kwa kujirusha aminia..ana dive sana..sema fresh tumeshinda

samahanini jamani sikuwega live updates..nilikuwa naangalia kwenye pub
 
tukienda kwa mbio hizi za sasa, tunaweza sneak in top four..

sema sina matumaini sana msimu huu, hadi ujao.

Patience is a virtue
 
article-2291489-1890C884000005DC-773_636x480.jpg

Sure boy ... .. kamfunika Judas Iskariot

Wakuu hongereni kwa kutuondolea kadhia ya Spuds safi sana .... .....
 
Back
Top Bottom