Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

sinziga yupo mtaa wa7

Nimemfata kule kule,namuona kanyonge hatari..
Wakati wiki iliyopita alikuwa ananikumbusha kuja kuwashangilia liver game na Swans...Alijua nitakufa.

"Nlikuwepo":bolt"
 
Mm Nasema tukiendelea hv ubingwa ni wetu, alafu beki yetu kwa mechi zinazofuata nafikiri itafanya vizuri maana jembe sakho na Lucas watakuwa wamerudi. YNWA liver to life
 
Bado pointi mbili liver wafikishe points walizomaliza nazo msimu uliopita kwa nafasi ya saba!Mechi ijayo na man u old trafford.....!
 
Back
Top Bottom