Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Naamia kwako, najenga kambi uko
Karibu sn Yani kule utatosha mwenyewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamia kwako, najenga kambi uko
Mkuu Ntuzu...sisi kwa sasa our main focus is Sunderland which is our next game. Baada ya hapo we focus again on the next game... mpaka tutafika kwenye game yenu.
BR z the cool one... hata sisi wapenzi wa LFC ni cool fans.
Hebu niambie hiyo fitina ilikuaje? Maana Mimi nilitizama mpira Lkn hiyo fitina sikuiona?
Nakwambia hivi, Huyu Suarez na Daniel Sturidge lazima wapotee!
Ukija ktk viungo wenu, Cotinho, Stearling, Aleyn, Lucas au Stive Gerrad lazima wachemshe na wapotee!
Ukija Kwa mabeki wenu Skirtl, Agga, Johnson au sijui Flanagan hawatoweza kuwazuia Akina Hazard, Willian, Oscar na Eto'o.
Ntuzu kanifurahisha hayo majina ya wachezaji akiwa taja kwa mdomo atavunja ulimi japo hauna mfupa LFC katikati tungekuwa na Yaya toure ningesema ubingwa wetu top 3 I'll take it.Huyo Ulimsajili wewe pale nini...? Sisi hatuna mtu huyo,labda umemfananisha na yule wa Aston Villa Mkuu!
Ntuzu kanifurahisha hayo majina ya wachezaji akiwa taja kwa mdomo atavunja ulimi japo hauna mfupa LFC katikati tungekuwa na Yaya toure ningesema ubingwa wetu top 3 I'll take it.
Nawaombea Chelsick na Assesno draw njema yenye amani tele.
Hata wakitoa droo bado ni nzuri kwetu...Leo nawaombea manure shind coz sio threat tena kwetu na ushind wao ni mtaj kwa liver
manchester united kea mara ya kwanza leo npo nyuma yao...
Usijali mkuu tutakuwa wote hapa hapa jukwaani...tukutane saa5 wakati tunamkalisha sunderland huku suarez akifikisha goli 30, hima hima jamani wakina nyangelekene, gwamahala, kibo10, the magnificent na wengine wengi