Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1396908322.112127.jpg
 
Anfield hata Barca HAPONI;Anfield hata Weupe wa Madrid HAPONI;Anfield hata Munchen HAPONI!!Man City na Chelsea karibuni machinjioni
 
MANCITY cant be a threat to Liverpool, hata game lililochezwa kule kwao walibebwa sana na refalii ila imebakia kidogo wachezee kichapo,

Inategemea..

wakicheza defensive; then tunawala fresh kabisa..but they are too clever kucheza defensive, wanajua hawawezi pata clean sheet zidi yetu- sisi si wengine.

wakicheza offensive-then hapo ndo itakuwa mechi ngumu maana tukakuwa tunajibizana mapigo..hii mechi inategemea defense yetu itakuaje. Sakho na Sktrel wakiwa strong..then tunaweza. Lucas ataanza kumkabili Yaya na Hendo kazi yake Silva. Mechi ngumu sana, kama kawaida, kama liverpool kushinda inategemea first half tunakuaje..we lead half time, we can win the game.

Hii mechi inaenda kuingia history books..kuna mechi kweli ilishawahi subiriwa kwa hamu miaka rudi kama 10 zaidi ya hii? Sidhani.

Anfield ipo ready..scarfs, weaves, tena ni Hillsborough disaster memorial day kwahiyo hiyo inaongezea umuhimu. Unakumbuka Chelsea 2005 walivyokuja Anfield na pressure ya uwanja ikawashinda? Hii inaenda kuwa zaidi..nadhani jiji zima litazimika..Man City will be overwhelmed.

Mungu awe nasi..sitaki kulalamika kwa Muumba wangu lakini aisee we deserve this EPL trophy.
 
Ntuzu, hebu nikupe udhaifu kidogo wa team yako ya Chelshit...

Ntatumia team ambazo zipo Top7, (Liverpool, man city, arsenal, everton, spurs and ManureUtd)

Katika hizo team ni team moja tu ambayo umefanikiwa kuifunga away na darajan, ni Man City Tu..

Arsenal ilikuwa draw pale emirates, na ManureUtd ilikuwa draw pale oldTrashFord, spurs ilikuwa 1-1, nakumbuka alikuokoa JT kwa freekick ya Mata, kwa Everton pale Goodson park ulikufa 1-0,

Hapo nataka nikuoneshe ni jinsi gani ulivyom-bovu ugenini ndugu yangu Ntuzu..Na safar hii unakuja Anfield..

alafu, striker wako unaemtegemea msim huu, Etoo mwenye magoal nane tu ya kwenye league tangu umemsajil, yote ameyafungia darajani tu,

so ukinambia unakuja kutafuta draw ntakuelewa, lakin siyo kuja kunifunga mimi Anfield,

kwenye hyo list sjaweka team kama Aston villa, westBromwich, stoke city, crystal palace...

Teh Teh Teh Teh Teh Teh

Kwanza timu yng haitegemei mtu mmoja kufunga! Kila mmoja anafunga! Ktk Hilo umepotea!

Alafu timu yng ndio timu iliyobaki Ktk EPL top 5 ambayo haijafungwa na timu yeyote ile! Iwe away au home! Na na ukiangalia uwezo Wa timu Ktk hizo mecho za ugenini km ya Arsenal na Man Utd Chelsea ilikua ishinde! Rudi ukaangalie taarifa ya game hizo na mchanganuo wote!

Kwahiyo timu yng kuja kukushinda hapo kwako ni rahisi sn!
 
Ntuzu unanichekesha sana, unavyowaza kuifunga Liverpool Anfield pale,

Huna mpira wa kuifunga Liverpool pale Anfield mkuu, huna mpira kabisa ndugu yangu..

Yaan me huwa naiogopa Stoke City na Southampton kuliko Chelshit, sijawah kabisa kuihofia hiyo team yako tangu nimeanza kushabikia mpira..
 
Ebu niwekee mfano Wa kikosi chako ambacho kitaweza kuikabili Chelsea na Mimi nikupe changu uone!

December last year kabla ya kukutana na sisi pale darajani Na kuwafunga mlikua Vzr sn hadi Mimi mlinitisha! Lkn kiwango chenu kimepolomoka sn!

Huna wachezaji Wa kuishmbua Chelsea Mkuu! Na ndio Maana unaihofia sn Man City kwasababu imesheheni wachezaji wengi hatari! Lkn kwa Chelsea walikaa na hapo ndio utaona Chelsea ni kiboko yenu! Ata muwe hatari kiasi gani! Sisi tukitua hapo ni kukata kila kitu!
 
Kolo toure vs Eden Hazard;
Martin Skirtel vs Oscar;

tunakosaje magoli hapo?

Jordan Henderson vs NEMANJA MATIC
Ntuzu unanichekesha sana, unavyowaza kuifunga Liverpool Anfield pale,

Huna mpira wa kuifunga Liverpool pale Anfield mkuu, huna mpira kabisa ndugu yangu..

Yaan me huwa naiogopa Stoke City na Southampton kuliko Chelshit, sijawah kabisa kuihofia hiyo team yako tangu nimeanza kushabikia mpira..
 
Luiz Suarez hajafunga timu yoyote ya top 4 msimu huu:

chelsea fc - bingwa 2005.
inategemea..

Wakicheza defensive; then tunawala fresh kabisa..but they are too clever kucheza defensive, wanajua hawawezi pata clean sheet zidi yetu- sisi si wengine.

Wakicheza offensive-then hapo ndo itakuwa mechi ngumu maana tukakuwa tunajibizana mapigo..hii mechi inategemea defense yetu itakuaje. Sakho na sktrel wakiwa strong..then tunaweza. Lucas ataanza kumkabili yaya na hendo kazi yake silva. Mechi ngumu sana, kama kawaida, kama liverpool kushinda inategemea first half tunakuaje..we lead half time, we can win the game.

Hii mechi inaenda kuingia history books..kuna mechi kweli ilishawahi subiriwa kwa hamu miaka rudi kama 10 zaidi ya hii? Sidhani.

Anfield ipo ready..scarfs, weaves, tena ni hillsborough disaster memorial day kwahiyo hiyo inaongezea umuhimu. unakumbuka chelsea 2005 walivyokuja anfield na pressure ya uwanja ikawashinda? hii inaenda kuwa zaidi..nadhani jiji zima litazimika..man city will be overwhelmed.

Mungu awe nasi..sitaki kulalamika kwa muumba wangu lakini aisee we deserve this epl trophy.
 
Kolo toure vs Eden Hazard;
Martin Skirtel vs Oscar;

tunakosaje magoli hapo?

Mkuu umenifurahisha sn kuniwekea hao beki uchochoro!

They can't stop us dude!

Ukiwa shabiki Wa Chelsea yani raha sn!

KTBFFH
 
Jordan Henderson vs NEMANJA MATIC

Yani Mkuu hapa kwa mkata Umeme Huyu Matic, yani Liverpool watakatiwa Umeme kwenye Grid ya Taifa!

Teh Teh Teh

Watu hawana timu Lkn kutwa wanapiga kelele ndio Maana Mimi nikawaomba wanipe kikosi chao tena mpk Sub Yao na mimi niwape chetu waone!

Tena kuna kijana Salah anakuja vibaya sn! Usije Shangaa Hiyo game ya 27 akaanza ndani!
 
Kolo toure vs Eden Hazard;
Martin Skirtel vs Oscar;

tunakosaje magoli hapo?

hahaha...Mashabiki wa Chelshit mna akili mgando sana aisee

mbona umekimbilia kwa Kolo Toure???..wakat kuna Sakho, Skrtel, Agger, GJ, Flanagan, na sidhan kama Toure atacheza kwenye Game ya Chelshit, wakt centrebacks wa first team wote wapo fiti...

Afu sidhan kama kumkaba "the overRated Hazard itakuwa kaz ya Skrtel mkuu..

hahah, kwann umekimbilia kwa JH na kumwacha SG, coz JH ana kaz tofaut uwanjan sahv..Afu unamzungumzia Matic yupi??, yule aliyopotezwa na viungo wa championship wa Crystal palace???

Hao kina Hazard na mwenzake oscar walikuja msim uliopta Anfield pale nikiwa nipo kwenye form mbovu sana, Walifanya kipi cha maana?????

Afu game yangu na wewe darajan, kama unakumbuka majeruh yalipelekea mpaka Agger achezeshwe namba 3, SG, DS, GJ wote hawakuwepo, afu second half, Allen aliumia pia, nilikuwa na majeruh kibao kwny ile game...lakin ukamalza mpira kwa magol yaleyale mawil ya first half..na uliweka mzik wako FULL..

Agost8, we kazi yako ni kunifikia me nilipo kwa kila kitu, coz kwenye ulimwengu wa soccer nimekuzid kila kitu mkuu, KILA KITU...

1. Trophies
2. Head to head matches
3. Legends
4.Youth Academy
5. Talented players ambao washawah kuchezea LFC
6. Umaarufu wa Team
7. Hadhi ya Team internationally.
8. Players loyality.
9. Mpira wa kuvutia.
10. Die hard Fans all over the world.

NB: sisi tumeanza kuishabikia LIVERPOOL since day one, Chelshit fans wengi nje ya ENGLAND, mlijikusanya kutoka liverpool, Arsenal, ManureUtd kuanzia mwaka 2004...

wewe na Ntuzu kabla ya ile chelsea ya kuanzia 2004, mlikuwa mnashabikia team gan????...na usitudanganye kwamba umeanza kitaaaambo, Huo utakuwa ni uwongo.

PLASTIC FANS.
 
Yani Mkuu hapa kwa mkata Umeme Huyu Matic, yani Liverpool watakatiwa Umeme kwenye Grid ya Taifa!

Teh Teh Teh

Watu hawana timu Lkn kutwa wanapiga kelele ndio Maana Mimi nikawaomba wanipe kikosi chao tena mpk Sub Yao na mimi niwape chetu waone!

Tena kuna kijana Salah anakuja vibaya sn! Usije Shangaa Hiyo game ya 27 akaanza ndani!

Vijogoo haviwezi kumtisha Simba; we the true lions.

liverpool = past tense.
chelsea fc = the present tense.
 
Luiz Suarez hajafunga timu yoyote ya top 4 msimu huu:

Na ndo huyohuyo aliyebakiza magoak ma3 tu ya kuvunja Records zote za mastraika waliowah kucheza hapo EPL..na skumnunua kwa £50mill...
 
kwa nini LIVERPOOL FC mnapewa penati nyingi sana? nauliza..
msimu huu peke yake mmepata penati 12.

mkuu tuna streika matata sana ndo maana unaona wapinzani full kucheza mirafu maeneo hatari, suarez akiwapiga chenga wanaona aibu wanaamua kushika mpira, hivi unajiuliza penat pekee mbona hujiulizi streika wa liver wana magoli mangapi yasiyo ya penati?
 
Yani Mkuu hapa kwa mkata Umeme Huyu Matic, yani Liverpool watakatiwa Umeme kwenye Grid ya Taifa!

Teh Teh Teh

Watu hawana timu Lkn kutwa wanapiga kelele ndio Maana Mimi nikawaomba wanipe kikosi chao tena mpk Sub Yao na mimi niwape chetu waone!

Tena kuna kijana Salah anakuja vibaya sn! Usije Shangaa Hiyo game ya 27 akaanza ndani!
ushajiuliza na hicho kikosi chenu mko nafasi ya ngapi na liver wapo nafasi ya ngapi? aston villa wanakikosi gani cha kuwafunga nyie? cardif city je?
 
Yani Mkuu hapa kwa mkata Umeme Huyu Matic, yani Liverpool watakatiwa Umeme kwenye Grid ya Taifa!

Teh Teh Teh

Watu hawana timu Lkn kutwa wanapiga kelele ndio Maana Mimi nikawaomba wanipe kikosi chao tena mpk Sub Yao na mimi niwape chetu waone!

Tena kuna kijana Salah anakuja vibaya sn! Usije Shangaa Hiyo game ya 27 akaanza ndani!

hatuna kikosi tuna team mkuu.
 
Na ndo huyohuyo aliyebakiza magoak ma3 tu ya kuvunja Records zote za mastraika waliowah kucheza hapo EPL..na skumnunua kwa £50mill...

labda ang'ate mtu tena...mfungeni mdomo huyo suarez:tape:
 
Back
Top Bottom