Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Forgods sake napromise hapa kesho chelsea akishinda kwa swansea seriously ntatembea uchiii samora nzima jtatu.
 
Game yetu ya kwenda fainali za UCL ni tarehe 22 coz ile ya tarehe 30 tutakua tumechoka sn kwa game yenu ya tarehe 27. Lkn ni nafasi kubwa sn Ktk game yenu Salah Matic na wengine kupangwa

Game nyepes kwenu kwenye nusu fainal ya UCL, ni ile ambayo mngepangwa na BAYERN

Lakin kwa AT MADRID itakuwa ni Game ngumu kdg, itahitaj nguvu za ziada sana..

so, Mkizubaa, yatawakuta kama yale ya Real Madrid UCL ya last season dhidi ya Dortmund....AT MADRID wamekuwa na msimu mzuri kama ilvyokuwa kwa Dortmund last season...

Umakini unahitajika aiseee..:
 
saa 8 usiku na Ashanti United...[/QUOTE

GET URSELF A LIFE!

Anza kwanza wewe!!!!!

Game kubwa inayoongelewa na kusubiriwa na kila mpenda soccer duniani kote ni hii ya Liverpoo Vs Man city, ambayo inachezwa kesho j2, na sidhan kama kuna mpenda soccer halijui hilo

Afu wewe unakuja hapa, unaulza Liverpool wanacheza saa ngap leo??????

Au huko ulipo leo ni jumapili???

Sometimes, siyo kila kitu ucomment...
 
Mkuu umenifurahisha sana!
Halafu nasikia Ashanti watachelewa kufika maana ndege wanayokuja nayo kutokea Manchester imepata hitilafu.

"Nlikuwepo":bolt:

hahahahahahah

hatari saaaaaana...
 
Anza kwanza wewe!!!!!

Game kubwa inayoongelewa na kusubiriwa na kila mpenda soccer duniani kote ni hii ya Liverpoo Vs Man city, ambayo inachezwa kesho j2, na sidhan kama kuna mpenda soccer halijui hilo

Afu wewe unakuja hapa, unaulza Liverpool wanacheza saa ngap leo??????

Au huko ulipo leo ni jumapili???

Sometimes, siyo kila kitu ucomment...

kaka mbona unatoka povu kiac hicho?
watu wanagugumia chumba cha pili we unafika kileleni chumba kingine?
nani ka kwambia kila mpenda soka anaongelea game yenu?
hate yaself to be you!
 
kaka mbona unatoka povu kiac hicho?
watu wanagugumia chumba cha pili we unafika kileleni chumba kingine?
nani ka kwambia kila mpenda soka anaongelea game yenu?
hate yaself to be you!

hahahahh...

kwahyo ulikuwa unajua kwamba game ni jumapili???

Asa ulikuwa na maana gan kupost kile ulichokipost???

Ulikuwa unatafuta Attention???
 
hahahahh...

kwahyo ulikuwa unajua kwamba game ni jumapili???

Asa ulikuwa na maana gan kupost kile ulichokipost???

Ulikuwa unatafuta Attention???

well sikufahamu kama game ni kesho...nilijua ni leo in the first place
any mstaarabu angeanzia kunikosoa kuanzia hapo kuwa game si leo ni kesho then vitu vingine vikaendelea...
kuna vitu vingine muhimu zaidi ya soka mkuu!
na kuhusu attention...hiyo age niliipita kitambo sana mkuu!
 
Na wewe, ungeuliza kwanza game yetu ni lini????

ungejibiwa vizuri sana...

Tatzo humu, wapenz wa soccer ni weeeengi sana...

So swali lako yawezekana uliliulza ukiwa kwel hujui..lakin kutokana na upenz wa soccer humu ndani, Ilioanekana kama unaleta UTANI na KEJELI flani.....

Well, Game ni kesho jumapili, saa 9:37 Alasiri kwa masaa ya kibongo...

Unakarbishwa pia, kuja kusherekea USHINDI..
 
HAYA BHANA! THANX MWANA U'LL NEVER WALK ALONE!
 
Liverpool mnaongea sana..subirini kesho mtakavotahiriwa bila ganzi
 
kuna watu mafanikio yetu msimu huu yanawauma!

Mnaongea sana ..kocha wenu toka jtatu yuko kwenye magazeti kuongea ongea,tu kama mtoto anayejifunza kuonfea..subirini kesho si mmezoea magoli ya penati basi kesho jasho litawatoka
 
Back
Top Bottom