Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

PREMIER LEAGUE RECORD: TIMU YAKO IKO WAPI HAPO?

Titles

Wins

Losses

Draws

Attendances

Goals

CHELSEA FC - ni timu bora kuliko LIVERPOOL tangu premier league era..

LIVERPOOL ilikuwa timu bora..huenda ikijitahidi itaweza kurudisha makali yake ya zamani.. kwa sasa ukiangalia rekodi zote hizo LIVERPOOL anaonekana mara chache sana..tangu PREMIER LEAGUE ianze..1992. ANY QUESTION?
 
LETE DATA ACHA UTABIRI...

mmezoea kubeti tu..jibu hoja kwa nini LIVERPOOL haina mafanikio tangu PREMIER LEAGUE ianze..?

hoja kwa hoja..macho kwa macho..haogopwi mtu hapa..:fencing:
Mkuu Evaton ana uwezo mkubwa sana wa kulazimisha draw au kumpiga mancity ila usihof hawa mabinti wa maureen pale anfield hawachomoki waache wajifariji tu!!
 
Goli mbili zilikua za Penalty za kupewa na FAINAL iliyofata mlikutana na Ac Milan kilichokukuta unakikumbuka uzuri kabisa! Nyie ni jogoo liwikalo kijijini tu!

Mkuu!!naamini wewe ni mpenzi wa mpira Ebu kwanza kili kua uu ulikua uongo, tuache porojo. Sioni sababu ya kuhama hama, ila Wa TZ bana hivi kwani ukikubali kua umekosea Utapungua kitu????Natumai naongea na mtu mzima mwenzangu hapa.
 
We lazima Ni mwanamke unashangilia mpira kumfurahisha bwana ako, au la ni utoto unakusumbua. Mashabiki wa kweli wa mpira hawaruki ruki kama mbwa yuko kwenye joto. Linapokuja suala la Football greats ubishani ni Kati ya mashabiki wa Liverpool na Man United, nyie wengine ingieni jikoni kupika tu. Hujui mpira wewe zaidi ya kuwa na mihemko ya mpira.

rekodi za JF.

hadi sasa LIVERPOOL FC thread kuna page 323 tu.
hadi sasa CHELSEA FC thread kuna page 665.

NI WAZI KWAMBA LIVERPOOL ni kizazi cha ANALOJIA.

We lazima Ni mwanamke unashangilia mpira kumfurahisha bwana ako, au la ni utoto unakusumbua. Mashabiki wa kweli wa mpira hawaruki ruki kama mbwa yuko kwenye joto. Linapokuja suala la Football greats ubishani ni Kati ya mashabiki wa Liverpool na Man United, nyie wengine ingieni jikoni kupika tu. Hujui mpira wewe zaidi ya kuwa na mihemko ya mpira.

Teh Teh Teh Teh Teh

Mtu akizidiwa hoja kinachobaki ni kutoa lugha mgando km hizi!

Teh Teh Teh Teh
 
Mkuu tatizo hawajui kua Football ni game ya Fair Play!!!ukiona mtu hadi anatukana basi ipo siku ata team yke ikifungwa atajiua, Jamani eeeeehhh soccer ni ushindani unaotupa starehe watazamaji....Wekeni Jazba kando Bandugu
 
Mkuu Mahesabu yako yakoje??Hivi ujui kua Chelsea ata ikitokea amemfunga Liver nafasi ya ubingwa kwake ni hadi City aharibu moja yake mechi zake, so Chelsea bado hana nafasi ki Wepesi, maana bado itamuitaji kumuombea City apoteze nikimaanisha anahitaji matokeo ya mabaya toka team mbili kwa yeye kuchukua, so far sijaiona team ya kumharibia Man City baada ya sisi kumharibia.
Kuhusu SG8 kadi zake zilisha isha tarehe 13 mwezi wa 4..........Ebu acha uoga wako

Kuna jamaa zako Ktk hoja zao wanaombea Chelsea ipate ata droo Ili mjiweke Vzr Ktk kuutafuta ubingwa Lkn nakushangaa unaposema Kua huoni timu ya kumharibia man city na wakati Hiyo kz arsenal na nyie na Everton mnaifanya Vzr!
 
Mkuu agosti 8 record yako hiyo inayoonyesha who performed better na who performed poor. Ndomana tukasema kwenye masuala ya record tunaweza kubishana na man u lakini sio wewe chelsea emu tafuta records zilizonakili positive performance kwa mpangalio wa mfuatano/ascending form nadhani top layer zitakaa liverpool na man u basi hutaona vitimu uchwara kama asenane na chelsick. Hongera kwa pachika timu yenu ya chelsick kwenye virekodi uchwara kama uliyobandika hapo juu!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tatizo hawajui kua Football ni game ya Fair Play!!!ukiona mtu hadi anatukana basi ipo siku ata team yke ikifungwa atajiua, Jamani eeeeehhh soccer ni ushindani unaotupa starehe watazamaji....Wekeni Jazba kando Bandugu

Wambie hao Mkuu!

Kwasababu ukiangalia post zangu tangu mwanzo hakuna sehemu nimetoa lugha mbovu ata kuandika Loserfool nimelazimishwa na wale watuitao chelshit!

Teh Teh Teh Teh

Mpira bhana raha sn
 
Bado hesabu ziko pale pale yani ushinde zako ukae uombe City kupoteza, so hatma ya ubingwa itakua mikononi mwa City si wewe, ivyo kimahesabu nafasi kwako inategemea mwenzako aharibu ni haitegemei wewe!Ebu tuache ubishi na tuongea vitu halisi vinavyoonekana kwenye msimamo wa ligi....ikumbukwe sijapinga kua hamuwezi kuchukua ila swala ni kua hatma yenu iko mikononi mwa City mwenyewe.

Ni bora ata Wewe unaona City wako na nafasi kuliko hao wanaoota ubingwa Huku wakijiua Kua Jose Bado hajatua Anfield
 
Kuna jamaa zako Ktk hoja zao wanaombea Chelsea ipate ata droo Ili mjiweke Vzr Ktk kuutafuta ubingwa Lkn nakushangaa unaposema Kua huoni timu ya kumharibia man city na wakati Hiyo kz arsenal na nyie na Everton mnaifanya Vzr!

Usinishangae Mkuu mimi si kama hao jamaa mimi naongea kitu kinachoonekana kwasasa, siwezi kukurupuka na kubishana. Kwenye mpira au hata wewe kama ulicheza mpira kuna ugumu sana kutegemea matokeo ya mwenzio wakat mpo katika the same race. Ki ukweli hatma ya Chelsea ipo mikonono mwa Liverpool na Man City na hatma ya Liverpool iko mikononi mwake, hatma ya Man City ipo mikononi mwa Liverpool hii ni kulingana na Msimamo wa ligi kwa sasa
 
Ni bora ata Wewe unaona City wako na nafasi kuliko hao wanaoota ubingwa Huku wakijiua Kua Jose Bado hajatua Anfield

Mwanzoni ingawa Liverpool alikua anaongoza mazingira yalikua "The title is for Man City to lose" sasa imebadilika imekua the "The title is for Liverpool to lose" Hii haina maana kua team nyingine nikimaanisha Chelsea na City haziwezi chukua, tukumbuke kua in Football Anything can happen...bado mechi nne jamani
 
Mkuu ninachokiona kwa Liverpool mmepata nafasi ya Kushiriki UEFA msimu ujao! Lkn Ktk swala la Kua bingwa msimu huu msahau!
 
Mkuu kwasasa Nimeshaamini kua na wewe si mpenzi wa mpira ila mbishanaji, nilichokuwekea hapo juu ni mazingira namna ya ligi ilivyo kwasasa, tena nikakupa angalizo kua ligi bado HAIJAISHA, Nastaajabu unaweka mtazamo wako badala ya kutoa maoni yanayo reflect mazingira ya ligi table yalivyo.
USHAURI: Jifunze jinsi ya kua mshabiki wa soccer na sio mpenzi wa team yako tu, pendelea pia kusikiliza chambuzi za soccer za UK na kwengineko Ulaya. Duh Umenishangaza sana kutoa conclusion ya Ubingwa wakati ligi haijaisha, hii ni ajabu haijawahi tokea, hizo ni hulka za wabishanaji mkuu
 
Mkuu agosti 8 record yako hiyo inayoonyesha who performed better na who performed poor. Ndomana tukasema kwenye masuala ya record tunaweza kubishana na man u lakini sio wewe chelsea emu tafuta records zilizonakili positive performance kwa mpangalio wa mfuatano/ascending form nadhani top layer zitakaa liverpool na man u basi hutaona vitimu uchwara kama asenane na chelsick. Hongera kwa pachika timu yenu ya chelsick kwenye virekodi uchwara kama uliyobandika hapo juu!!

umeshindwa kujibu hoja..kwa hoja. unapayuka sasa weka zako sasa...
 
Mkuu kwasasa Nimeshaamini kua na wewe si mpenzi wa mpira ila mbishanaji, nilichokuwekea hapo juu ni mazingira namna ya ligi ilivyo kwasasa, tena nikakupa angalizo kua ligi bado HAIJAISHA, Nastaajabu unaweka mtazamo wako badala ya kutoa maoni yanayo reflect mazingira ya ligi table yalivyo.
USHAURI: Jifunze jinsi ya kua mshabiki wa soccer na sio mpenzi wa team yako tu, pendelea pia kusikiliza chambuzi za soccer za UK na kwengineko Ulaya. Duh Umenishangaza sana kutoa conclusion ya Ubingwa wakati ligi haijaisha, hii ni ajabu haijawahi tokea, hizo ni hulka za wabishanaji mkuu

Kweli wewe ni mr Hekima humu utapasuka kichwa bure the majority tuna mahaba niue na timu zetu!!
 
Mkuu kwasasa Nimeshaamini kua na wewe si mpenzi wa mpira ila mbishanaji, nilichokuwekea hapo juu ni mazingira namna ya ligi ilivyo kwasasa, tena nikakupa angalizo kua ligi bado HAIJAISHA, Nastaajabu unaweka mtazamo wako badala ya kutoa maoni yanayo reflect mazingira ya ligi table yalivyo.
USHAURI: Jifunze jinsi ya kua mshabiki wa soccer na sio mpenzi wa team yako tu, pendelea pia kusikiliza chambuzi za soccer za UK na kwengineko Ulaya. Duh Umenishangaza sana kutoa conclusion ya Ubingwa wakati ligi haijaisha, hii ni ajabu haijawahi tokea, hizo ni hulka za wabishanaji mkuu

We ulitegemea nitoe moani km ya kwako Mkuu?

Mi sifanyi kz ya uchambuzi kwamba nisiweke mapenzi Ktk timu yng! Isitoshe hao wachambuzi Wa ulaya au Uk hayo nayo ni maoni Yao na Mimi ni maoni Yangu! Km ikija tokea kutokana na msimamo Wa ligi ulivyo sasaivi Chelsea ikawa bingwa Wewe utashika maoni gani ya hao wachambuzi au ya kwangu?

Naelewa Vzr kuchambua soccer Ktk uhalisia kwa timu zote au kutokana na msimamo Wa ligi jinsi ulivyo Lkn tunapishana sehemu ndogo tu na nyie pale mnapoitoa Chelsea Ktk huo ushindani na wakati km tukiwafunga ndoto za ubingwa zinapotea kabisa! Chelsea uwezo Wa kushinda anfield anao sn tu tena mkubwa tu!

Ktk uchambuzi wako ata km Unasema Kua Wewe ni mpenzi Wa soccer usizungumzie Liverpool tu na man city wakati chelsea ana uwezo Wa kufanya mapinduzi tarehe 27 na mkawa nafasi ya 3.
 
Mkuu kwasasa Nimeshaamini kua na wewe si mpenzi wa mpira ila mbishanaji, nilichokuwekea hapo juu ni mazingira namna ya ligi ilivyo kwasasa, tena nikakupa angalizo kua ligi bado HAIJAISHA, Nastaajabu unaweka mtazamo wako badala ya kutoa maoni yanayo reflect mazingira ya ligi table yalivyo.
USHAURI: Jifunze jinsi ya kua mshabiki wa soccer na sio mpenzi wa team yako tu, pendelea pia kusikiliza chambuzi za soccer za UK na kwengineko Ulaya. Duh Umenishangaza sana kutoa conclusion ya Ubingwa wakati ligi haijaisha, hii ni ajabu haijawahi tokea, hizo ni hulka za wabishanaji mkuu

ukibishana na Ntuzu au huyo agosti 8 kuhusu chelsea hawawezi kuongelea mpira kiuhalisia wao ni chelsea chelsea chelsea.........the league table doesnt lie,the best team is on top,the've won 10 games in a row....others are struggling to string three wins together!!!the title is liverpool's to lose!!!! wengine subirini liverpool apoteze mechi ndio mpate kombe

btw hata chelsea akimfunga liverpool inabidi wasubri man city pia afungwe na timu ingine!!!
liverpool kombe liko mikononi mwake mwenyewe,man city anaombea liverpool apoteze points LAKINI chelsea anaombea liverpool na man city wote wapoteze point...halafu hawa wandugu hapa wanaongea utafikiri wanaongoza ligi kwa point 10 kumbe wako nyuma kwa point kadhaa.
 
Last edited by a moderator:
umeshindwa kujibu hoja..kwa hoja. unapayuka sasa weka zako sasa...

Hamna cha kupayuka hapa ngoja nikupe assigment ndogo kwenye record yako hapo juu Man u anaonekana kabeba ndoo 13 za ''Epl'' emu kapekue ni timu gani inafuata kwa kujizolea ndoo nyingi baada ya man u!!!? Kama utakosa emu jaribu kufunua funua records ni club gani England inaongoza kunyakua ndoo za ''Ucl''?
 
ukibishana na Ntuzu au huyo agosti 8 kuhusu chelsea hawawezi kuongelea mpira kiuhalisia wao ni chelsea chelsea chelsea.........the league table doesnt lie,the best team is on top,the've won 10 games in a row....others are struggling to string three wins together!!!the title is liverpool's to lose!!!! wengine subirini liverpool apoteze mechi ndio mpate kombe

btw hata chelsea akimfunga liverpool inabidi wasubri man city pia afungwe na timu ingine!!!
liverpool kombe liko mikononi mwake mwenyewe,man city anaombea liverpool apoteze points LAKINI chelsea anaombea liverpool na man city wote wapoteze point...halafu hawa wandugu hapa wanaongea utafikiri wanaongoza ligi kwa point 10 kumbe wako nyuma kwa point kadhaa.

Wewe na ndugu Mr. Wise Mkitaka tuchambue soccer Ktk uhalisia wake anzisheni thread ingine Lkn tukikutana humu kwa thread yenu au yetu lazima mapenzi ya timu yawe mbele!

Na ki ukweli ni kwamba Chelsea uwezo Wa kuifunga Liverpool anfield Upo Na tunao tena mkubwa tu!

Kwahiyo tunaongea kitu kwa uhakika na si ubishi km mnavyosema nyie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom