usitafute sapoti ya MAN UNITED NA ARSENAL zungumza kama wewe: nimekuwekea mataji yote hayo. Nimetoa kwenye trophy cabinet yenu:
Sikutaka kupunguza kitu: Ila si lazima ukubali...amini upendacho.
Unabadilika; mara unasema unashukuru kwa chalenji mara unsema Chelsik huelewiki; ulipoweka mataji yako mimi sikupinga. Uliposema yote uliyosema; mie naleta hoja WEWE UNAOGOPA SANA KUHESABU MATAJI ULIYOPATA KWA MIAKA 20 KWA SABABU HUPENDI KUJUA UKWELI.
ukweli mchungu!🙂
hahhahah..
asa ngoja nikuwekee MATAJI yangu yote from 90's..si umesema YOTE ngoja nikuwekee hapa..afu na weww niwekee ya kwako yoote kwanzia 90's.
Natoa yote ya kwenye CABINET na wewe toa yako yote ya kwenye CABINET..
FA cup.
1992
2001
2006
LEAGUE cup winners
1995
2001
2003
2012
UEFA cup winners
2001
EUROPA super Cup winners
2001
2005
COMMUNITY SHIELD
1990
2001
2006
Reserve division one winners
1999
2001
2008
Barclays Reserves National Champions.
2008
FA Youth Cup winners
1996
2006
2007
Fanya hivi, na wewe nenda kwenye your Club Cabinet, kakombe makombe yoooote afu uniletee hapa..
Coz hizo compettions zote unashiriki na wewe pia!!!
Na kuna vikombe vingne sjaweka hapo..
wewe umeniwekea kombe la Ngao ya Hisani, na mimi nimekuwekea Hivyo vingne...
Toa vya kwako..
By the way, wewe ndo unayekimbia mada hapa, mwanzo wa mjadala huu, uliniletea takwimu zako za UEFA ranks hapa, za kuanzia 2009, na ukanambia umekuwa bora zaid yangu kwa miaka 20,
Mimi nikatumimia hizo hizo UEFA ranks kukuonesha hujawah kuwa Bora zaid yangu kwa hyo miaka 20, ukakimbilia kwenye trophies, na ukaniwekea mpaka "NGAO YA HISANI" afu ukaniwekea kikomo cha 1994,
Asa nani anahama kwenye mijadala??, mimi au wewe???
Kutoka kwenye UEFA ranks mpk Trophies..!!! ukitoka kwenye trophies utahamia wapi???
Unachotakiwa kukubali bado hujaweza kumtawala yoyote yule UINGEREZA, achilia mbali ULAYA..