Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Well said Mosdef;

sisi wenyewe tunatafuta mshambuliaji ambaye kosa moja goli moja.
si unajua enzi za Drogba?
sibiri usajili uanze..tujimwage sokoni..

Agosti 8 umesema ukweli mtupu LFC ingekuwa bingwa kama wangekuwa wanaongoza kwa Point 8-12 juu na timu zote juu kama zingekuwa zimecheza game sawa ila walikuwa wanaongoza point tofauti ni 3 point wengine wana zamkononi muda mwengine Morinho anasema kweli fake table tunamuona mind game japo anazo mind games, ni timu chache ambazo zingekuwa kwenye nafasi ya LFC zingeshinda huu ubingwa ni Man United na Chelsea kwa point za kufuatana chache wangebeba why sababu wana players ambao wamepitia hizi Presha miezi kama hii ya ubingwa why Chelsea haijawezekana sababu wamepitia hizi Presha? Nafikiri mind games za Morinho hatushindi EPL wakati moyoni anaitaka imeharibia watu wachache ambao hawakuwahi kufikia hizi sehemu kwa wachezaji wa Chelsea ila United nauhakika asilimia 100 wangebeba so hili ni funzo kubwa kwa wachezaji wa LFC kwa baadae wachezaji LFC wengi watavunjika kimoyo ila mpaka World Cup watakuwa washajengeka na mambo kama haya ndio yanafanya timu inarudi kwa Speed haivunjiki tena moyo kama tulivyojifunza huuzi best players kwa United na ndio tutajifunza pia makosa kwani United why wanashinda ubingwa sababu Sir Alex kawafundisha motivation yao tizameni LFC mpaka walifikia yao na LFC waige kutowa woga nakuwa mean and dirty kumbuka Blackburn wali win walikuwa wanafanya kila liwezekalo washinde Chelsea pia the best team ilishinda sema wao Point walichukua nyingi mapema ndomana nikasema LFC ingekuwa point 8-12 sawa wangebeba ni Arsenal ile ya Unbeaten ila kumbuka ilikuwa na Gilberto na Edu na mabeki Mean and Dirty ndio bingwa anavyokuwa Chelsea n United mpaka inafikia juu anapoint 2 tu anauwezo wakubeba sababu kila game anajuwa aifume vipi anapiga mtu goli then sehemu za katikati wanaanza kurusha mtu jiulize why United na Chelsea wanaifunga sana Arsenal na mpira wao mzuri katakata za kati ya uwanja mpaka mtu unabaki lawama. Tiki taka is best ila unapofikia ubingwa game zengine angua maembe with long balls na fyeka fyeka watu kati wakuogope.
 
Kocha wa pool ana mdomo sana. Kazi kuongelea mambo ya wenzie badala ya kukaza buti. Mara UTD watakwama mwakani kwenye usajili kwavile hawako champions ligi. Yeye yamhusu nini? Mara City watapoteza points. Yeye inamhusu nini wakati na yeye anafungika?
 
Sakho angekuwa right footed player, angecheza vizuri sana na Agger, tatizo wote ni left footed players, hawawez wakacheza pamoja as centre-backs..

So kwa mtindo huu, wa sakho na mwenzie Skritel, UCL akina Messi watavunja records zao zoooote kwa beki hii ya Liverpool!!

nadhani BR ameliona tatizo la msingi kwa timu yake! Asipolirekebisha kipindi hiki asitarajie muujiza next season! Namba inayovuja sana pale ni RB,anatakiwa anunuliwe LB wa maana wa kucompete na Enrique,halafu dogo flanno arudi RB,kwenye natural position yake kumuweka benchi GJ.
 
Kocha was pool ana mdomo sana. Kazi kuongelea mambo ya wenzie badala ya kukaza buti. Mara UTD watakwama mwakani kwenye usajili kwavile hawako champions ligi. Yeye yamhusu nini? Mara City watapoteza pointing. Yeye inamhusu nini wakati na yeye anafungika?
Ni vitu vya kawaida mtu kuongelea upande wa pili kumbuka hata Giggs aliongelea LFC mwaka jana kwa mdomo wake alisema LFC haioni kurudi tena Top 4 na Man United haitokuja kuwa nafasi ya 6 kama LFC ni kitu ambacho hatuwezi kuwa tumejipanga vizuri mara imekuwa huyu kama huku na huyu kawa huku binadamu sio watabiri mkuu. Nasiku zote mashabiki tunakuwa wanazi unaona la mwenzako lako hulioni.
Maajabu hata Mkuu Nzi amekuwa kimya haji kutania sijui nini limemsibu I hope yupo fine Agosti 8 alitukimbia week nzima tunafurahi kumuona.
 
nadhani BR ameliona tatizo la msingi kwa timu yake! Asipolirekebisha kipindi hiki asitarajie muujiza next season! Namba inayovuja sana pale ni RB,anatakiwa anunuliwe LB wa maana wa kucompete na Enrique,halafu dogo flanno arudi RB,kwenye natural position yake kumuweka benchi GJ.

wakuu huyu GJ, alikwua Chelsea FC enzi za Mourinho-part 1.
Mournho kwa sababu anakupanga kutoka na 'perfomance' yeye GJ hakumpenda Mou kabisa.
Juzi juzi akasema BR ni bora kuliko JM kwa sababu BR anajua "man management".

Kwa nini alisema hivyo?
Kwa sababu BR anapanga mabeki kwa mazoea si kwa kuangalia uwezo wao.
Sasa jana watu wamemlaumu sana ukabaji wake; hadi amelia.

Tusema hate yeye GJ alishafikiri msimu huu iwe isiwe ubingwa ANFIELD.
Hali hii pia imevuruga bidii ya EVERTON, hadi wamekosa top 4.

MEDIA ya Uingereza inavuruga mpira kwa ushabiki wao ..waziache timu zishindane..wawe 'fair' katika 'kuripoti' matukio.

:nimekataa
 
Mkuu Pazi nipo hapa kutoa maneno machache ya faraja kwenu 'majirani'

ONCE BLUE ..ALWAYS BLUE..
Ni vitu vya kawaida mtu kuongelea upande wa pili kumbuka hata Giggs aliongelea LFC mwaka jana kwa mdomo wake alisema LFC haioni kurudi tena Top 4 na Man United haitokuja kuwa nafasi ya 6 kama LFC ni kitu ambacho hatuwezi kuwa tumejipanga vizuri mara imekuwa huyu kama huku na huyu kawa huku binadamu sio watabiri mkuu. Nasiku zote mashabiki tunakuwa wanazi unaona la mwenzako lako hulioni.
Maajabu hata Mkuu Nzi amekuwa kimya haji kutania sijui nini limemsibu I hope yupo fine Agosti 8 alitukimbia week nzima tunafurahi kumuona.
 
Na mimi nilimbandua yeye kwangu na kwake.
Nimekubandua na wewe 6-0.
unalo la kusema tena?:smile-big:

Mkuu naona umepanda nae hivyohivyo Na lugha mbofumbofu!

ULIMBANDUA GOLI 6.

Khe Khe Khe Khe Khe
 
Nafurahi kukuona manake week nzima ulimkimbia fan mwenzako Ntuzu kule agosti 8 nikasema ah Chelsea fan huyu mambo yakiwa mabaya kimyaaa ndio fan gani? Humu sie mbona hatujakimbia?
 
you must be concerd..kama alivyosema EMT, tatizo ni kwamba LFC players walizubaisha na MEDIA ya UK..

walipaswa kutulia na kufanya kazi ya kuzuia magoli yao tu jana.. mambo yangekuwa sawa...who knows kesho Villa vs City?

Ndio Maana Mimi humwambia MosDef asilete Habari ZA media! Tunataka vitendo uwanjani!

Sasa media zimewapenda msimu Huu zikawatangaza KWELI Na WAO wakalewa!

Khe Khe Khe

Wakajiona mabingwa!
 
Last edited by a moderator:
wakuu huyu GJ, alikwua Chelsea FC enzi za Mourinho-part 1.
Mournho kwa sababu anakupanga kutoka na 'perfomance' yeye GJ hakumpenda Mou kabisa.
Juzi juzi akasema BR ni bora kuliko JM kwa sababu BR anajua "man management".

Kwa nini alisema hivyo?
Kwa sababu BR anapanga mabeki kwa mazoea si kwa kuangalia uwezo wao.
Sasa jana watu wamemlaumu sana ukabaji wake; hadi amelia.

Tusema hate yeye GJ alishafikiri msimu huu iwe isiwe ubingwa ANFIELD.
Hali hii pia imevuruga bidii ya EVERTON, hadi wamekosa top 4.

MEDIA ya Uingereza inavuruga mpira kwa ushabiki wao ..waziache timu zishindane..wawe 'fair' katika 'kuripoti' matukio.

:nimekataa

Acha tu media ZA Uingereza ziwaleweshe tu hao LFC na Man Utd lkn SISI Chelsea watuache KM tulivyo! Wakituandika vibaya sawa tu, wakitufitinisha sawa tu!
 
nadhani BR ameliona tatizo la msingi kwa timu yake! Asipolirekebisha kipindi hiki asitarajie muujiza next season! Namba inayovuja sana pale ni RB,anatakiwa anunuliwe LB wa maana wa kucompete na Enrique,halafu dogo flanno arudi RB,kwenye natural position yake kumuweka benchi GJ.

GJ has to GO!!

atuachie team yetu!!!
 
wakuu huyu GJ, alikwua Chelsea FC enzi za Mourinho-part 1.
Mournho kwa sababu anakupanga kutoka na 'perfomance' yeye GJ hakumpenda Mou kabisa.
Juzi juzi akasema BR ni bora kuliko JM kwa sababu BR anajua "man management".

Kwa nini alisema hivyo?
Kwa sababu BR anapanga mabeki kwa mazoea si kwa kuangalia uwezo wao.
Sasa jana watu wamemlaumu sana ukabaji wake; hadi amelia.

Tusema hate yeye GJ alishafikiri msimu huu iwe isiwe ubingwa ANFIELD.
Hali hii pia imevuruga bidii ya EVERTON, hadi wamekosa top 4.

MEDIA ya Uingereza inavuruga mpira kwa ushabiki wao ..waziache timu zishindane..wawe 'fair' katika 'kuripoti' matukio.

:nimekataa

hivi man management ndo nini?
 
Ndio Maana Mimi humwambia MosDef asilete Habari ZA media! Tunataka vitendo uwanjani!

Sasa media zimewapenda msimu Huu zikawatangaza KWELI Na WAO wakalewa!

Khe Khe Khe

Wakajiona mabingwa!
Hapo mtakuwa wazushi Media asilimia wanakwenda kama mashabiki wanavyoona rudi kila mwezi anaza Media mwanzo wa msimu walisema Chelsea itakuwa bingwa wachache wakasema City na United hakuna hata mmoja alisema Arsena au LFC ligi ikaanza Boom Arsenal ikaongoza United ikaanza kwenda Chini watu wakasema Ah Chelsea atabeba hawakumpa Arsenal ikaaenda Arsenal katikati ikaendelea kuwa Juu gafla mashabiki wa Arsenal waliamini watabeba na si mashabiki tu hata mie nilifikiri Arsenal watabeba Media pia zikasema Arsenal wanabeba ila Pundit tu wa ma TV wakangangania Chelsea kwenda December LFC alikuwa point ila kwa 3 ambazo wengine wakicheza wanarudi nafasi yao pale Arsenal ikaanguka watu wakasema I told u so, Chelsea ikawa juu Media ni kweli wanaichukia Chelsea ila wakasema Chelsea au City wanabeba kumbuka hapo LFC haikupewa nafasi na Media na hasa watu wa TV wacha magazeti wakawa wanasema Chelsea sababu ya Morinho gafla bin Vuu ndio LFC ikaibuka Media ikaanza kusema ni LFC yani naongelea Media za magazeti na Pundit ndio nao wa TV wakaanza pia kusema LFC wachache wakasema Chelsea na City so timu ikiwa Top ndio inavyokuwa ila asilimia kubwa toka mwanzo walipewa Chelsea ikifuatwa na City chochote kinachosomwa mwishoni cha mwanzo watu wanakisahau so ww rudi miezi soma magazeti ya media utaona kama kuna gazeti la watu asilimia kubwa nyuma ya january walisema LFC watachukua ubingwa sio headline moja nyingi nitakuzawadia pesa. Sana utaziona zilizosema ni kuanzia February au march. Na bado wakati wanasema LFC sababu ya SG na baazi BBC walikuwa wanasema wanaiona Chelsea sababu CITY inatimu nzuri wame Invest vizuri ila bado muda mwengine haionyeshi ile hari ya ubingwa wao. Ni kweli City wametumia mgongo mzuri wa Media kutowapa nafasi ila ukweli Chelsea ndio iliopewa nafasi ww mwenyewe toa unazi hukutia wasi mh LFC anaweza kubeba? Media ndio kazi yake na Kipenzi cha Media UK ni Morinho na sio Rogers na anayechukiwa na Media UK ni Arsene Wenger na alivyokuwepo Benitez na Still Arsenal walivyokuwa Top walitangaziwa watakuwa bingwa ila Chelsea alipewa zaidi tusiwe wanazi.
 
Last edited by a moderator:
un true..uliza wangapi walikwa hapa tarehe 27 na 28 mwezi uliopita.
kuna tofauti kati ya fan na supporter..

i'm a supporter..🙂
Nafurahi kukuona manake week nzima ulimkimbia fan mwenzako Ntuzu kule agosti 8 nikasema ah Chelsea fan huyu mambo yakiwa mabaya kimyaaa ndio fan gani? Humu sie mbona hatujakimbia?
 
Maneno ya "kilaza" GLENN JOHNSON wakati maisha yalipokuwa mazuri LFC.

"It was difficult for me under Jose at Chelsea because there was a moment when he said I deserved to play on merit," Johnson told the Daily Mail.
"He said if I played well in the next game I would play the week after. I got man of the match so he couldn't drop me.
"Then in the next game he said the same thing and I got man of the match again. Then we had another game and after that Barcelona. I remember speaking to my agent and saying, 'He won't play me in this game because if I play well then he has to play me against Barcelona', and I knew that wasn't going to happen.
"He didn't play me in that game and from that moment I just lost it and thought, 'Well, how am I meant to respect you now?' It's just finished."Brendan wouldn't do that. He's shown that if you're good enough you're old enough and you'll play in the big games if you deserve to. So, in terms of man-management, Brendan is definitely better."
hivi man management ndo nini?
 
ask GJ. i'm just repeating what he said.:wave:

unajua nimekuuliza seriously kwa kuwa sijui na ningependa kufahamu! Tatizo kila jambo unalifanya kishabiki tu,anyway anayejua maana ya hii kitu,'man management' anielimishe tafadhali.
 
Hapo mtakuwa wazushi Media asilimia wanakwenda kama mashabiki wanavyoona rudi kila mwezi anaza Media mwanzo wa msimu walisema Chelsea itakuwa bingwa wachache wakasema City na United hakuna hata mmoja alisema Arsena au LFC ligi ikaanza Boom Arsenal ikaongoza United ikaanza kwenda Chini watu wakasema Ah Chelsea atabeba hawakumpa Arsenal ikaaenda Arsenal katikati ikaendelea kuwa Juu gafla mashabiki wa Arsenal waliamini watabeba na si mashabiki tu hata mie nilifikiri Arsenal watabeba Media pia zikasema Arsenal wanabeba ila Pundit tu wa ma TV wakangangania Chelsea kwenda December LFC alikuwa point ila kwa 3 ambazo wengine wakicheza wanarudi nafasi yao pale Arsenal ikaanguka watu wakasema I told u so, Chelsea ikawa juu Media ni kweli wanaichukia Chelsea ila wakasema Chelsea au City wanabeba kumbuka hapo LFC haikupewa nafasi na Media na hasa watu wa TV wacha magazeti wakawa wanasema Chelsea sababu ya Morinho gafla bin Vuu ndio LFC ikaibuka Media ikaanza kusema ni LFC yani naongelea Media za magazeti na Pundit ndio nao wa TV wakaanza pia kusema LFC wachache wakasema Chelsea na City so timu ikiwa Top ndio inavyokuwa ila asilimia kubwa toka mwanzo walipewa Chelsea ikifuatwa na City chochote kinachosomwa mwishoni cha mwanzo watu wanakisahau so ww rudi miezi soma magazeti ya media utaona kama kuna gazeti la watu asilimia kubwa nyuma ya january walisema LFC watachukua ubingwa sio headline moja nyingi nitakuzawadia pesa. Sana utaziona zilizosema ni kuanzia February au march. Na bado wakati wanasema LFC sababu ya SG na baazi BBC walikuwa wanasema wanaiona Chelsea sababu CITY inatimu nzuri wame Invest vizuri ila bado muda mwengine haionyeshi ile hari ya ubingwa wao. Ni kweli City wametumia mgongo mzuri wa Media kutowapa nafasi ila ukweli Chelsea ndio iliopewa nafasi ww mwenyewe toa unazi hukutia wasi mh LFC anaweza kubeba? Media ndio kazi yake na Kipenzi cha Media UK ni Morinho na sio Rogers na anayechukiwa na Media UK ni Arsene Wenger na alivyokuwepo Benitez na Still Arsenal walivyokuwa Top walitangaziwa watakuwa bingwa ila Chelsea alipewa zaidi tusiwe wanazi.

Nafurahi kuona kumbe ulinielewa na umekiri Kua media KWELI zinaichukia Chelsea!
 
unajua nimekuuliza seriously kwa kuwa sijui na ningependa kufahamu! Tatizo kila jambo unalifanya kishabiki tu,anyway anayejua maana ya hii kitu,'man management' anielimishe tafadhali.

Kumbe umemtambua kwa hilo ameendekeza unazi wenzake ukweli wanakubali penye ukweli yeye mbishi hata swimmingpool yenye mavi atasema safi nataka kuogelea.
 
Back
Top Bottom