Hawakumbuki ukiwasikia wanaongelea matokeo ya van gaalWameshasahau goli mbili za shaqir mpaka wakamtimua murinyo wao πππ
Moyes alikula 3-0 OT KIJANALiverpool ushindi wake mbele ya United hasa pale old Trafford ni sare,
Tangu ile United mbovu ya Moyes hadi hii ya Sosha, Liverpool wameifunga United mara 1,msimu uliopita wakiwa Anfield.
Ngoja nkae kimya huu uzi tutaufufualiverpool nisivyoipenda nitafurahi sana wakifungwa,
Nawaona kabisa wakishuka bondeni kule, hii weekend, kloop anaenda kumfukuza ole kwa mara nyingine tenaYaan mashabiki wa man u wamebakiza historia hakumbuki msimu uliopita kapigwa na liver. Haya hivyo na historia nayenyewe haiwabebi hawakumbuki kuwa man kipigwa na na liver hadi kubadili jina la klab kutoka newton health fc kuwa man u
Kala furgason 4 OT akiwa naforwad zake kama cr7 atakuwa oleMoyes alikula 3-0 OT KIJANA
Man united 00 Vs 5 liverpoolMan u mnakwenda kuadabishwa
Man u 0 Liverpool 2
ambayo ilichangiwa na man uSishabikii popote lakini nawakumbusha tu Liverpool ana maumivu sana na kukosa ubingwa wa epl mwaka jana kwa tofauti ya point 1 tu.
De gea kaumia nduguDe gea,shaw,bissaka,eric b,maguire,matic,scot,pogba,mata,rashford,matial. hapo liver anakaa 3_1
kwenye goal hatuna tatizo hata romero ni mzuri.De gea kaumia ndugu
mechi ya kwanza liverpool kupoteza msimu huuNi swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,
Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,
Ni swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,
Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,
Ibilisi wekundu hata Green worriers wanajipigia tu,united ni mbovu mno,Jana De Gea kajivunja kukimbia kiama cha LiverpoolManchester United hata iwe mbovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Liverpool.
Katika mechi 10 za mwisho za ligi
Liverpool win 1
Manchester United win 5
Draw 4
Man U: 4Manchester United hata iwe mbovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Liverpool.
Katika mechi 10 za mwisho za ligi
Liverpool win 1
Manchester United win 5
Draw 4
Hili ndo tatizo la mashabiki wa man u mna maneno mengi sanakwenye goal hatuna tatizo hata romero ni mzuri.