Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

Yaan mashabiki wa man u wamebakiza historia hakumbuki msimu uliopita kapigwa na liver. Haya hivyo na historia nayenyewe haiwabebi hawakumbuki kuwa man kipigwa na na liver hadi kubadili jina la klab kutoka newton health fc kuwa man u
Nawaona kabisa wakishuka bondeni kule, hii weekend, kloop anaenda kumfukuza ole kwa mara nyingine tena
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sishabikii popote lakini nawakumbusha tu Liverpool ana maumivu sana na kukosa ubingwa wa epl mwaka jana kwa tofauti ya point 1 tu.
 
Man u kala tatu pale anfield... sasa hv tunaanzia kwenu ili tuwaoneshe vzuri...

Tulimfukuzisha morinho kazi sasa hv tena huyo mwenye sura ya kitoto zamu yake..

Mambo ya kwenda na record yamepitwa na wakati,

Baada ya j2 utaskia mmetufunga lakin mo salah hajawah kutufunga[emoji28].

Ndicho mmebakisha sasa hv maana hamna kingne
 
Ni swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,

Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,
mechi ya kwanza liverpool kupoteza msimu huu
 
Nyie ndio nawaonaga wapumbavu Sana, aliyesema lolote laweza kutokea, hakuna beki man inamaana gani umeona Mama ako akikaa beki pale??? Acha unazi wa kipuuzi, ukiangalia mechi unaangalia beki tu
Ni swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,

Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,
 
Manchester United hata iwe mbovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Liverpool.

Katika mechi 10 za mwisho za ligi

Liverpool win 1
Manchester United win 5
Draw 4
Ibilisi wekundu hata Green worriers wanajipigia tu,united ni mbovu mno,Jana De Gea kajivunja kukimbia kiama cha Liverpool
 
Watu wanaroho ngumu...mpira ni science sio kamali, mpira hubahatishi bahatishi tu kama mlivyozoea TZ huku...mpira ni kujipanga na kutumia medula....ni kama elimu tu, huwezi kuwa hujasoma alafu utegemee kufaulu...unaposikia Liverpool ime 'hack' mfumo wa usajili wa man city sio jambo dogo.
man U kocha hana mbinu za kisasa za kushinda game kama ya Liverpool. Jitahidini kusoma hata comments za washabiki wenzenu huko twitter sio mambo ya kishabiki wa kibongo.
 
Back
Top Bottom