sasa mkuu mi nimejaribu kuchambua kikosi ambacho tunaweza mfunga liver.Hili ndo tatizo la mashabiki wa man u mna maneno mengi sana
Hebu ona mashabiki wa liva wapo kimya!
Hili ndo tatizo la mashabiki wa man u mna maneno mengi sanakwenye goal hatuna tatizo hata romero ni mzuri.
na liver tunamfunga..so unataka tuseme hiviHili ndo tatizo la mashabiki wa man u mna maneno mengi sana
Hebu ona mashabiki wa liva wapo kimya!
Tusihusishe wazazi
Ni ujinga
Kama refa ree atakua spika wa bunge mutashinda mechiNi swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,
Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,
Okay sawana liver tunamfunga..so unataka tuseme hivi
Sio Fellain, Foward alikuwa Smalling sema umesahau tu.Manchester united ilicheza na Liverpool foward alikuwa ni Fellaini na United akashinda
Huo ndo ushabiki, asa unataka wasiongee au ulitaka waseme liverpool anashinda.Hili ndo tatizo la mashabiki wa man u mna maneno mengi sana
Hebu ona mashabiki wa liva wapo kimya!
Tusihusishe wazazi
Ni ujinga
waache wajifariji,,,wanatia hadi huruma maskini,,,Man U haikuwaga timu ya kutafuta mashabiki kwa huruma hv enzi za FergieMan u acheni kutembelea historia, kikosi chenu kwa sasa hakina uwezo wa kumfunga liverpool,
Acha kupayuka bila logic, newcastal anawaburuza na kutoka na point tatu, na hizo beki zenu ambazo hazijitambui sembuse liverpool?,Nyie ndio nawaonaga wapumbavu Sana, aliyesema lolote laweza kutokea, hakuna beki man inamaana gani umeona Mama ako akikaa beki pale??? Acha unazi wa kipuuzi, ukiangalia mechi unaangalia beki tu
Mkono tena? Duu!niliipoona tu jina Martial nikajua huyu ni punga la Manchester United
correct score Manchester United anakufa 5
Manchester kweli mbovu lakini kwa mechi za mahasimu Liverpool au Arsenal Hali uwa nyingine kabisa ata kama Man U itachezesha Chipkizi wasio na majina. ila kwakua watu hawaamini tusubiri tuone iyo jumaapili, Maana Man U akiwa nyumbani wakicheza na vigogo huvimba.Acha kupayuka bila logic, newcastal anawaburuza na kutoka na point tatu, na hizo beki zenu ambazo hazijitambui sembuse liverpool?,
Tulia mtiwe gori za kutosha hapo OT jpili ngunguni wew
Kwa ni nyie muna kipa?De gea kaumia
HahahahaaaHuo ndo ushabiki, asa unataka wasiongee au ulitaka waseme liverpool anashinda.
Manchester United hata iwe mbovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Liverpool.
Katika mechi 10 za mwisho za ligi
Liverpool win 1
Manchester United win 5
Draw 4