Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

Ni swala la muda tu, ila liverpool lazima ampige man u pale OT, sijaona hata beki ya kumzuia mane, salah na firmino,

Mbaya zaid hakuna foward man u wa kufumania nyavu za liverpool hata kwa uchawi,
Kama refa ree atakua spika wa bunge mutashinda mechi
 
Hili ndo tatizo la mashabiki wa man u mna maneno mengi sana

Hebu ona mashabiki wa liva wapo kimya!

Tusihusishe wazazi

Ni ujinga
Huo ndo ushabiki, asa unataka wasiongee au ulitaka waseme liverpool anashinda.
 
Man u acheni kutembelea historia, kikosi chenu kwa sasa hakina uwezo wa kumfunga liverpool,
waache wajifariji,,,wanatia hadi huruma maskini,,,Man U haikuwaga timu ya kutafuta mashabiki kwa huruma hv enzi za Fergie
 
Nyie ndio nawaonaga wapumbavu Sana, aliyesema lolote laweza kutokea, hakuna beki man inamaana gani umeona Mama ako akikaa beki pale??? Acha unazi wa kipuuzi, ukiangalia mechi unaangalia beki tu
Acha kupayuka bila logic, newcastal anawaburuza na kutoka na point tatu, na hizo beki zenu ambazo hazijitambui sembuse liverpool?,

Tulia mtiwe gori za kutosha hapo OT jpili ngunguni wew
 
Acha kupayuka bila logic, newcastal anawaburuza na kutoka na point tatu, na hizo beki zenu ambazo hazijitambui sembuse liverpool?,

Tulia mtiwe gori za kutosha hapo OT jpili ngunguni wew
Manchester kweli mbovu lakini kwa mechi za mahasimu Liverpool au Arsenal Hali uwa nyingine kabisa ata kama Man U itachezesha Chipkizi wasio na majina. ila kwakua watu hawaamini tusubiri tuone iyo jumaapili, Maana Man U akiwa nyumbani wakicheza na vigogo huvimba.
 
Mechi itaisha kwa suluhu ya bila kufungana.Liverpool ita possess sana mpira, kiungo mkabaji wa moja ya timu hizi mbili ataumia katika kipindi cha kwanza.
 
Sijui umetokea chimbo gani mkuu
Manchester United hata iwe mbovu kiasi gani hawawezi kufungwa na Liverpool.

Katika mechi 10 za mwisho za ligi

Liverpool win 1
Manchester United win 5
Draw 4
 
Back
Top Bottom