Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

Refa ka waive on kwasababu kipa kadaka. Hakukuwa na sababu ya kupoteza muda. Sio lazima mpira usimame ni sawa na 'adhantage' kwenye foul play. Attacking team inapewa advantage ikitokea.
Wewe ndo shabiki pekee wa man u mwenye akili wengine wote ni manyumbu

Wewe una akili sana ulikosea sana hii team mkuu wangu rrondo

Joking [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kwanza huyu jamaa ilibidi aachwe na uzi wake, mwanaume unakuaje hujui sheria za mpira tena za kawaida kabisa, yani hata hiyo VAR haikujiangaisha kucheki hilo goli.. MMU inawaharibu aisee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kwanza huyu jamaa ilibidi aachwe na uzi wake, mwanaume unakuaje hujui sheria za mpira tena za kawaida kabisa, yani hata hiyo VAR haikujiangaisha kucheki hilo goli.. MMU inawaharibu aisee


Kazingua kinyama, kuanzia kwenye kuona position ya Salah, De Gea na hata kujudge uamuz warefa kashindwa.
 
Inakuwaje clear offside wakati mpira unapigwa salah alikuwa hajavuka nusu ya uwanja?
 
Una walau ABC za uamuzi wa mpira wa miguu? De Gea alikuwa wapi mpira ulipopigwa na A.Becker? Usitafute presha ya bure.
Pale aliyeua offside ni salah mwenyewe kwa kitendo cha kutokuvuka nusu ya uwanja kabla mpira haujapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…