Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Muone na huyu nae. Kama umeanza kuangalia mpira leo ni bora ukae kimya.Mm sijawahi ona offside mpira unapigwa ukiwa chini. Lazima uweke mpira chini, nikama vile fouls mpira lazima uwe kwenye pitch.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka tuanze kufundishana maana ya ADVANTAGE kwenye mpira.