Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

Hujui sheria za mpira wewe. Kipa akiwa nje ya 18 anahesabika kama mchezaji wa ndani. Kipindi mpira unapigwa De Gea alikua nje ya 18. [emoji23][emoji23] kaa hivyo hivyo!
Nje yakumi nanane unaielewa au furaha ya ushindi imekuzidi .....mana hata kua nje nyuma yagoli napo ninje ya 18.elewesha nje ya 18 IPI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishawahi kusikia neno "ADVANTAGE " kwenye mpira? Unajua linamaana gani?
Chukulia mfano foul imetokea pembeni mwa uwanja na linesman/refa wameamua iwe foul na mpira umetoka yaani kama isingekuwa foul ulitakiwa uwe wa kurusha, je mchezaji anaweza kurusha haraka haraka ikichukuliwa kama ADVANTAGE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…