The guy niliyemquote alikuwa anaelezea offside inapatikanaje na sio kitu gani kilitokea wakati wa mchezohii hoja haina uhusiano na tukio lilitokea.. Sheria zipo nyingi hawezi sema zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The guy niliyemquote alikuwa anaelezea offside inapatikanaje na sio kitu gani kilitokea wakati wa mchezohii hoja haina uhusiano na tukio lilitokea.. Sheria zipo nyingi hawezi sema zote
Nje yakumi nanane unaielewa au furaha ya ushindi imekuzidi .....mana hata kua nje nyuma yagoli napo ninje ya 18.elewesha nje ya 18 IPIHujui sheria za mpira wewe. Kipa akiwa nje ya 18 anahesabika kama mchezaji wa ndani. Kipindi mpira unapigwa De Gea alikua nje ya 18. [emoji23][emoji23] kaa hivyo hivyo!
we mtoto, nijifanye dume ili iweje? Muulize Da'Vinci, Forbes1990 ,Kiranga ,wananijua vizuri tu na picha zangu wanazoIt's a shame kwa mwanaume kujifanya ni jike jitambue kiongozi
Dogo upo njema kichwani kweli?Jitathmini mkuu ya nini kujifanya jike? Daah jf hii
Wangari Maathai njoo huku pliz naonewaJitathmini mkuu ya nini kujifanya jike? Daah jf hii
Hahahaha..wanahis ww dume? Jaman huyu ni mdad tena mtraamu!/jana kwa mara ya kwanza nimeangalia mpira jaman!..nikaondok dk ya 70! Kuna mkaka nilimpenda..simjui jina muafrica ni wa man u! Ana ndevu😋Wangari Maathai njoo huku pliz naonewa
dogo umeanza kuona mpira lini 🤔🤔🤔Nimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.
Ngusero
Jana mi nimeangalia mechi zote kwa kifurushi cha 29,000Noma sana,
Vip dstv kifurushi chao cha Mpira ni bei gan kiongozi?
Chukulia mfano foul imetokea pembeni mwa uwanja na linesman/refa wameamua iwe foul na mpira umetoka yaani kama isingekuwa foul ulitakiwa uwe wa kurusha, je mchezaji anaweza kurusha haraka haraka ikichukuliwa kama ADVANTAGE?Ulishawahi kusikia neno "ADVANTAGE " kwenye mpira? Unajua linamaana gani?
Sheria ya offside ni namba ngapi?Nimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.
Ngusero
Ndo manake.... EPL ni ligi yenye bei nzito... Inaongoza... Azam amejitutumua kuwaonyesha la liga
Mzee baba nlijua ww unajua magari tuWewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
Azam siku hizi huwa wanaonyesha mechi moja tu kila weekend ya EPL kupitia UTV....Ndo manake.... EPL ni ligi yenye bei nzito... Inaongoza... Azam amejitutumua kuwaonyesha la liga
Wanaonyesha mechi moja tu kila weekend kupitia UTV
Yule beki nae mzembe,,,,angefanya kama alivyo Fanya yule mchezaji wa real Madrid valvde ilikuwa fainali against atletico Madrid.Yule mchezaji wa man u aliekuwa anamkimbiza ndiye fala! si angesimama tu ili iwe clear offside! View attachment 1327946
Hao wakuonesha mechi moja kila weekend wanachukua kwese sports... TV1 nao pia wanaonyesha... Hata EATV kuna kipindi walifanya hivyo pia.Azam siku hizi huwa wanaonyesha mechi moja tu kila weekend ya EPL kupitia UTV....
Waonyeshe EPL halafu watutoze shingapi... Nadhani wanaonyesha FA... EPL sijawahi sikia.
Maana walivyoanzaga tulijua watawamaliza dstvWaonyeshe EPL halafu watutoze shingapi... Nadhani wanaonyesha FA... EPL sijawahi sikia.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kama uliangalia mpira kwenye TV ya chogo ndiyo matatizo yake