Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

Hawezi kukuelewa, amechagua ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au angemfanyia tu foul kabla ya kufika kwenye 18

Sent using Jamii Forums mobile app

Salah alikuwa ni Mshambuliaji wa mwisho, kwahiyo angemfanyia faulo yoyote ya kumstopisha kufunga goli basi ingelikuwa ni straight red Card.

Na kumbuka ilikuwa ni Dakika ya 93' sasa kupata Kadi muda huo ambayo isingebadilisha matokeo ya mchezo ingelikuwa ni upuuzi.
 
Nimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.

Ngusero
Malalamiko hayo endelea nayo kwenye ligi ya nchi yako. Kwa ulaya hakuna ujinga wa aina hiyo.

Na kwa uelewa wako huna uelewa wa kumkosoa mzungu kama hata ujuzi wa kutengeza sindano ya kushonea nguo tu huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAYA JIBU NA HII, MAYA ALIUGUSA MPIRA AKIWA OFFSIDE UPANDE WA LIVERPOOL, KIPA BADALA AWEKE MPIRA CHINI (AUTENGE) IPIGWE KAMA FAULO BADALA YAKE AKAUPIGA HARAKA HARAKA KUMUWAHI SALA. JE KUNA FAULO INAPIGWA HIVYO (KAMA ALIVYOPIGA KIPA WA LIVERPOOL KUMPASIA SALAH MBELE)? JIBU
Nakusaidia uelimike. De Gea hahusiki kwenye uamuzi wa ile iwe offside au isiwe hata angekuwa na yeye kaja kucheza ile kona hakuna offside kwasababu Salah alikuwa half ya Liverpool wakati anapasiwa ule mpira. Nimemaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishajibu hilo.
 
Chukulia mfano foul imetokea pembeni mwa uwanja na linesman/refa wameamua iwe foul na mpira umetoka yaani kama isingekuwa foul ulitakiwa uwe wa kurusha, je mchezaji anaweza kurusha haraka haraka ikichukuliwa kama ADVANTAGE?
SIJAWAHI KUONA HII...OFFSIDE ISITENGWE CHINI [emoji850][emoji850][emoji850]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona game ya jana imetokea? Halafu unazani kwanini goli la firmino wachezaji wa man u walililalamikia na la salah hawakulilalamikia
 
Hivi nyie manure hamna wachezaji katili kama kina ramos au valverde wa madrid

Lile goli la pili ni uzembe kabisa, ilikuwa kufyeka miguu ya salah, out 3week hata kama red card sio mbaya,,,

Mtu kama ramos mipira ya vile anakufa na wew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear Gea anahusika vipi? Hii sio offside kwasababu wakati mpira unapigwa Salah alikuwa kwenye half yao(Liverpool). Offside ina-apply kwenye opposition half.
yote mawili yanampa Mo salla advantage ya kuwa onside.
1; Wakati Allison anampasia Mo sallah alikuwa kwenye zone(half )yao hivyo sio offside.
2, Golikipa wa Man U De Gea hakuwa kwenye eneo lake la golini(18) hivyo anahesabika kama mchezaji wa ndani, ndio maana akiushika mpira nje ya !8 inapigwa faulo na kadi juu.,. kanuni zingine za mpira ni ngumu kidogo
mathalani: Blocking is always out. Ikitokea bambika au bambi, aliyeblock mpira ndiye aliyetoa mpira ,refarii hapati shida kuamua.
any throwing ball has no offside: Mpira wowote uliorushwa hauna offside.
 
Mbona game ya jana imetokea? Halafu unazani kwanini goli la firmino wachezaji wa man u walililalamikia na la salah hawakulilalamikia
goli la bobby, big man vvd alimchezea rafu golikipa wa man,
 
Mkuu RRONDO ipo sheria ya offside inayomuhusu kipa. Soma hapa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…