De gea hausiki pale, pale salah kitendo cha kutovuka mstari wa kati hadi mpira ulipopigwa ndio kimesababisha kusiwe na offsideNa De Gea alikuwa wapi? Sheria na tafsiri zake si mchezo wa kitoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
De gea hausiki pale, pale salah kitendo cha kutovuka mstari wa kati hadi mpira ulipopigwa ndio kimesababisha kusiwe na offsideNa De Gea alikuwa wapi? Sheria na tafsiri zake si mchezo wa kitoto.
Hiyo ni ofa...kuna kipindi ilikuwa above 60k.huko nyuma zaidi sijui ilikuwaje.... Jisacrifice tu mama... Mimi sio wakala wa dstv ila hutajuta.Bei ipo kwa juu Sana kiongozi
Refa hakupiga filimbi ingawa lineman alinyanyua kibendera, refa alimpa advantage kipa wa liver kwakuwa alikuwa yuko safe na anamiliki mpiraMpira uliorushwa na kipa wa liva ulipaswa upigwe na mguu kwasababu matta alikuwa offside na refa alipiga filimba. Shida ndio iko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kusikia neno "ADVANTAGE " kwenye mpira? Unajua linamaana gani?Refa kachemsha mata alikuwa offside mpira ulitakiwa uwekwe chini.
Wewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
Hakuna sheria ya offside inayohusu kipa akiwa nje ya 18-yard box. HAKUNA. Sheria ya offside ni hiiMalcolm yupo sahihi na Wewe rrondo upo sahihi.
Ni hivi hata kama salah angekuwa amevuka mstari wa katikati na halafu degea yupo nje ya box lake(18) Basi isingekuwa offside.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani maelezo yote uliyoyatoa bado kuna watu hawajakuelewa tu? Tena umeamua kuweka ushabiki pembeni umefata kanuni za soka lakini majamaa mabishi kweli kweli, ndio maana kuna watu humu nasoma comments zao nabaki kucheka tuHakuna sheria ya offside inayohusu kipa akiwa nje ya 18-yard box. HAKUNA. Sheria ya offside ni hii
Mchezaji anakuwa offside iwapo wakati anapewa pasi (akiwa kwenye nusu ya uwanja wa wapinzani) atakuwa mbele ya LAST-BUT ONE DEFENDER.
Last but one defender mara nyingi anakuwa beki, huku last defender mara nyingi anakuwa kipa.
Hakuna kipengele kinachohusisha kipa kutoka nje ya box. Kama kipo kiweke hapa.
Malcom hayupo sahihi mzee hakuna sheria ya hivyo,Malcolm yupo sahihi na Wewe rrondo upo sahihi.
Ni hivi hata kama salah angekuwa amevuka mstari wa katikati na halafu degea yupo nje ya box lake(18) Basi isingekuwa offside.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira uliorushwa na kipa wa liva ulipaswa upigwe na mguu kwasababu matta alikuwa offside na refa alipiga filimba. Shida ndio iko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaleta sheria za kwenye vibanda umiza au vijiwe vya kahawa. Hawa ndio utawasikia 'ile angeunganisha angeua offside'Yaani maelezo yote uliyoyatoa bado kuna watu hawajakuelewa tu? Tena umeamua kuweka ushabiki pembeni umefata kanuni za soka lakini majamaa mabishi kweli kweli, ndio maana kuna watu humu nasoma comments zao nabaki kucheka tu
Azam hawaonyeshi mipira ya wanaume dada
Yule mchezaji wa man u aliekuwa anamkimbiza ndiye fala! si angesimama tu ili iwe clear offside! View attachment 1327946
Umeshawaelimisha vya kutosha waache wabaki na ujinga wao, yaani mambo wanayojadili vijiweni huko wanatuletea hapaWatu wanaleta sheria za kwenye vibanda umiza au vijiwe vya kahawa. Hawa ndio utawasikia 'ile angeunganisha angeua offside'
Waweke hapa kipengele kisemacho kipa akitoka nje ya 18yard area hakuna offside.
Tunawaambia kwa mara ya mwisho, lineman alionyoosha kibendera kuashiria kuna makosa mchezaji wa man kafanya ambalo kosa lenyewe ni kuotea, refa akaangalia akaona kipa amedaka mpira na halalamikiki chochote akampa advantage kwamba aendelee tu ndio kipa akaupiga mpira mbele, hivi ulishawahi kusikia neno "ADVANTAGE " kwenye soka? Na unajua linatumika kukitokea tukio gani?
Sio mashabiki wa Man utd. Ni watu wasiojua sheria na taratibu za Soka. Mimi ni mkereketwa wa Man utd lakini sioni tatizo kwenye goli la Salah.Mashabiki wa man u bhana, Yan mchezaji wao kafanya kosa af wanataka kunufaika na kwa kosa la kwao. wanalazimisha alison kuanzisha mpira chini ili achelewe kufikisha mpira kwa salah. Ile ilikua advantage,madai yenu yangekua na mashiko Kama ingekua faulo yenu ila pia marefa wanashauriwa kupunguza filimbi pasipo ulazma ili kuupa mchezo ladha.
Sent using Jamii Forums mobile app
mpira kapewa katika ya uwanja hiyo sababu ya kwanza sio offsideNimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.
Ngusero