Itakuwa game tough sana kwa Liverpool na game nyepesi kwa Flamengo on paper lakini in reality hii game ni ngumu kwa pande zote.
.
Liverpool akianzwa kuchapwa goli hawezi chomoa na kushinda ila Flamengo akichapwa goli mechi itakuwa na goli nyingi
Hilo limebeti kijinga kijinga sasa linajipa matumaini!