Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flamingo sio katimu bro huyo ndiyo bingwa wa amerika kusini na msimu huu yupo form kinyama kachukua ligi na ndio bingwa wa kopa amerika so anasubiria achukue hili kombe iwe trebble yaan huyu msimfananishe na Montinerriy,Liver kiuwezo anamzid Flamingo ila akiipuuzia Liver ategemee mengi maana huyo ajax wa msimu uliopita alikutanaga na Santos akasumbuliwa balaa wakati Santos yenyewe ishajiyumbia siku hzSema Kuna vitimu uko nje kwenye ulimwengu wa watu vinapiga mpira balaah. Kale katimu timecheza nako juzi kanaitwa Monterrey kakikutana na Arsenal, Arsenal anakufa ata kwa goli tano.
Arsenal inakuzaga eti... Maana unaiwaza sanaSema Kuna vitimu uko nje kwenye ulimwengu wa watu vinapiga mpira balaah. Kale katimu timecheza nako juzi kanaitwa Monterrey kakikutana na Arsenal, Arsenal anakufa ata kwa goli tano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo limebeti kijinga kijinga sasa linajipa matumaini!
Liverpool majuzi chupuchupu kwa wale Monterrey (cjui km nimepatia spelling)
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Alikoswakoswa mengi tu mbona
Hata hiyo Aston walipigiwa mwingi na madogo. Mpira madogo walimiliki, tatizo likawa umaliziaji.
Litakuwa shabiki pumbavu la Manure!
Anateseka Sana huyu jamaa