Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao walishindwa nini kuitumia hiyo extra time? Arguments za kitoto!Yaani huko hata akiwa mtabiri feki ataaminika tu. 😀😀
Hongereni Swahiba japo niseme extra time ndio iliyowaokoa mana wale jamaa sio. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Punguza jazba Mkuu. Nyie si ndio kombe mnalo sa shida iko wapi?Wao walishindwa nini kuitumia hiyo extra time? Arguments za kitoto!
Mkuu Manure mnachekesha sana mnavyotapatapa! Mwaku huu haukua njema kwenu!Punguza jazba Mkuu. Nyie si ndio kombe mnalo sa shida iko wapi?
Pole Mkubwa.
Yaani huko hata akiwa mtabiri feki ataaminika tu. 😀😀
Hongereni Swahiba japo niseme extra time ndio iliyowaokoa mana wale jamaa sio. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hahahaaa. Umejuaje Mkubwa? 🤔🤔🤔Mkuu Manure mnachekesha sana mnavyotapatapa! Mwaku huu haukua njema kwenu!
Vipi umeshaznduka?Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba
Klop huwezi kuchukua hili kombe
Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda
Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa goli tatu katika mchezo wa club bingwa wa dunia
Kuweka kumbukuku sawa Liverpool hajawahi kuchukua hili kombe hata Mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 naona Mtani mnataka munikimbize hapa. Mana mlivyojaa hata siwawezi.Hivi mtani Ulaya nako unashabikia timu mbovu?
Ngoja nimshukuru Firmino maana tulimtoa Manure kuja kutufungia goli! Flamenco itabidi mtusamehe tumechezesha mchezaji wa Manure kwa mujibu wa Shadeeya!Hahahaaa. Umejuaje Mkubwa? 🤔🤔🤔
Pia yamekujaje hayo. 😎😎😎 Ila mshukuruni sana Firmino. 🏃♀️🏃♀️
Hahahaa. Haya bana Mkuu ngoja nitoke muendelee kumpa vipande vyake mpiga ramli wenu. 😅😅😅Ngoja nimshukuru Firmino maana tulimtoa Manure kuja kutufungia goli! Flamenco itabidi mtusamehe tumechezesha mchezaji wa Manure kwa mujibu wa Shadeeya!
😂😂😂😂 haya bana Mtani. Nawaona mnavyo jimwambafayi.Automatically kama hauko Liverpool utakuwa unashabikia kimeo.
Maana duniani timu ni moja tu kwa sasa, Mabingwa wa Dunia.
Mleta Uzi amezimia tangu Jana! Alikuwa amebeti.hela kubwa mno! Pole yake,,Hahahaa. Haya bana Mkuu ngoja nitoke muendelee kumpa vipande vyake na mpiga ramli wenu. 😅😅😅
Mleta uzi huyo.
Hata ningekuwa mie nisingerudi mana baada ya kupata matokeo wazee wa Liver mmekuja kama nyuki.Mleta Uzi amezimia tangu Jana! Alikuwa amebeti.hela kubwa mno! Pole yake,,
Ni ajabu sana mtu unasema wazi wazi kuwa liverpool wanafungwa, na unajua kabisa sio kitu rahisi no one from any direction can stop us
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani huwa nakuona kwenye uzi wa Liverpool ujue.Utakuta aliyeandika huu upuuzi ni baba wa familia kabisa ana mke na watoto.
Hahahaa,mngekuwa Man UTD fans naamin mngekuwa marehem tyrKuna kuongea na kubeti, siku hizi imekuwa kawaida ukiwa unaangalia mpira mtu anaiponda Liverpool FC kwamba itafungwa, halafu mfukoni ana mkeka kampa Liverpool.
Hata huyu jamaa atakuwa mkeka kampa Liverpool